PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

Status
Not open for further replies.

jinaless

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
43
Reaction score
4
Habari za saa hizi wadau, vipi PPF hawajaanza kuita watu kwenye oral interview?

Mwenye update atujuze basi maana dah!

Habari wakuu, PPF wameanza kuita watu kwa usaili wa awamu ya pili.

Mimi nimetumiwa Email (CONTRIBUTION TRAINEE) kuwa nitokee kwenye usaili huo wa pili (Hawakusema kama ni oral au laa) siku ya Jumamosi tar 27/06/2015 Jengo la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkabala na Maktaba ya Taifa.

Naomba kuwasilisha
 
Tumesha chakachuliwa mda wote huo wanaprocess matokeo gani ya ajabu kwa mtiani gani tuliofanya.
 
Contribution usaili Wa Pili jengo LA elimu ya watu wazima SAA tano jumamosi hii
 
Sijui wamerudia mchezo wao ule...wa kututoa mikoani na kukuta rundo la watu
 
Habari wakuu,PPF wameanza kuita watu kwa usaili wa awamu ya pili.

Mimi nimetumiwa Email (CONTRIBUTION TRAINEE) kuwa nitokee kwenye usaili huo wa pili (Hawakusema kama ni oral au laa) siku ya Jmosi tar 27/06/2015 Jengo la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkabala na Maktaba ya Taifa.

Naomba kuwasilisha
 
Tumekupata mkuu kila mtu katumiwa itakuwa yale yale ya DUCE wameona paper ilikua rahisi sana,sasa wanatafuta vigezo vya kupunguza watu.
 
nasikia paper zilipotea mtihani unarudiwa maana yake watu wameitwa posts zote walizofanya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom