Power Breakfast (Clouds FM) wawapasha TANESCO!

Clouds wapumbavu sana..wasitufanye hatuna akili..mbona waliandaa birthday ya JK kama wanajua serikali anayoiongoza ina matakataka ya hivo...wanipishe hapa nisije kutapika mie
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.

HAkuna mwenye akili Clouds. Tanesco mbofu mbofu sababu ya CCM na majizi yote.
 
Wanajamvi,

Nafikiri umefika wakati sasa tutoke hapa kwenye kuainisha uwozo wa taasisi za serikali na kwenda mbele zaidi,Napata kigugumizi kuwa jiji kuu la Tanzania baada ya miaka 49 ya uhuru bado kuna kitu kinaitwa mgao tena wa maji na umeme.AIBU NA KINYAA====Kwanini tunawizara husika kwa faida ya nani?
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.

KALAGABAO WAJINGA NDI WALIWAO!!!!!!

HAO CLOUDS FM HAWANA MORAL AUTHORITY YA KUINYOOSHEA TAASISI YOYOTE ILIYOKO CHINI YA SERIKALI YA CCM KIDOLE KWA KUWA WAKATI WATANZANIA WALIPOTAKA KUFANYA MABADILIKO ILI MAMBO KAMA HAYO YASITOKEE WAO NDIO WALIKUWA MSTARI WA MBELE KUJIKOMBA KWA VIOFA VYA PATI, BIA, LUNCH, DINNER, MAFUTA KATIKA MAGARI YAO N.K

SASA WOTE TUNAANZA KUVUNA MATUNDA YALIWALICHOKUWA WANAKITETEA WANAANZA KULALAMA. lET THEM KEEP QUITE. GOIDFREY HANDO ALIPOAANZA TU KUBWABWAJA NILISWITCH TO OTHER STATION KWA KUWA SIKUTAKA KUWA SEHEMU YA HUO UNAFIKI.

WACHA WAENDELEE KUWADANGANYA WAJINGA KAMA WEWE NA UNAPOFIKA WAKATI WA KUELIMISH WATANZANUA KUCHUKUA HATUA STAHILI WANAJIRUDISHA NYUMA KUKUMBATIANA NA MAFISADI. HUO MGAO WA UMEME SI UNA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA MATENDO YA EDWARD LOWASSA NA ROSTAM AZIZ AMBAO WAMEKUWA WAKIWATETEA KWA UDI NA UVUMBA?
 
Msilalame saaaan
hiyo ndiyo faida ya kuipigia kampeni ccm irudi kwa kishindo.
na bado maajabu zaidi yanakuja.
Fuel italeta vita nchini
Mimi nilifikiri unataka kuseama ... maajabu zaidi yanakuja kwa kishindo...
 
guys, tanesco inafanya matengenezo muhimu sana, nadhani baada ya muda mambo yatakuwa fresh sana, NO umeme wa mgao tena!
kwa hivo inabidi tuwe wapole kidogo kwa muda huu

Heshima Mkuu:

Tumekuwa WAPOLE kwa muda mrefu sana - na haya matengenezo ya ghafla mpaka lini?
 
Clouds FM waache upumbavu na unafiki wa kijinga, wanalalamikia tanesco ili hali wanaisifia serikali ya ccm? https://jamii.app/JFUserGuide! huyo injinia kawekwa na nani hapo? mbona tanesco iko safi sana ile,au kwa vile inahusika na umeme ambao unaonekana moja kwa moja na watu? mbona hawaongelei issue kama za poor public services like government hospitals ( muhimbili, mwananyamala, amana, to mention a few) The whole country is so fucked hard by these cheap politicians! sera za ccm za kuwekana kwenye nafasi mbali mbali kwa misingi ya ushikaji na uswahiba ndio inatupelekea kuwa na issue kama hizi, tanesco is just the outcome, the root cause of these issues is poor government!

Well said mwana.. Hao Clouds ni wanafiki tuu. Very cheap people wananunuliwa kwa party za soda na pilau. Walivyokuwa wanavisifu ndio hivyo sasa vinawabamiza..
 
Hoja ni hoja regardless imetolewa nani.
kinachotuangusha JF ni kugawa hoja kutegemeana na ni nani kaitoa.
maoni yangu ni kuwa kila mada ijadiliwe kama mada, ndo itaondoa kuchanganya personalities zetu.
mfano mie wenyewe hawa power breakfast walisema mengi tu kuhusu upinzani wa kitanzania niliokuwa siungi mkono, ila kulikuwa na ya ukweli pia,
sasa wanaposema mambo ya TANESCO, inakuwaje isiwezekane?
TANESCO wameboronga ni kweli, kila mtu alieona anatakiwa aseme sana, kwa kutumia njia yoyote alionayo
je wewe usiposema kuhusu makosa ya CHADEMA, ukija kulalamika kuhusu makosa mengine, unaruhusiwa? je ya NCCR? je ya CCM?
hebu tukue, tusiiue forum yetu.
Au ukishasifia clouds kwa jambo fulani huruhusiwi tena kuisema kwa jambo jingine?
Mie si mshabiki wa mtu, chama wala mwelekeo wowote permanently, nasubiri Mtikila ashinde kesi yetu tupate mgombea binafsi, kuanzia mitaani hadi raisi.

Cloud pia wamenifurahisha walipokuwa wazi na kusema kuwa watawafuatilia mawaziri kwa utendaji wao, hasa ukizingatia wanalipwa marupurupu, mishahara, nk kwa kodi yetu. I hope itatoke kweli kuwa na watu front wa kuuliza maswali KWA MHUSIKA kutaka kajibu bila bias yoyote, sina shaka na cluods kwa sasa, labda baadae siasa ziingie ndani,
mambo ya birthday na swahiba mie yaliniudhi pia ila tunaendelea, na mambo mengine.
 
kaka mambo ya uchaguzi hayo, si unajua tena...hela za kuchakachulia tulikuwa tunazichukua kutoka sehemu yoyote ile, from donnors to publich institutions and so tanesco is among of them.
 
hAKUNA KITU MI HUWA NACHUKIA SAANA WATU WANAPOKASILIKA EEETI SABABU IMEMTOKEA YEYE SI ANGEKASILIKA ASILIMIA 80% YA WATANZANIA HAWAPATI HUDUMA YA UMEME! POOR TANZANIA.
NI UNAFIKI NA UBINAFSI NDO UNATUSUMBUA! PUMBA%$$%%%%%&&^ F*U SENU!
 
walichofanya akina Gerrard ndio kinahitajika kufanywa na watanzania wote

Najiuliza mijitu inayoshabikia chama lindly ilikua inajiskiaje jana
 
Yah:

Leo asubuhi kipindi cha "Power Breakfast" kimeongelea kuhusu mgao wa umeme na kutopatikana kwa LUKU kwa "lugha kali sana" na natumaini Wakuu wa TANESCO ujumbe umewafikia!

Asante sana Clouds - for the first time!

Kumbe kuna mgawo? :redfaces:
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
Kwa ufupi sana ni kuwa hao PB ni wanafiki tu kama CLOUDS wengine. Si ni hao waliomwandalia JK sherehe? Si hao waliomfanyia mahojiano yaliyopangwa? Haya mambo si yanatokea chini ya serikali ya JK? Tena wanasema chini ya JK mambo ndio yameharibika kabisa. PB wasitumie hisia kupata huruma za wasikilizaji ili tuwaone ni bora. Ila wanasaidia pia
 
Kwa ufupi sana ni kuwa hao PB ni wanafiki tu kama CLOUDS wengine. Si ni hao waliomwandalia JK sherehe? Si hao waliomfanyia mahojiano yaliyopangwa? Haya mambo si yanatokea chini ya serikali ya JK? Tena wanasema chini ya JK mambo ndio yameharibika kabisa. PB wasitumie hisia kupata huruma za wasikilizaji ili tuwaoe ni bora. Ila wanasaidia pia
Jamani..hebu jadilini HOJA na si msimamo wa mtoa hoja.............. Unadhani ukiwa mwanachama wa chama fulani..hutakiwi kukikosoa chama hicho......???
 
Nawapongeza sana Power Breakfast team kwa siku ya leo asubuhi Tarehe 24/November/2010 Mlipozungumzia kuhusu swala la TANESCO.....Mmeongea point kabisa....(Watu wamezoea kufanya kazi kwa MAZOEA tu, Wanawafanya Watanzania WAJINGA, hawaoni,....WANAKAA MAOFISINI na kuanza kuperuzi FACEBOOK, Websites za ngono, kutuma e-mail BADALA YA KUWAJIBIKA na KUTAFUTA SOLUTION za TATIZO la LUKU na UMEME kwa UJUMLA,....Engineer muha....ni garasha tu, TANESCO yenyewe ni ile ya Mwalimu NYERERE, hii ya mwinyi ni magarasha tu, Mkapa magarasha tu tena zaidi, na hii ya jakaya ndio zaidiiiiii magarasha...., kazi ZIMEWASHINDA MUONDOKE, TUMEWACHOKA, MSITUFANYE WAPUMBAVU)

MMENIFURAHISHA SANA POWER BREAKFAST, Good work, WELL DONE Keep it UP zaidi.
The issue shouldn't be what time power shoratge and loadshedding has started, the issue should be why? And instead of all this hype someone should have taken the trouble to ask sources for this, I for one called to ask and was informed Songas Machines were down and one is in overhaul, its time to also support TANESCO interms of revenue protection to ensure its assets r ptotected, I know many influential and intellectuals using and enjoying free umeme, let's all play our part, do I hear someone shouts TRAITOR! At me ?? For this case, SO BE IT !
 
Jamani hii hali inakatisha tamaa, huu mgao ni wamasaa mangapi? na mbona huko nyuma walikuwa wakitoa taarifa za mgao?? na hii network yao ni ya aina gani?? Hata akipelekwa mkurungenzi kutoka ughaibuni pale hatoweza, cha msingi ni kuwaondoa wale jamaa wenye zaidi yamiaka 30 katika vitengo muhimu na kuweka wapya, Mhando haiwezi tanesco bila mabadiliko ya msingi. KAMA MATAWI YA MTI YANAKUKELA SULUHISHO NI KUUNDOA HUO MTI NA KUPANDA MWINGINE. TANESCO YOTE IMEOZA.
 
Back
Top Bottom