Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Mimi nadhan tungekuwa wa kweli tu, ofisi kubwa ya mwanasiasa makini ni jukwaani, sidhan kama kuna dhambi kuyasemea mambo hayo jukwaani, kama hoja ni kuandika barua tu basi hakuna haja ya kukaa bungeni waandikiane barua tu mambo yote yajadiliwe kwa barua.
Hata kama mnawapenda wabunge hawa wengi wao ni watu ambao hawajali wananchi wao, Mtu kama Rashid Mohamed ambaye mimi namheshim na kumkubali kama mbunge makini ila kwa hili alilosema lazima nimpunguzie credit naona kama amekurupuka pengine ni hasira za kukosa ukuu wa kambi ya upinzani.
Hapa hakuna udini ukitajwa ukristo wala uislam, ni dalili ya kukimbia hoja waelewe.
hapo red: **** mwenyeweNa ukweli wa wanasiasa wanakuwa na hotuba mbili pale jukwaani ya kuwaelezea mafala mfano hii ya kupinga posho na ya kweke mwenyewe kwa kuikumbatia na kuipenda ilhali akijua anaweza kupeleka kusudio kwa spika la kufuta posho lakini asifanye hivyo.
Kwahiyo wanasiasa hawana lolote zaidi ya kuangalia maslahi yao usibabaike sana na maneno yao matamu kikubwa tuangalie yetu yanatendeka? tumewachagua majimbo je wapo pamoja na sisi kwenye kuleta maendeleo ya jimbo? wamesaidia nini uwepo wao bungeni kuleta tija kwenye majimbo yanayotoka?
Na ukweli wa wanasiasa wanakuwa na hotuba mbili pale jukwaani ya kuwaelezea mafala mfano hii ya kupinga posho na ya kweke mwenyewe kwa kuikumbatia na kuipenda ilhali akijua anaweza kupeleka kusudio kwa spika la kufuta posho lakini asifanye hivyo.
Kwahiyo wanasiasa hawana lolote zaidi ya kuangalia maslahi yao usibabaike sana na maneno yao matamu kikubwa tuangalie yetu yanatendeka? tumewachagua majimbo je wapo pamoja na sisi kwenye kuleta maendeleo ya jimbo? wamesaidia nini uwepo wao bungeni kuleta tija kwenye majimbo yanayotoka?
Hapo mzee, hata hiyo 150000/= haitoshi! Tatizo hawataki kusema wanasubiriwa, badala yake wanapiga porojo tu!Mkuu kula Tshs. 40,000.00 inawezekana. Swali ni kuwa unakula na nani? Kama ana mke zaidi ya mmoja na ameenda nao wote na bado pale Chako ni Chako !!
hapo red: **** mwenyewe
Dah hapo nilijisahau, nilikua nahisi mishahara yao ni kama ya kwetu sisi!! Kwa hapo mkuu uko sawa! Nakubaliana na wewe.
wakuu natanguliza samahani kwa nitakayemkwaza lakini ukweli katika hili siwaelewi viongozi wa vyama vya upinzani including chadema kama wako serious! Hivi wanashindwa nini kususia posho hizo za wabunge??? Je kisingizio ni kwa sababu wakiacha ccm wanachukua?? If yes, je inaleta mantiki yoyote?? Kama ccm wanaziiba, (na of course ndivyo ilivyo) je wao wanaona wakiziacha watakuwa wamewasusia ccm na hivyo bora na wao waziibe??? Jamani, hili linanikoseha raha na kunipa wasiwasi kama kweli dhamira yetu ya kuikomboa nchi hii inadhihirshwa hasa na tunachokisema na kukikariri kila siku.
