Mungu akupe amani na upendo katika kipindi hiki!!!!
Akupe uwezo wa kuayakabili haya mkuu
Pdidy na wengine wakuzungukao!!!
Na amjaalie mzazi wetu huyu afya iliyo njema leo na hata siku za usoni kwani hakuna tumtegemeaye isipokuwa yeye muumba mbingu,ardhi na sisi viumbe wake!!!
Aamin