Latete Snr
Member
- Feb 21, 2015
- 79
- 24
Jamani hatuelewi serikali ilikuwa ina malengo gani kutuweka nyumbani takribani miezi 7! Labda mnaweza kunisaidia mawazo😡😡😡
heri yako wewe uliyefaulu kuna wengine wanawaza wafanye nn hawafikirii post muda huu wewe subiri form 5 wenyewe shule hawajafunga then unataka post walimu soon ndo wameajiriwa wanangoja chaguo la pili chamsingi kama umepata GPA 5.0 - 1.6 Kwa GIRLS mbona shule ushapata kwa boys GPA 5.0-2.0 usitie shaka we katafute material ya form 6 waliomaliza ujipige brash dogo.