Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.

Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.

Waafrika ndivyo tulivyo!

Samahani kwa niliowakwaza.

Kwa kweli bro umenikwaza, anyway nakaza buti tuendelee mbele....ninaaamini tuna watu wenye mitizamo tofauti na kama wakiwapewa nafasi I believe kutakuwa na mabadiliko...ukisema kama ndo tulivyo ni dalili ya kukata tamaaa na theres no signs of light at the end of the tunnel...
 
Ushirombo,

Utawezaje kbadili mambo kama umezungukwa na "watu wenye fedha nyingi kuliko serikali (labda)" - Pinda

Utawezaje kuondoa system yote? maana yote haifai. Uongozi unahitaji ushirikiano, wakati wewe unania nzuri wenzako wanajilimbikizia!

Nahisi umeelewa
 
ulichosema ni kweli, na nakaa nikijiuluza hivi will this ever be possible hata chama tawala wakiondolewa to clean up those in the system ?
 
..... hapo juu nasikia mawimbi ya sauti za watu waliokata tamaa kama si kuridhika!!

.....ndugu zangu, system huweza kubadilika; as always, kubadili system is a hardwork. there are stumbling blocks and resistance. But it's our determination that counts.

.....hapo kwa majirani si mmeona?.... bila determination ya ODM unafikiri leo kungekuwepo na muafaka uliofikiwa?.... ndiyo watu wamepoteza maisha, lakini kwa maafikiano yaliyopo sasa na kama yataendelea na kuwa ya kufaa Kenya, basi damu zao zitakuwa hazijamwagika bure. Mfano wa Kenya ni changamoto kubwa kwa muafaka wa Visiwani na kule Zimbambwe hivi sasa...

.....hakika bila watu kuamini kuwa mabadiliko yanawezekana na yanahitajika, ni mwanzo mkubwa wa kukata tamaa na kuacha mambo yajiendee kiholela kwa gharama za utu wetu wote huku wengine wakijiridhisha.

.... FD, KadaMpinzani, et al... change is a must and change we need. Preferably si kwa vita!!

SteveD.
 
Steve....., hapo tupo pamoja lakini kwangu ni kuwa lazima tukubali kupambana kimaneno na kujaribu kuwabadilisha waTanzania wenzetu. Kuna thread nilisema "Najilaumu mimi kuona kwamba baada ya kujua nikijuacho nimefanya nini kuwasaidia wengine nao wajue"..... hapa tatizo ni "Je tutaendelea na haya mapambano ya kifikra mpaka lini?? na ikifika deadline ya mapambano ya kifikra je what will be our next option??"
 
No comment kwenye bolded sentence.

SteveD, mimi siwezi kukata tamaa, najaribu kuvaa viatu vya Muungwana JK, nagundua kuwa ni vikubwa saaaana. Maana amezungukwa na mafisadi makali mno. Sina haja ya kurudia habari ya Chenge, huo ni mfano mdogo tu!
 
Steve....., hapo tupo pamoja lakini kwangu ni kuwa lazima tukubali kupambana kimaneno na kujaribu kuwabadilisha waTanzania wenzetu. Kuna thread nilisema "Najilaumu mimi kuona kwamba baada ya kujua nikijuacho nimefanya nini kuwasaidia wengine nao wajue"..... hapa tatizo ni "Je tutaendelea na haya mapambano ya kifikra mpaka lini?? na ikifika deadline ya mapambano ya kifikra je what will be our next option??"
....our next option?.....seems a very tough question since the preferable option is to having principles, urges and their course of action taking place simultaneously.

....lakini hata hivyo kwa kutumia vielelezo vilivyopo, nadhani swali linajibika; Kenya ikiwa mfano mzuri wa mapambano ya kifikra yanapofikia kilele na matendo na fikra kuanza ku take place at the same time. Lakini pia kuna Orange Revolution kule Ukraine, Haiti, Liberia, Mozambique, Italia na Spain, Angola n.k. kila kilele kikichukua nafasi yake kureflect society iliyomo na mazingira yaliyopelekea mageuzi hayo.

.....na kwa kutumia mfano philosophical naomba uangalie video ifuatayo; lakini pia naomba ufanye JF search ya posts za Madela-wa-Madilu kwa keyword ya swarm intelligence, kuna jambo muhimu analiongelea kuhusu collective strength ya wanyonge . Video hii hapa... [media]http://www.youtube.com/watch?v=LU8DDYz68kM[/media]....hata hivyo ni bora kukaa tukijua kuwa, mapambano ya kifikra hayana mwisho. As long as tunaendelea kuwa binadamu, kikomo cha kutaka maendeleo maishani mwetu hakipo, siku hadi siku tutataka kuishi vizuri zaidi kushinda siku zilizopita. Na katika kufanya hivyo, wale wote watakao onekana kuzuia fikra zetu za kujiendeleza ndiyo watakao kuwa adui wetu kwa wakati huo, kama tu ilivyo kwa wakati huu.

SteveD.
 
SteveD

Haya bwana mimi nina subira sana, sina ukomo wa kupambana kifikra, wasiwasi wangu ni kwa wale wasio na subira.
 
SteveD

Haya bwana mimi nina subira sana, sina ukomo wa kupambana kifikra, wasiwasi wangu ni kwa wale wasio na subira.
FD......... kuna neno shari uking'amua na kuweza kulichomeka sehemu yoyote katika sentensi yako hapo juu utakuwa umepata upande wa pili wa shillingi !!!! lol
 
SteveD

Haya bwana mimi nina subira sana, sina ukomo wa kupambana kifikra, wasiwasi wangu ni kwa wale wasio na subira.

hi kitu ndio inawafanya watu wajinyonge ! lakini nina imani tutafika tu hata kama itachukua karne moja !
 
Wanaopinga ufisadi machoni mwa mafisadi ni watu wabaya na wasiotakiwa hata kidogo, ni bahati wanafukuzwa.

Usiposema wewe, kaburi lako litasema
 
Hii Breaking News mbona magazeti hawajaandika? Ina maana JF iko juu zaidi ya free press? Ndio maana walitaka kutufungia? Hehehehe!
 
Mambo ni magumu kwa Alphonce....Amejisalimisha kwa old buddies wake walioko (TSS)eti usalama wa taifa ili wamsaidie soo la KUGHUSHI BARUA YA BODI KWENDA SERIKALINI ILI AONGEZEWE MUDA KULIHUJUMU SHIRIKA...........hao jamaa wanatakiwa kusaidia kuandaa kikao hewa cha BODI chenye Minutes na Resolution inayohalalisha yeye kupendekezwa aongezewe muda ili aweze kutoa majibu kwenye bodi yake....wafanyakazi wanaaita "Ze Comedy " baada ya hapo watangaze kwamba JF ilitoa waraka uliokuwa wa Uwongo.Tunatafuta jina la mtu wa Ikulu aliyepewa jukumu la kusaidia UFISADI.
Wakati tulikuwa tunajiuliza kwanini bodi haikustuka wakati inasomewa barua ya Alphonse kuongezewa muda bila wao kujua....tumegundua yafuatayo.
Mpango ulikuwa umeandaliwa kuwapeleka wajumbe wa bodi ZURICH (GERMANY) na JOHANESBURG (AFRICA KUSINI)wakashangae shangae.
Siku moja baada ya kikao cha bodi ukamilisha Forgery ya kupata Uboss kesho yake wajumbe wote wa bodi walipanda PIPA.....wakapumbazwa na PIPA na yale waliyoenda kuyaona Huko wakasahau kabisa Hoja ya wao kutohusishwa katika uteuzi wa Alphonce..........Kama yupo anayebisha na Asema Laa Anyamaze milele.
TPB STAFF WANASEMA HAWATARUDIA KOSA LA MAYAHUDI.....wakusulubiwa ni ma-baraba na si yesu.
 
Maendeleo mengine ni ugunduzi wa Njama zinazofanywa kwa ushirikiano wa Mdada aliyeajiriwa TPB akitokea Vodacom na mmoja wa Maafisa wa Ikulu na Polisi Mmoja hivi kupata nakala toka mitandao ya cm kwa simu za TPB staff ili waweze kutrack mawasiliano ya watu wanaojaribu kusema ukweli.

VODACOM na mitandao mingine muwe waangalifu na hizo itemised mnazotoa yatawatokea puani.Msitulazimishe kuwa mamilionea.

Usalama wa taifa angalieni watu walioko katika idara yenu maalum kwa usalama wa mafisadi.............. Muwashughulikie.

