k" boy umenipata lakin
subir kidogo mpaka walimu walipoti kazini
Mwezi huu znalipuka kama volcano
Kumbe humu ndani wapo hawa manyoka. dah JF imeshakuwa nyavu. Mungu bariki Jf.
Ficha ujinga wako...kwa jinsi ulivo siamini kama wewe ndiye ulipost huu ujinga...
Kwanini usifurahi na kukaribisha vijana wadogo kama hawa ili wawe na wao ni ma GT..
Inaonekana computer ungegundua wewe usingewapa watu wengine..shame on you
Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano,kwa kweli serikali ituonee huruma uku mtaani tulipo tumekaa mpaka tumechoka,au kwa yule anaye jua au hata fununu kuhusu hizo post zinatoka lini,tena tafadhali sana tujulishe ndg.
Ficha ujinga wako...kwa jinsi ulivo siamini kama wewe ndiye ulipost huu ujinga...
Kwanini usifurahi na kukaribisha vijana wadogo kama hawa ili wawe na wao ni ma GT..
Inaonekana computer ungegundua wewe usingewapa watu wengine..shame on you
Mkuu nimekupata vizuri anyway ilikua kama utani tu , vijana karibuni jukwaani , mkuu chuma cha reli lets peace reign between me and you . seleman msumeno karibuni sana jukwani ni matani dont take it serious.
jaman post mwez uhu wa 5 ndo zitatangazwa lakin tarehe bado aijajulikana
Mna hrk et
et wana jf unaweza kuchaguliwa shule tofauti kabisa na ulizojaza kwenye sel form