Najua ccm hawataruhusu kuziondoa hizo posho ambazo sisi tunaamini kuwa ni kuwaibia wananchi wanyonge wa nchi hii!! Sasa je, kwa sababu ccm watakataa basi na wabunge wa chadema wazichukue!!! Gosh!! Why? Hoping that two blacks will eventually make white??? Tuache uzembe!!! Na tumaanishe kwa dhati tunaposema tuna dhamira ya kumkomboa mwananchi aliyekata tamaa kutokana na uonevu wa serikali ya kikwete!!!! Viongozi wetu tunaomba mtutoe mashaka na kulifanunua hili!
naanguliza shukurani kwa viongozi watakaochukua hatua kulifafanua kwa makini suala hili!
una analyse kwa kutumia makalio
kinachoongelewa ni mfumo.Mfumo ambao utajaribu kuleta usawa na sio kususiwa kwa posho
mkuu chakaza, nashukuru kwa maelezo:
Binafsi naamini wabunge kujilipa miposho mikubwa kiasi hicho ni wizi na ubinafsi ulioratibiwa na serikali ya ccm! Haiwezekani ukamlipa mtanzania mmoja posho ya mwezi mmoja sawa na mshahara wa miaka minne ya mwalimu au polisi! Huu ni wizi na ukatili mbaya!!. Ambao ulipaswa kupingwa sio tuu kwa sababu ya kupanda kwa mafuta na kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha.... Ki uhalisi huu ni uchu mbaya sana wa mali! Kuwalipa mabilioni watu wachache wkt mama zetu wakijifungulia sakafuni! Na wangine wakiwa hawana uhakika hata wa chakula!!! ..."kususa" kwa namna hii ni sawa na kutoshiriki kuwaibia wananchi! Ni kuonesha hatuko tayari kujineemesha on the expense ya watanzania! Hebu tusaidiane... Tutazpoteza nini tukigoma kuzichukua? Itakiathiri vipi chama?? Nipe madhara ya kususa , nami nitatoa faida za kutopokea pesa inayochangia kumuumiza mwananchi wa tanzania! (tuondoe jazba! Naamini tunachokijenga ni kimoja)
Usicheze na pesa bwana. Ziache kama zilivyo! CDM hawawezi na hawataweza kususia pesa (bunge). Hilo halitatokea. Unakumbuka wakati wanaapishwa wakagoma kumtambua Rais, tuliwashauri nini hapa jamvini? Labda nikukumbushe, tuliwaambia kama hawamtambui Rais then hawana sababu ya kwenda bungeni kwa sababu Bunge linajadili mambo ya serikali inayoongozwa na wasiomtambua. Hapo zilifuata danadana za maneno. Unakumbuka juzi ule mshahara ulioitwa allowances ili kukwepa kodi? lakini pamoja na hayo kumbe hata allowance inalipiwa kodi.
Kwahiyo kwenye ishu ya pesa ni vigumu saana kutekeleza labda ujaribu kufikiria jingine
una analyse kwa kutumia makalio
kinachoongelewa ni mfumo.Mfumo ambao utajaribu kuleta usawa na sio kususiwa kwa posho
nilitanguliza kuomba samahani kwa sababu nilijua hili lingeweza kutokea na ni kawaida. Tujiulize kitu kidogo mery, mfumo huundwa na nini? Bila ya shaka mfumo unaundwa vitu kadhaa zikiwemo taratibu, sera, dhamira n.k tunaweza kuupinga mfumo kama mfumo, lakini pia tunaweza kupinga baadhi ya ellement za mfumo husika. Tunapoandamana kupinga unyanyaswaji wa wananchi waishio karibu na migodi tunaupinga mfumo, lakini pia ni katika eneo ama aspects kadha wa kadha! Si busara kuona mambo yasiyowatendea haki wananchi tukayafumbia macho kwa kisingizio kuwa tunachopambana nacho ni system... Si sawa! Jiulize hiki: Serikali ya ccm imewahi kutoa bonus ya migodi kwa viongozi wake (reffering kiwira) sasa, ikiamua ikasema kila mbunge baada ya kustaafu upewa squre meter 40x40 katika eneo la mgodi, should we expect our leaders to accept kwa dhana kuwa "kususa" si ufumbuzi? So wachukue? Nakwambia iko siku watu wenye uchungu na nchi hii watawalazimisha kurudisha mali zote walizozichota kutokana na kodi na jasho la watanzania... When that happens.... Sijui, but i wouldnt wish to see the day ambayo viongozi ninaowaamini pia watapaswa kurudisha!