"Powershaft" za kichina balaaa!!

Mwambieni akanunue kanzu ili aweze kwenda kazini. Ama sivyo atapoteza kotekote.
 
Imeripotiwa katika Radio WAPO leo asubuhi, kipindi cha PATAPATA, kuwa kuna jamaa mmoja (mkazi wa Mbezi) aliyekuwa na tatizo la kuwa na jogoo mdogo hata kumfanya akimbiwe na wake zake watatu wa awali. Jamaa alipomuoa mke wa nne akapata ushauri toka kwa rafikiye wa kutumia hizo dawa za kichina za kuongeza ukubwa wa jogoo ili ainusuru ndoa yake ya sasa. Akanunua na kuanza kuitumia, mwanzoni ulipokuwa kidogo akajisikia raha. Akaamua kuendelea kupaka/kutumia, jogoo akaendelea kukua zaidi. Mkewe akaona loh! Makubwa haya! hawezi kuendelea tena kumhudumia jogoo mkubwa namna hiyo akabwaga manyanga.Na kurudi kwao.
Awali jamaa alitakiwa apake kwa siku mbili, lakini aliponogewa na kuona amekuwa akaongeza zaidi, mambo yakawa mambo. Kwasasa jogoo ni mkubwa na ana uzito wa kilo tisa.
Jamaa sasa ameacha kazi na hawezi kuvaa nguo.
Mheshimiwa anaomba msaada ili jogoo arudi kama awali.

Jamaani wachina hawa! Mara kukuza makulio, mara inakuza kalio moja tu, mara kusababaisha makalio kupasuka na sasa haya ....
---------------------------
Je redio haikusema jamaa anaitwa nani?anafanya kazi wapi,Maybe we can help him,
on the other side,huyu jamaa tamaa ilimponza,alipoona inakuwa ilibidi atulie kwanza,kwani mwili huwa unakuwa taratibu kama vile kupiga chuma-GYM etc
Tupe habari zaidi tuone jinsi ya kumsaidia or tumfanye circus clown ulaya ,,
je Bado inadinda or ndo imekuwa kubwa but imelegea?
 
Hii habari nina wasiwasi nayo, kwani haijaonyesha huyu jamaa ni wa wapi na ni lini hili tatizo limetokea. lakini zaidi ni kuwa kilo tisa ni uzito wa mtoto wa miaka 2 au zaidi haingii akilini. ila kama ni hadith ya kutoa mafunzo funzo kwa watumiaji wa madawa ya kichina, nakubaliana nayo, watu wakubali maumbile tuliyojaliwa na Allah.
 
Imeripotiwa katika Radio WAPO leo asubuhi, kipindi cha PATAPATA, kuwa kuna jamaa mmoja (mkazi wa Mbezi) aliyekuwa na tatizo la kuwa na jogoo mdogo hata kumfanya akimbiwe na wake zake watatu wa awali. Jamaa alipomuoa mke wa nne akapata ushauri toka kwa rafikiye wa kutumia hizo dawa za kichina za kuongeza ukubwa wa jogoo ili ainusuru ndoa yake ya sasa. Akanunua na kuanza kuitumia, mwanzoni ulipokuwa kidogo akajisikia raha. Akaamua kuendelea kupaka/kutumia, jogoo akaendelea kukua zaidi. Mkewe akaona loh! Makubwa haya! hawezi kuendelea tena kumhudumia jogoo mkubwa namna hiyo akabwaga manyanga.Na kurudi kwao.
Awali jamaa alitakiwa apake kwa siku mbili, lakini aliponogewa na kuona amekuwa akaongeza zaidi, mambo yakawa mambo. Kwasasa jogoo ni mkubwa na ana uzito wa kilo tisa.
Jamaa sasa ameacha kazi na hawezi kuvaa nguo.
Mheshimiwa anaomba msaada ili jogoo arudi kama awali.

Jamaani wachina hawa! Mara kukuza makulio, mara inakuza kalio moja tu, mara kusababaisha makalio kupasuka na sasa haya ....

Although I dont buy this story exactly the way it is....inaacha maswali mengi.......For sure,there is much more to come unless we learn to accept and appreciate they way we are!Pole sana mazee.
 
Back
Top Bottom