Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Nyie BRN MNA kelele, au ndo kitaa hakusomeki mnataka mpakimbie? suala LA kujoin advance linajulikana kuwa July but mmepiga kelele hum kitambo xanaaaa. mnaboa

Acha kuzingua wewe vp mkubwa ago unaboa kinyama
 
Madogo hamu ya post isiwafanye mhangaike kiasi hcho kama kutoka zitatoka tu tulieni mda wa kwenda shule ni ule ule hata post zingetoka mwez wa 4 shulen ni mwez wa 7
 
website ya tamisemi ndg kama hujui ebu kajipange upya

hyo website ipo ila hiyo taarifa ndo haipo ni ya kutungwa coz walchaguliwa 75% kati ya hao wanafunz 73,583 so hyo 25% hawawez kuwa ndo wote hao 27,000. kama ni asilimia 25 ndo wameachwa basi wanafunz walioachwa watakuw kwnye 17,500-18,000... msilete habari ya kusadikika jf. ni ya kuaminika...
 
post zina toka sio mda kwasababu form six washamaliza na wakuu wa shule washatuma idadi ya wanafunzi wanao wataka hata msijari post zikija ww mwenyewe utachoka tu na shule omba sana upate shule nzuri
 
Tafta mwaka jana zilitoka mwezi wa ngapi ndipo uangalie mwaka huu (at least kwa kufananisha) Ila mwezi wa 6 hauwez kuisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom