Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Wacha nile bataaa mpaka kuku waone wivu miaka minne shuleni then hz miez 6 tu ngoja tu nile raha za kitaa zikitoka tunaenda skul zikichelewa tunazidi kuchelewa so nawashauri form 4 lever wenzangu nyie kuleni bata tu coz naskia ukifika huko utakumbuka kwenu
 
hizo zote ni tetesi,mwenzenu nishachoka kusubiri hizo post ,ni afadhari sana unakaa uku unajua post yako kuliko unakaa wakati hujui lolote
 
Wacha nile bataaa mpaka kuku waone wivu miaka minne shuleni then hz miez 6 tu ngoja tu nile raha za kitaa zikitoka tunaenda skul zikichelewa tunazidi kuchelewa so nawashauri form 4 lever wenzangu nyie kuleni bata tu coz naskia ukifika huko utakumbuka kwenu
haha kweli big result now
 
et wana jf unaweza kuchaguliwa shule tofauti kabisa na ulizojaza kwenye sel form

Ukipangiwa shule uliyojaza ujue ipo karibu na kwenu.
na mbwembe za wanafunzi kujifanya hamtaki kusoma karibu na kwenu mtaisoma vizuri.

Siku hizi mambo yamebadilika sana, mpaka necta wananzisha kampeni yakuua physics kwakuweka topic za P1 kwenye P2 na p2 kwenye p1 bila ata ya tarifa kama walicyofanya mwaka huu.

Post zitatoka kabla ya wiki tatu kwenda shule ila usishangae kupangiwa HKL uliyejaza PCM na kupelekwa Songea boys uliyejaza Minaki.

Sikuogopeshi ila ndiyo hali halisi.
 
Lakini Pia Wana Jf
Waweza Chaguliwa Comb Ambayo Uliijaza Katika Nafasi Ya Tano Katika Karatasi Ya Machaguo???

Njia Panda Mwenzenu!
 
Na mm ni mmoja wenu
Vp kuhusu alama wana chukua kuanzia ngapi?
 
Duh fm5 hata hawajafanya paper ya kufunga shule munawaza post sa hz mwez wa sita huku tar za kumi natano hv!
 
Ukipangiwa shule uliyojaza ujue ipo karibu na kwenu.
na mbwembe za wanafunzi kujifanya hamtaki kusoma karibu na kwenu mtaisoma vizuri.

Siku hizi mambo yamebadilika sana, mpaka necta wananzisha kampeni yakuua physics kwakuweka topic za P1 kwenye P2 na p2 kwenye p1 bila ata ya tarifa kama walicyofanya mwaka huu.

Post zitatoka kabla ya wiki tatu kwenda shule ila usishangae kupangiwa HKL uliyejaza PCM na kupelekwa Songea boys uliyejaza Minaki.

Sikuogopeshi ila ndiyo hali halisi.

Mimi nilichaguliwa Same sec..sikuichagua..ila sababu ipo Same ambapo ni karibu na kwetu Tanga nkapelekwa pale..nilichagua Mzumbe, Kibaha na Ilboru..sikupelekwa na matokeo yang ya olevl katka PCM niliyochagua yalikua
Phys-B
Chem-A
Maths-A
Bado nilipelekwa same..na kuna watu waliopelekwa shule nilzochagua kwa matokeo mabaya zaid ya hayo..
Kwahyo hawa jamaa HAWAELEWEKI
 
Usiwaze kama kombi uliyochagua imekaa vizuri, utaenda hata kwa kuhama, ila usikute kombi ipo mlegezo, utasugua hapohapo..., mim lilinikuta nilipangwa mwenge singida shule ambayo hata jina lake sikuwahi kulitaja,,,,, shukuru kwa kuchaguliwa kwanza
 
mimi comb zangu zote zimebalance kwa mfano nmechaguliwa comb ambayo cjaipenda nna uwezo wa kubadilisha?
 
mimi comb zangu zote zimebalance kwa mfano nmechaguliwa comb ambayo cjaipenda nna uwezo wa kubadilisha?

Inategemea na shule uliyopangwa utaratbu wao ukoje,, hapa ninapofundsha mimi hatufanyi huo ujinga, walokupanga ndo wakubadlshe haohao
 
Inategemea na shule uliyopangwa utaratbu wao ukoje,, hapa ninapofundsha mimi hatufanyi huo ujinga, walokupanga ndo wakubadlshe haohao

Duh, naona umeongea kiualimu zaidi!
Nyie watu nawachukia basi tu.O level nimechapwa sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom