Posta yatimua wakurugenzi.. kisa JF!

Ahsante sana mwanakijiji kwa taarifa hiyo....Naomba nikusahihishe kidogo.SIO POSTA ni BENKI YA POSTA.Waliopewa likizo ya lazima ni...Vyeo Vyao.Mkuu wa kitengo cha COMPLIANCE.Katibu wa BODI.na Mkuu wa Kitengo Cha UTAWALA.......JF NI BORA MJUE MUUNDO WA BODI YA BENKI YA POSTA (ze COMEDY TEAM )BODI ILIYOKUTANA NA KUPITISHA UPUUZI HUO ILIKUWA NA WATU WATANO.MWENYEKITI AKIWA NI MTUHUMIWA....BENEDICT KAPELEGA AMBAYE NI MMOJA WA WAKURUGENZI WA SHIRIKA LA POSTA.SHIRIKA LA POSTA NI MWANAHISA KATIKA BENKI YA POSTA ANAWAKILISHWA NA BODI MEMBER WAWILI,MWINGINE ANAWAKILISHA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA POSTA NA SIMU CHA KUWEKA NA KUKOPA AMBAYE PIA NI MFANYAKAZI WA SHIRKA LA POSTA !!!! KWA HIYO WATATU KATI YA BODI MEMBER WATANO WALIKUWA NI WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA...BOSI WAO AKIWA NI MWENYEKITI KWENYE HIYO BODI.WAWILI WALIOBAKI MMOJA NI MWAKILISHI WA HAZINA NA MWINGINE NI MWAKILISHI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR.BODI HAINA MWENYEKITI AMBAYE HUTEULIWA NA MWANAHISA MKUU AMBAYE NI SERIKALI YA MUUNGANO.SERIKALI YA MUUNGANO KAMA MWANAHISA MKUU HAINA MWAKILISHI AMBAPO WANATAKIWA WAWILI MMOJA AKIWA NI MWENYEKITI
 
Haya ni mambo ya ajabu sana, muundo gani huu wabodi kam hii? inafanana sana na Bodi ya BOT. Amaa kweli wajinga ndio waliwa! Ni kweli walipokuwa wanatengeneza muundo wa bodi hakujua kuwa ni wakihuni, naamini walifanya hivyo kwa masirahi yao binafsi kama tunavyoona sasa wanavyoitumia hiyo bodi Feki.
 
Made in Tanzania. Ukisema waalifu unageuziwa kibao na kuitwa mwalifu.

Halafu ni nchi yenye kuheshimu utawala bora na pia mabango ya kuzuia rushwa kila OFISI. Inabidi tuache usanii huu.

Nafikiri inatakiwa mambango yabadilike kuanzia Airport na kusema kuwa katika nchi yetu ni ruksa kuchukua na kutoa rushwa.
 
Mmmh....Sijakuelewa a.9784 UFISADI PIA ni siri ya kampuni ???? nafikiri tuelimishane vema.mimi si mmoja wao na wala si mwajiriwa wa benki ya posta lakini ni mdau mzuri......WAMECHEMSHA....
 
kana-ka-nsungu....hizo habari si sahihi...wakurugenzi watatu maepewa barua jana jioni...wanaenda likizo ya lazima kwa kipindi kisichojulikana.HIZO NI FACT....SI DHANA
 
Tatizo kubwa la nchi yetu kama alivyosema FMES ni kutofuata SHERIA....
Huyu rais wetu JK ndiye aliyewataka wananchi kuja front na kuibua Uhujumu wowote ule ambao kwa madai yake serikali itayafanyia kazi... Hakuna kilichofanyika!.
Matokeo yake sasa wananchi wanaojitokeza wanapoteza ajira zao na kibaya zaidi ni kwamba serikali haifuatilii kufukuzwa kazi kwa hawa jamaa zetu wala hakuna sheria inayomlinda mtu huyu zaidi ya kuwa ktk makabrasha..
Kwa mtaji huu, kesho nani atakuja jitokeza kueleza maovu kama haya?..
 
kana-ka-nsungu....hizo habari si sahihi...wakurugenzi watatu maepewa barua jana jioni...wanaenda likizo ya lazima kwa kipindi kisichojulikana.HIZO NI FACT....SI DHANA
Mimi nimewasiliana na mmoja wa wakurugenzi hao (ambaye hajaguswa na hii kashfa) ndio maana naamini info niliyokuwa nayo ni more reliable. Amenihakikishia kama kungekuwa na jambo kama hilo angejulishwa.
 