Inasemekana jamaa kasoma na Alphonce.

OOoh i was about 2forget...Alphonce anadanganya watu kuwa JK ni Shemeji yake...... ni ushemeji wa Photocopy hauna lolote...Eti kwa kuwa kaoa bagamoyo ................

NAVALONGE SWELAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Maendeleo mengine ni ugunduzi wa Njama zinazofanywa kwa ushirikiano wa Mdada aliyeajiriwa TPB akitokea Vodacom na mmoja wa Maafisa wa Ikulu na Polisi Mmoja hivi kupata nakala toka mitandao ya cm kwa simu za TPB staff ili waweze kutrack mawasiliano ya watu wanaojaribu kusema ukweli.

Asnte kwa taarifa hizi,
Mkuu FMES ,Mzee Mwanakijiji,Mwafrika wa kike na GT kuna suala muda mrefu nimetaka kulizungumzia ila nadhani huu ni wakati wa kulisemea,ni hii tabia ya makampuni ya Simu kutoa Siri za watu hasa maongezi na sms kwa watu wa Usalama,wanasikiliza kila kitu kinachoongewa na simu na kupeleka kwa wakubwa.

hii ni tahadhali kwa wale ambao hamtumii thuraya kwa mazungumzo ya siri.Na ni majuzi tu hapa Manji ameajiri vijana wengi toka kampuni moja ya simu na anawalipa mishahara mikubwa na haijulikani wanafanya kazi gani coz inasemekana ni wataalam wa masuala ya mawasiliano.

nimetoa angalizo.hasa kwa wale mnaotumia internet ya makampuni ya Simu coz wanatrack everything you post hii in Jf kuangalia website gani mnazotumia.wana Id ya kila Mteja.na hii inawezekana has kwa kampuni moja ambayo inatumia WIMAX technology.

Kazi kwenu,na habari ndiyo hiyo!!
 
mimi nitawagonga tena hawa watu wa Usalama wa Matumbo ya Wenye Taifa.. hivi kwanini tuishi katika hali ya wasiwasi katika Taifa letu wenyewe? Kwanini wao wanafikiri kwa vile vibendera vinapepea basi wana aina fulani ya ujiko?
 
Asnte kwa taarifa hizi,
Mkuu FMES ,Mzee Mwanakijiji,Mwafrika wa kike na GT kuna suala muda mrefu nimetaka kulizungumzia ila nadhani huu ni wakati wa kulisemea,ni hii tabia ya makampuni ya Simu kutoa Siri za watu hasa maongezi na sms kwa watu wa Usalama,wanasikiliza kila kitu kinachoongewa na simu na kupeleka kwa wakubwa.

hii ni tahadhali kwa wale ambao hamtumii thuraya kwa mazungumzo ya siri.Na ni majuzi tu hapa Manji ameajiri vijana wengi toka kampuni moja ya simu na anawalipa mishahara mikubwa na haijulikani wanafanya kazi gani coz inasemekana ni wataalam wa masuala ya mawasiliano.

nimetoa angalizo.hasa kwa wale mnaotumia internet ya makampuni ya Simu coz wanatrack everything you post hii in Jf kuangalia website gani mnazotumia.wana Id ya kila Mteja.na hii inawezekana has kwa kampuni moja ambayo inatumia WIMAX technology.

Kazi kwenu,na habari ndiyo hiyo!!

Gembe kwa upande wa JF na namna inavyopata mambo usijali kabisa kwani most of us tuko so many steps ahead of them. Kwa tech na mambo yote around tech .. hapa ndiko kuna chimwaga ya uchunguzi na counter uchunguzi... so waache wacheze tu!

Hakuna chochote wanachoweza kufanya. Nchi nyingi duniani zina tabia ya kushawishika kusikiliza mazungumzo ya simu ya raia zake na huu ni mchezo ulioanza zamani sana!

For this one, wao wanacheza mchezo uliopitwa na wakati!
 
Gembe,

Sasa kwenye mahesabu yao pia wata back date payments kwa ajili ya huo mkutano hewa?!!!!!!!!.

Maana ukiangalia muda na kisha hakuna posho za members wa bodi utagundua ni hewa!!

So simple to track down ujinga kama huo.

Wanted?, husiwe na shaka tunamuulika huyo msimamia usalama wa watu wanaofanya ufisadi.
 
Back
Top Bottom