Gharama zinategemea na aina ya vfx unayotaka kutumia. Labda tuseme unataka kutengeneza movie ambayo inatumia CGI kwa wingi kuanzia wahusika wenyewe (mfano kama akina hulk), location ( mfano kwenye sci-fi movies), hapa lazima utokwe pesa ndefu mno kwa vifaa na team yenye watu wenye akili.Bro, hapo kwenye gharama sina uhakika sana ila moja kati ya vitu vinavoipa thamani movies za wenzetu ni hy VFX, kuna movies mwanzo mpaka mwisho ni VFX tuu halafu unaambiwa bajeti ni Tsh 50T na ukiangalia hy movie kweli ww mwenyewe unaifurahia, kwahy kwa vyovyote vile VFX ni teknolojia ya gharama sana
Oh,asante kwa kunitoa tongotongo machoniVision Effects ni mfumo wa komputa wa kubadilisha/kutengeneza mandhari ya sehemu ambayo sio harisi ila ikaonekana kama mandhari harisi