Corporate Governance katika Tanzania bado ni very, very weak.

Bodi (BoD)haziwajibiki kwa ye yote na kwa lolote. Bodi hizi ni sehemu ya kulipiana fadhila na sehemu ya kuwaweka wastaafu wa chama, majeshi na serikali. Bodi nyingi kutokana na muundo wake, hazina uwezo au upeo wa kuelewa ni nini kinachokuwa presented by management. Matokeo yake ni kukubaliana 100% na maoni pamoja na matakwa ya hiyo menejimenti wanayotakiwa ku-imonitor. Kutokana na hilo, ikitokea menejimenti ni ya kifisadi, Bodi inakuwa ni chombo tu cha utekelezaji wa malengo hayo.

Hii inasababisha kupotea kwa tofauti kati ya Bodi (as Principal) ambayo inawakilisha shareholders na menejimenti (as agent) iliyowekwa na Bodi kwa niaba ya shareholders.
 
Mwanakijiji kazi kwako na waandishi wa habari watafuteni hawa wahusika;

:TUICO Chaiperson wa Benki ya Posta, 0784 333819 na za watuhumiwa ambao wanafukuza wapiga filimbi ni, Alphonce Kihwele +255 784 228855 na direct line +255 22 2127995, Benedict Kapelega +255 784 381258 na +255 22 2111715 wajibu tuhuma si kutafuta mchawi.
 
Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.

Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.

Waafrika ndivyo tulivyo!

Samahani kwa niliowakwaza.
 
Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.

Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.

Waafrika ndivyo tulivyo!

Samahani kwa niliowakwaza.

FD, mimi ni wa kwanza Mkuu kukwazika lakini nikiangalia Botswana, Namibia, Kenya, Zimbabwe, Rwanda, etc etc etc........ pamoja na madudu yetu (Zim, Rwanda, Kenya) lakini kuna kakitu kanaitwa sanity ambao pamoja na kula wanaweza kuacha makombo na maendeleo yanaonekana kwa kweli!!!!

Hivyo, ndugu yangu FD kwa kweli nakubaliana na "Hoja" lakini generalization yako ya "WaAfrika ndivyo...." hapo Mkuu hapana, I beg to differ!!
 
Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.

Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.

Waafrika ndivyo tulivyo!

Samahani kwa niliowakwaza.


Heshma kwako Mkuu FD, ila naomba kutofautiana na wewe. Mimi siamini kwamba utendaji wa Watanzania wote uko sawa. Angalia Bw. magufuli alipokuwa Ujenzi ni tofauti na Fisadi Chenge, Mrema alipokuwa mabo ya ndani ni tofauti na waliofuata baada yake, Sokoine alipokuwa PM etc.

Mimi nashawishika kuamini kwamba siasa za Tanzania zimeshikwa na wasiowenyewe. wenyewe hawajapewa nafasi toka CCM hadi Upinzani.
 
Ila amini amini nawaambia hata sisi hapa JF ambao kwa sasa tuna malengo mazuri.

Tukipewa nchi mambo yatakuwa kama yalivyo sasa huko serikalini.

Waafrika ndivyo tulivyo!

Samahani kwa niliowakwaza.

Mkuu huu ndio ukweli

Ndo maana baadhi tunao ona hili tunasema katiba ndio kitu cha kwanza. Vinginevyo sis ambao hatuna haja ya kugombea uongozi tutabaki kuandika hapa JF wakati wenzetu wakifanya madudu kama haya.

Cha muhimu tunatakiwa tuweke vizuri terms of reference
 
.... ha ha, tumia PM au email, ukishindwa hivo zitundike kwenye globu ya kaka Michuzi ........ :D

Sasa si ndio nitatimuliwa kama hao wa posta! Manake Ukurugenzi wa Kula Breki!!!-Utakuwa mashakani, enewey nitajaribu vidokezo,barua pepe na kadhalika...:rolleyes:

Kwa kaka kule bado natafutia vesheni ya Kula Breki!!! sijui niitaje "Michuzi Yamwagika" tehehe :D
 
Back
Top Bottom