Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Jamani hatuelewi serikali ilikuwa ina malengo gani kutuweka nyumbani takribani miezi 7! Labda mnaweza kunisaidia mawazo😡😡😡
 
Hili jukwaa ni la siasa,hoja yako peleko jukwaa la elimu.
Huku utapigwa siasa tu
 
nimekuja huku sio kwamba jukwaa la elimu sijaliona laahashaa nimekuja huku ili nipate mawazo ya wanasiasa
 
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza kutoa majina hayo.
 
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za
ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la
mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya
kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa
mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa
wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga
majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na
kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia
sasa wanaweza kutoa majina hayo hivyo endelea
kututembelea kwenye blog yetu kwani mda
wowote tukipata taarifa kamili ya orodha
tutaweka punde si punde unaweza wasiliana nasi
kupitia thomaslugoye@gmail.com/0768248512/
ukurasa wetu wa twitter thomaslugoye/ukurasa
wetu wa facebook thomas lugoye.

Angalia inbox yako ya gmail
 
Jamani hatuelewi serikali ilikuwa ina malengo gani kutuweka nyumbani takribani miezi 7! Labda mnaweza kunisaidia mawazo😡😡😡

Ase jamaa wamekawia sana ila nadhani uenda ikawa ni kwa xbabu ya matokeo ya awamu ya pili kucheleweshwa pia
 
Dont think about the posts if you had passed the exam,,the important issue here is just to think how do you gonna get the requirements for the joining and how you gonna manage a'level studies.
 
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza kutoa majina hayo.

Usidanganye watu we tapeli. Necta haihusiki na kuwapangia shule kidato cha tano. Kazi ya necta ni mitihani tu.
 
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza kutoa majina hayo.

1. Nyie ni kina nani mpaka mkazihoji hzo mnazo ziita idara za ndani za NECTA kuhusu post?

2. Aliyewqmbia kwamba NECTA ndo iko responsible na kutoa post ni nan?

3. We kukaa miezi sita tu hyo ushalalamika wakati unakula bure na kulala bure kwa wazazi wako, unafkr ww ni bora kuliko walim waliosota miezi 11 mtaani wakisubiri ajira?!!
 
aisee n muda mrefu sasa kwann serikal isitoe hizo post! itakua vyema km 2tafaham mapema shule zp tunaend na comb gan
 
Mda mfupi uliopita tumetoka kuonge na idara za ndani na mmoja wa wafanya kazi katika baraza la mitihani NECTA tukujaribu kumhoji juu ya kuchelewa kwa posti za kidato cha tano kwa mwaka 2015 na akaweza kutueleza kuwa wanaendelea kukamilisha mchakato wa kupanga majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na kuwa mda wowote kuanzia sasa wanaweza kutoa majina hayo.
hiyo mbona n kaz ya moevt sio necta au unatudanganya tu
 
iiiv jaman kwan hizi post za waliochanguliwa kidato cha tano mwaka 2015 hazijatoka tuu?
 
Ni MApema Sana uliza wenzako walioko form six wamezipata mwezi wa sita na sio April Kama zamani...jiandae tu mwezi wa sita katikati au mwishoni zitatoka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom