Possible Intelligent Life out there

Possible Intelligent Life out there

Roswell incident ingawa ni issue ya kweli lakini si kwamba ilikuwa ni unidentified flying object bali military balloon katika harakati za kuchunguzana wakati wa cold war.
Just a millitary balloon! so the US gvt says. mbona walikataa waandishi wapige picha if it was "just a millitary balloon". mbona eye witnesses walisema waliona miili ikitolewa, imebebwa in plastic bags. And an eyewitness said kuna mwanajeshi alimwambia "you never saw anything, you hear?".

LOL I'm not purporting that it was an allien "plane crush", I dont want to get carried away with these things. Lakini the fact that waandishi walipigwa marufuku kusogea pale gets me curious. Au hawakutaka mataifa mengine yaone technology yao wamarekani)!! I dont know.
 
OMG I just gave it a quick google. Nimekutana na hii;

" Roswell has been
called "the world's most famous,
most exhaustively investigated, and
most thoroughly debunked UFO
claim".

Habari ya Rosswell niliangaliaga zamani kwenye NatGeo na History Channel.
Haya mambo usipotulia ukatafiti utakaa na imani za ajabu sana.
 
Some conspiracy theories are highly relying on terrible misunderstandings. And there's certainly gap between science theories of life on outer space and conspiracy theories of UFOs. The latter corresponds mostly to those misunderstandings. CC juve2012
 
Last edited by a moderator:
Hivi vitu kuhusu mwanzo wa ulimwengu mimi naamini kabisa,wengi hawaamini kwasababu ya imani za dini zao lakin mimi naamini kwa sababu imani ya dini yangu ilinielekeza tangu karne ya 7 huko.
..
Qur-an 21:30
Have those who disbelieved not considered
that the heavens and the earth were a
joined entity, and We separated them and
made from water every living thing? Then
will they not believe?
Hata kuhusu ulimwengu kuongezeka pia naamini
"The heavens, We have built them with
power. And verily, We are expanding
it" (51:47).
Monstgala
 
Last edited by a moderator:
there's certainly gap between science theories of life on outer space. . CC juve2012

hapo nilipo ku quote nakuomba unipe maelezo vizuri cjakupata vyema mkuu,
Natanguliza shukrani mkuu

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
hapo nilipo ku quote nakuomba unipe maelezo vizuri cjakupata vyema mkuu,
Natanguliza shukrani mkuu

.made in mby city.

Nina maana kuna very serious institutions zinazofanya utafiti katika eneo zima la future of humanity kwa mfano risk and future yetu katika dunia na ulimwengu huu. Hivyo kuna multidisciplinary researches ambazo zinatengwa na alafu kwa kuchagua watu wenye uwezo mkubwa sana wa kufikiri wanaingia katika programs ili wapambanue na kwenda mbele zaidi sana ya kawaida katika picha kubwa yenye maswali mazito kuhusu utu wetu na vipaumbele vyetu kama wanadamu. Suala la uwepo wa life or possible intelligent civilizations out of our Earth linatafitiwa kwa umakini wa hali ya juu, theories na facts zinaoanishwa na dhana inaundwa kwa kuangalia vigezo halisi vilivyopo.

On the other hand UFO fanatics hawa ni wengine wanafuatilia sightings za Aliens kwa kuangalia vitu vinavyopaa wasivyovitambua, alama fulani katika ardhi zisizokuwa za kawaida, radio transmission walizosikia na mambo mengine yasiyokuwa na explanation nzuri kwao. Hapa suala la life or possible intelligent civilizations linachukuliwa kutokana na kukosekana kwa ufafanuzi unaoeleweka.

Ya pili inabeba conspiracies pale kunapokosekana majibu lakini ya kwanza ni pure science.
 
Nimekupata mkuu Monstgala/Mgalanjuka
Mkuu kuna ukweli usiopingika ulimwenguni kote kuwa "we think different"
Sasa mkuu inawezekana law za physics tunazo apply katika maisha ya kila siku zikawa tofauti kabisa na law zitumiwazo na viumbe waishio anga za mbali?
Nimeuliza hivi kwa sababu sina uhakika kama kuna akina NEWTON, EINSTEIN, GALILEO, DA VINCI n.k. Huko space
Inawezekana wapo lakini wakawa na maBONGO yenye nguvu sana, tatizo linaloniletea mkanganyiko ni juu ya sheria za kifizikia kua au kutokua sawa

.made in mby city.
 
I have gone through what other people asked and monstagala's responses nakujikuta Kuwa what I wanted to ask has already been answered. Nikirudi kwenye topic...kwayote niliyoyasoma, ninayoyajua na chambuzi za biblia nilizozifanya naamini kabisa kuwa there are other beings in other planets regardless in our galaxy or other galaxies. Swali simple la kujiuliza na kutafakari kwa akili ya kawaida tu...hivi Mungu aumbe all this universe na madude yote haya magalaxies na manyota na yoote alafu viumbe atuweke kwenye hii dunia tu?
 
