"Powershaft" za kichina balaaa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Powershaft" za kichina balaaa!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mnyamahodzo, Feb 23, 2010.

 1. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Imeripotiwa katika Radio WAPO leo asubuhi, kipindi cha PATAPATA, kuwa kuna jamaa mmoja (mkazi wa Mbezi) aliyekuwa na tatizo la kuwa na jogoo mdogo hata kumfanya akimbiwe na wake zake watatu wa awali. Jamaa alipomuoa mke wa nne akapata ushauri toka kwa rafikiye wa kutumia hizo dawa za kichina za kuongeza ukubwa wa jogoo ili ainusuru ndoa yake ya sasa. Akanunua na kuanza kuitumia, mwanzoni ulipokuwa kidogo akajisikia raha. Akaamua kuendelea kupaka/kutumia, jogoo akaendelea kukua zaidi. Mkewe akaona loh! Makubwa haya! hawezi kuendelea tena kumhudumia jogoo mkubwa namna hiyo akabwaga manyanga.Na kurudi kwao.
  Awali jamaa alitakiwa apake kwa siku mbili, lakini aliponogewa na kuona amekuwa akaongeza zaidi, mambo yakawa mambo. Kwasasa jogoo ni mkubwa na ana uzito wa kilo tisa.
  Jamaa sasa ameacha kazi na hawezi kuvaa nguo.
  Mheshimiwa anaomba msaada ili jogoo arudi kama awali.

  Jamaani wachina hawa! Mara kukuza makulio, mara inakuza kalio moja tu, mara kusababaisha makalio kupasuka na sasa haya ....
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  hehehehhe inachekesha ...huyo jamaa naye alitakiwa ajue mbinu fasaha za kutumia kibamia alichopewa na mungu ..haya mambo mengine ya kujitakia !
   
 3. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,581
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ........Ohhh mama yangu weeeeeeee!! I seeeee si mchezo, huo mzigo wa kilo tisa sipati picha mhhhhhhhh!!
  Pole yake mbona ahahha......jamani imefika kipindi sisi binadamu inabidi kuridhika na jinsi tulivyoumbwa na Mungu, hizi dawa za wachina matokeo yake ndio kama hayo. Masikini huyo baba sijui kama atapata dawa ya kupunguza tena.
  Ila hili ni fundisho tosha kwa watumiaji wa hizo dawa za kuongeza makalio,hips na mtarimbo.
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,210
  Likes Received: 769
  Trophy Points: 280
  hakuna dawa ya kupunguzia?

  lakini kilo 9!!!!!!!!!!?,

  wakati mwingine tunawalaum wachina lakini Mungu katupa utashi.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Edson ..mwenyezi mungu katupa kujua jema na baya kabla ya kuamua inatupasa kufikiria mala mbili Faida/hasara
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,231
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Imported Thinking
  Imported ideas
  Imported advice!
  Kila kitu cha kuandikizwa kichwani!...huh!
  This person is as good as the corpse!...shiit!
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 8,118
  Likes Received: 2,422
  Trophy Points: 280
  Ila kwa kuangalia circumstance yake naweza kumuelewa. Kama alikimbiwa na wake watatu kwa sababu ya 'kibamia', then most likely angetumia dawa yoyote ili kuepuka huo unyanyapaa.

  Kwani wachina hawana dawa ya kupunguza?
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Feb 23, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ndo matokeo ya kumsahihisha MUNGU na uumbaji wake. Wanadamu tunapotoka!
   
 9. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,478
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hapo ndio alipoharibu...
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,939
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Pole yake sana nadhani hata ile pleassure aliyokuwa anaipata wakati anakibamia sasa kushnei
   
 11. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Ameeeeeeeeeeeeeeeni
   
 12. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 11,014
  Likes Received: 3,275
  Trophy Points: 280
  Hupati picha? Condom yake hii hapa:

  [​IMG]
   
 13. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,515
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Hapo akitaka aupunguze huo mzigo minaona hakuna njia nyingine zaidi ya kuukata tuu!!
   
 14. m

  muhanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  afadhali na wanaume yawakute,mlitusakama sana na makalio yetu wanawake .. kwa kuwa amefikia kuwa na uume huo wa kilo hizo, ina maana hakuna mwanamke atakeyeweza ku-accommodate hiyo mzigo... so easy aanze ku-date punda, wao wanauzoefu wa shaft za uzito na ukubwa kama hiyo.... yuko wapi nimuunganishe na wafuga punda wa huko singida, may be he could buy one na amamfanya mke....
   
 15. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,141
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuamua unapaswa kufikiri vya kutosha kuhusu uamuzi mkubwa kama huu. Mara nyingi watu huwa tunafikiria tu habari ya size ya mtalimbo bila kufikiria kwamba mtalimbo ni output tu na sio kila kitu. Tunapaswa kufikiria kwamba kuna propotionality ya mwili na viungo vyake mbalimbali mtalimbo ukiwemo.

  Kwa kushughulika na size bila kulifikiria hili matokeo yake huwa ni kuzeeka kabla ya wakati, kwa maana kwamba presha inayo support erection ina ulinganifu na mgawanyo na viungo vingine hivyo kwa kuwa na size ya kuazima yaweza pelekea mtu anapokuwa na umri hata wa miaka 45 tu akashindwa kabisa ku erect kwa sababu hana presha ya kutosha kusapoti huo mtalimbo wa kichina ambao hauna ulinganifu na mwili wako.
   
 16. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Sikufikiri kuwa unaweza ukawa na akili mgando kiasi hicho cha kumshauri ama kutoa ushauri katika jamii inayozidi kuutafuta ustaarabu kwa kutaka ikajamiiane na mnyama. kukosa adabu na uchafu wa wazungu na watu wachafu wanao-waingilia wanyama HAUKUBALIKI KATIKA TANZANIA ya leo na ya kesho.

  Thibitisha kuwa hauna akili mgando, kwa kutueleza una maana gani unapofikiri ni bora mwanadamu mwenzako kaanza kujamiiana na mnyama? Kama ndio mchezo wako huo au umwewahi kuwa na mazoea hayo UKOME!!.
   
 17. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  9kg? can we get a photo pls?
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180

  Lolo watu mshaanza kubuku na picha; msaidieni aende akarekodi pia
   
 19. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,658
  Likes Received: 727
  Trophy Points: 280
  Carmel
  unataka picha ya nini? hahahaha wee jua tu ni 9kg!!
   
 20. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,878
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Muhanga, kumbuka moja kati ya amri kuu mbili za Mungu: Mpende Jirani Yako Kama Unavyojipenda Mwenyewe. Sasa inakuwaje mwenzio umsagizie aoe punda jike?? Jiweke katika nafasi yake halafu ujute na utubu, please!!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...