Post bango dhidi ya malipo ya DOWANS

Richmond/Dowans ni kampuni hewa hivyo haistahili kulipwa hata senti moja ya pesa za walipa kodi wa Tanzania.
 
Dowans ni Mtoto, Mimba ilikuwa Richmond, tunamtaka mtia mimba ndio alee mwana!
 
bango siku hiyo nitaliandika hivi WATANZANIA WOTE TUKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA KUTETEA MALI YETU
RAIS TUKULIPIE SAFARI ZA NJE ZOTE HIZO UMETALII DUNIA YOTE BILA KULIPA HATA SENTI BADO UNATUIBIA!!!!!!!
 
Zombe alishinda kesi kwa sababu mlalamikaji ni marehemu, ndivyo ilivyo pia kwa Dowanzi?
.
 
Ninaomba serikali itueleze ni kwa nini mwanasheria mkuu aliruhusu wakili aliyeitetea tanesco icc bila kupitia utetezi waliokuwa wanapeleka, la msingi ni kuhusu utapeli wa richmond na ubatili wao pamoja na kwamba hawakutekeleza mkataba kama ulivyotakiwa?
 
Bora kukaa jela ulaya kuliko kuishi kwenye nchi ya mazingaombwe na maigizo kama tanzania.days for magamba are numbered.
 
shule za kata hazina walimu, hatuna maabara,wanafunzi wanasomea chini
jk umetuchoka!! tatalala huku barabarani mpaka kieleweke!!
 
lakwangu mimi litakuwa: kwa kuheshimu maamuzi ya mahakama; Dowans ruksa kulipwa; chadema ni wanafiki wa kisiasa.
 
'usiseme pia hujui kwanini dowans inalipwa'

husifiwi kwa kujaza choo bali maendeleo
 
Don't leave out the role of the AG, the former AG< chenge & gang. Do not ALL contracts go through the AG's office??
 
Back
Top Bottom