Nimekupata mkuu Monstgala/Mgalanjuka
Mkuu kuna ukweli usiopingika ulimwenguni kote kuwa "we think different"
Sasa mkuu inawezekana law za physics tunazo apply katika maisha ya kila siku zikawa tofauti kabisa na law zitumiwazo na viumbe waishio anga za mbali?
Nimeuliza hivi kwa sababu sina uhakika kama kuna akina NEWTON, EINSTEIN, GALILEO, DA VINCI n.k. Huko space
Inawezekana wapo lakini wakawa na maBONGO yenye nguvu sana, tatizo linaloniletea mkanganyiko ni juu ya sheria za kifizikia kua au kutokua sawa

.made in mby city.

Kanuni za kifizikia zinatarajiwa kufanana katika ulimwengu mzima kama tunabase kwenye thermodynamics. Lakini kanuni hizi ndizo zinafanya mazingira kufanana au kutofanana. Katika multiverse theories huko kuna concepts juu ya "universes" zenye set tofauti za kanuni na hili ni eneo lingine la utafiti. Huku kuna ugumu zaidi hata kwa kufikiri katika kawaida lakini linasomwa sana kipindi hiki.
 
Kanuni za kifizikia zinatarajiwa kufanana katika ulimwengu mzima kama tunabase kwenye thermodynamics..

Daaaah hapa mkuu kulimeza hili jibu kavukavu bila kimiminika itanisumbua sana, naona kama vile kuna ukweli umemiss hapo lakini nashindwa kusema ni wap,

Owkey then Monstgala/Mgalanjuka naomba utuwekee lile bango la kule UFO ili tuwe na mengi ya kuzungumzia hapa

.made in mby city
 
OMG I just gave it a quick google. Nimekutana na hii;

" Roswell has been
called "the world's most famous,
most exhaustively investigated, and
most thoroughly debunked UFO
claim".

Habari ya Rosswell niliangaliaga zamani kwenye NatGeo na History Channel.
Haya mambo usipotulia ukatafiti utakaa na imani za ajabu sana.
Mbona unatumia neno OMG? Why?
 
I'm not sure where you are coming from so sijui nikujibuje!!

Oh My Goodness!!! Nilikuwa naonyesha mshtuko. Au ningesema "Exclamation!!"
10593232_1484247018517913_5971386140569006031_n.jpg
 
Na nilijua tu utashupalia "God" na "god" badala ya kujibu hoja, kwa sababu huna hoja.

Nilishawahi kusema kuwa bilievers can not manage any intellectual argument, because, most of them are not intelligent.

Sorry, so long!!

" Nilijua Tu..." Wewe ndiye unahoji uwepo wa Mungu ? Hujijui Tu ! Wewe ndiye Mungu. Kama unsuwezo wa kujua nini MTU mwingine anawaza kabla hajaweka mawazo yake wazi. Pre science: wewe ni noma
 
" Nilijua Tu..." Wewe ndiye unahoji uwepo wa Mungu ? Hujijui Tu ! Wewe ndiye Mungu. Kama unsuwezo wa kujua nini MTU mwingine anawaza kabla hajaweka mawazo yake wazi. Pre science: wewe ni noma

Teeh teeh teeh abhaNYAKYUSA mli na matingo naloli. Meeeeeeeen i like your ID

.made in mby city.
 
Kanuni za kifizikia zinatarajiwa kufanana katika ulimwengu mzima kama tunabase kwenye thermodynamics. Lakini kanuni hizi ndizo zinafanya mazingira kufanana au kutofanana. Katika multiverse theories huko kuna concepts juu ya "universes" zenye set tofauti za kanuni na hili ni eneo lingine la utafiti. Huku kuna ugumu zaidi hata kwa kufikiri katika kawaida lakini linasomwa sana kipindi hiki.

Mkuu Monstgala/Mgalanjuka comeback in our 3D please, i need you here mkuu

.made in mby city.
 
Hello mkuu, NICOLAX nimeitikia wito wako. 🙂

Mkuu Monstgala/Mgalanjuka kwanza ahsante kwa kuja,
Mkuu, naamini huu uzi ndio utakao saidia kujibu maswali mengi yanayo husiana na possible intelligence out there
Nategemea mchango wako na wadau mbalimbali hapa jukwaa
Naomba uniwie radhi kwa usumbufu wowote ninaokupatia
Nakuomba mkuu utuletee lile bango kutoka kule UFO and ALIENS ili tujadili kwa mapana zaidi na ukiongeza chochote ujuacho kuhusu haya mambo

Naomba uniwie radhi kwa kutafuna muda wako

Haina shida. Nikipata nafasi nitatupia hapa hiyo kitu tuichambue.
 
" Nilijua Tu..." Wewe ndiye unahoji uwepo wa Mungu ? Hujijui Tu ! Wewe ndiye Mungu. Kama unsuwezo wa kujua nini MTU mwingine anawaza kabla hajaweka mawazo yake wazi. Pre science: wewe ni noma
Mbona kama ndiyo hivyo "mamungu" watakuwa ni wengi sana, kama tu kuguess atakachosema mtu tayari wewe ni Mungu basi ni shida!!

Mbona mtu aliyesoma saikolojia akikuangalia usoni tu najua tatizo lako, nae ni Mungu?
 
Back
Top Bottom