Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
- Thread starter
- #161
Kaka nimeisoma vizuri sana lakini unachoshindwa kukiona ni kwamba hii ni sawa na mission, ni ujenzi wa policies yaani zimetokana na makosa ya policies, uongozi na kadhalika hivyo hi ni tungo ya kitabu kama imeandikwa na mchumi lakini sii Mtanzania anyezungumzia Utaifa wa Watanzania.
Unajua nitarudia kusema kwamba adui mkubwa wa Umaskini wetu ni Umaskini wenyewe. Sawa na mtu alozaliwa uswazi na akafikiria njia pekee ya kuondokana na adha za Uswazi ni kuhama Uswazi ama kuibadilisha Uswazi iwe kama Masaki bila kujua kwamba unapoibalisha Uswazi kuwa Masaki wakazi wake hawataweza kuyamudu maisha ya Masaki. Huwezi fikiria long term strategy kwa mazingira wakati wananchi wako wanafikiria short term ili wa survive mlo wa siku hadi siku. Kinachotakiwa kubadilishwa ni WATU wenyewe kwanza ili wao ndio wawe chachu ya mabadiliko ya uswazi. Na ndio maana watu wengi waliikubali ile ya maisha bora kwa kila Mtanzania lakini hapakuwepo ukweli tulicholewa picha ukutani..
Vision 2025 ni vision ya kubalidisha mazingira sio watu wakati ni watu wanapokuwa civilized wanakuwa wabunifu wa huyabadilisha mazingira. Ukisoma kwa makini declaration of Independence inahusu WATU, Utaifa wao, uhuru wao, haki zao na huwezi kuuza Liberty ya Mmarekani kwa fedha ama jambo lolote. Kipande ulichokiweka hakizungumzii WATU, Uhuru wao na mfumo mzima utalinda vitu gani isipokuwa kuibadilisha Tanzania iwe kama nchi zilizoendelea ikiwaacha wananchi wenyewe nyuma wa catch up na mabadiliko hayo.
Mkandara,
I have read the Vision 2025. Its a good document to read in terms of identifying some major challenges that the country face today. However, I dont consider it a vision, and I have already explained why.
Now with regard to the Declaration of Independence, I read it in school as an example of persuasive speech and rhetoric. Its a living document which has inspired Americans from different backgrounds and people from other nations to rally support for their causes. It has stood the test of time and generations, and its still relevance to this day.
What makes this document great is its inspirational message which you cant find in our existing documents, whether it be katiba, Azimio la Arusha, Azimio la Zanzibar, or Vision 2025. The Declaration of Independence doesnt talk anything about money, income inequality, or positioning America to its current status. It only gives people hopes and the sense of belonging. If this is what you call DIRA, then we are on the same page.
Personally, I believe if you give people hope and freedom instead of instructions, you would unlock their potentials.