Power Breakfast (Clouds FM) wawapasha TANESCO!

Yah:

Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!

Asante sana Clouds - for the first time!

Kwa mara ya kwanza hata mimi nimewakubali. Siyo vibaya kuwapa credit wanapofaanya vizuri
 
ahhaa haaa asubui wanaongea fresh sana lakin hawawez kuwafikia wakat wa kipanya na fina bt wanajitaid sana pj n gerald..mmh bt yule anayejifanya ajui kiswahili jaman anaboa jaman....yan akitamka neno VILE VILE unaweza ukaZIma redio...
---usistaduu mpk kwenye kaz jaman?iyo ni media inabd azungumze kiswahili fasaha na matamshi pia yawe sahihi siyo neno la kiswahili bmkubwa babra analitamka kwa phonology ya kijeruman jaman wap na wap....
SISTA PUNGUZA UDUU NYOSHA KISWAHILI USISTADOO FANYA NJE....ndo kusema unakijua sana kimombo ennh?mwee haya mama!!!!
ITS 4GUD BMKUBWA ...jaribu kunyosha matamshi yako.....mbwembwe za kimamton mwiko km u mtangazaji...kwenye face book poa ...mwaga st marys yako bt apo ahhh ebu potezea c mahali pake...!!!
na lile tangazo lako la singapooooooooooooooooooooooo ...dah natamanig nizime redio...
 
taarifa yao ya habari pia ina hadhi ya chini sana, kiusomaji, kwenye ushaguzi na mpangilio wa maneno, na kwenye utafutaji wahabari.
hadhi ya chini saaaana.
 
Ivi tanzania ni dar peke yake?
Mbona apa songea hakuna umeme miaka yote ni migao ni kila siku, na hatujawahi kuona inajadiliwa mahali popote?

Ama kweli ilala ndo Tanzania na Kinondoni ndio Dar.
 
Mnalalamika nini, do you expect changes, by maintaining the same system ? that is absolutely ridiculous, tunavuna tlichopanda na leo UN imetangaza kwamba baada ya miaka arobaini kutoka sasa 60% ya waafrika watakuwa wanakaa mijini, kwa snails pace ya TANESCO na viongozi mediocre tulionao na mfumo wa sheria uliopitwa na wakati, we better be prepared to face disaster !!
 
Clouds wanafiki wasiojua maadili ya uandishi kwani wana ushabiki wa kipuuzi wakiisifia ccm bila kujali maslahi ya umma nashangaa kvp wanajiita redio ya watu
 

Inawezekana Clouds wanalalamika si kwa kuwatetea wananchi walio wengi, ila kwa kuwa labda mtambo wao mmoja wa redio umeungua kutokana na fluctuation za umeme.
 
Clouds wanafiki wasiojua maadili ya uandishi kwani wana ushabiki wa kipuuzi wakiisifia ccm bila kujali maslahi ya umma nashangaa kvp wanajiita redio ya watu
 
big ups kwa hili la leo , sina uhakika na yaliyopita ambayo mlikuwa na ushabiki nayo lakini leo niliwasikia LIVE asubuhi nikija kazini kama mtaendelea hivi basi mambo yatabadilika sana , ile style ya leo kali sana , sasa nadhani mmejifunza muache ushabiki wa kisiasa lakini msisite kupongeza inapobidi
 
Tanesco wabaya, wazembe wasiowajibika. Aliyeteua mkurugenzi ni mzuri na anawajibika, aliyeteua bodi ya wakurugenzi ni ( waziri for that matter) ni mzuri pamoja na kuwa watu aliowateua ni wazembe na hawawajibiki.

Kabla ya kutukana management wangeanza kumtukana aliyeteua mkurugenzi mkuu na bodi nzima ya Tanesco.
 
Hakuna Kitu, kama wakuu mlifatilia kipindi chote cha uchaguzi hawa jamaa wa clouds ni wanafiki wakubwa.......sanaaaa.....wababaishaji tuuu hawa wanajaribu kuwafanya watu wenye akili zao wajinga......mimi naino wamefikiri kuwa kuna watu wengii tu wamewadharau kwa unafiki wao walionyesha kipindi cha campaign sasa huu ni mkakati wa kuwarudisha watu tena kwao.....unaimsemea hovyo Tanesco leo kwani kuni nini jipya TANESCO........Wanafiki wakubwa hawa ........kujikomba tuuu......wasubiri uteuzi wa ukuu wa wilaya....
 
Tanesco wabaya, wazembe wasiowajibika. Aliyeteua mkurugenzi ni mzuri na anawajibika, aliyeteua bodi ya wakurugenzi ni ( waziri for that matter) ni mzuri pamoja na kuwa watu aliowateua ni wazembe na hawawajibiki.

Kabla ya kutukana management wangeanza kumtukana aliyeteua mkurugenzi mkuu na bodi nzima ya Tanesco.

G Hando aliwapakawote tena kuanzia wakati wa Mwinyi Mkapa mpaka JK, na Bodi nzima ya TANESCO wanakela sana hawa na hawana mikakati hata kidogo ya kiutendaji, uboreshaji na utekerezaji na uwajibikaji na Serikali ndio inayo iua TANESCO hilo mkae mkilijua kabisaaa maana serikali kila kukicha ni kuiingizi TANESCO hasara

 
Back
Top Bottom