Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,202
- 44,238
- Thread starter
- #21
ukiona ufisadi kwenye ofisi yenu usiseme hadharani na hata kama umeshindwa kuwasilisha kwenye vyombo husika kwa sababuu za kuhofia kibarua chako; na kwa vile Tanzania hatuna sheria ya kuwakinga wanaotoa habari za ufisadi basi watu hawa kuanzia sasa wanatakiwa wakae kimya na wasitoe habari hizo kwa umma; wajaribu kumalizana kimya kimya.. vinginevyo wajiandae kwa retaliation..