Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Tujaribu Kuitazama Siku Ya Leo Kwa Jicho La Pili! Wasipotoa Na Leo Basi Mm Naahrisha Tu Kwenda Advance Naanzisha Tu Bustan La Kulima Nyaya



Lakn Wakizitoa Tujulishane


Mtazamo Wangu Huo!

dah hapo ndugu nakuunga mkono yan wacpotoa hadi leo ujue kna k2 2 kwny serkal ye2 2mewakosea! ila kma ziktoka wana jf tuambiane jamani
 
habari wana jf bila shaka na mimi ni mmoja wapo kati ya wale wenye kusubiri post za kidato cha tano na tatizo la kucheleweshwa kwa hizi selection wala hatuzijui,kwa hiyo sasa cha msingi wakuu wangu jambo ambalo inabidi tulifanye ni kuzungu na kujadili ni kwa nini mpaka muda huu wala hazijatoka hizi selection zetu na sio kutoa tetesi za uongo na kutoleana maneno machafu humu ndani. MTAZAMO WANGU HUO
 
shule zote zinafungua tar 13 mwezi ujao, na kumbuka kuna siku za kujiandaa ivyo wiki hii haiwezi kupita bila post hizo kutoka tuendelee kutembelea tamisemi mala kwa mala.
 
Hivi kwa mtu aliyebalanc comb zote kasoro zenye mathematics na anasoma science,, halaf Math ana 'F' je anaweza kusoma CBG au PCB?????

hongera kwa kubalance combi kitu cha kwanza kukupa moyo ni kwamba unaweza kuchaguliwa PCB/CBG kutokana na ufaulu wako wa mchepuo na ujazaj wako wa self-form. hivyo kama PCB umefaulu sana kuliko CBG bac umepata nafasi ya kusoma PCB and vise-versa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom