Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,583
- 134,220
Ironically, two top CHADEMA leaders, who have been vocal and championed the debate to have MPs sitting allowances slashed, are among the biggest creditors. One has taken a 196m/- loan and another 100m/- both from CRDB Bank.
Records show that each MP (Daily News is in possession of the long list of the creditors) gets a 2,305,000/- monthly salary plus 5,115,000/- as constituency allowance, making the total deductible pay to 7,420,000,000/-.
The documents indicate that 883,000/- is deducted every month for five years to cover the 45m/- personal car loan each MP was advanced and a further 588,000/- paid as government taxes. However, the package does not cover per diem and sitting allowances which are only paid if an MP has attended Bunge sessions.
Source; Daily News
Wako wapi wale Pro-Chadema walikuwa wanapinga eti hakuna benki inayoweza kutoa mikopo kupitia posho, LAT na wenzako mpooo???
Wanabodi,
Mjadala wa Posho za Wabunge, umerindima kwenye kipindi cha Baragumu ambacho kiko live Channel Ten wakati huu ninapoandika post hii.
Mtoa hoja ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, amefafanua vizuri sana msimamo wa Chadema na kujielekeza suala la posho za Wabunge, ni suala mtambuka zaidi ya posho za wabunge tuu. Mhe. Mbowe, amekwenda mbali zaidi na kufafanua kwa nini Chadema inapigania kufutwa kwa posho hizo na sio kila posho ikiwemo kuunga mkono uwepo wa posho za kujikimu.
Pia Mheshimiwa Mbowe ameweka bayana suala la posho lisionekana ni la Wabunge wa Chadema tuu, linapaswa kuwa ni suala la bunge lote kwa sababu linahusu maslahi ya taifa. Mbowe akasisitiza ukiweka maslahi ya taifa mbele badala ya maslahi binafsi.
Ilipofika zamu ya Nape, aliunga mkono hoja ya Mbowe kuwa kuna posho za lazima na zile ambazo sio za lazima. Amekubaliana na Mbowe kuwa posho ya kujikimu ni posho ya lazima, hivyo iendelee kuwepo. Mhe. Nape, amekwenda mbali zaidi kwa kueleza dhamira yake ya dhati kupunguza gap kati ya wenye nacho na wasio nacho. Amekiri wafaidika wa posho ndio wale wale wenye mishahara minono na marupurupu kibao. Amesisitiza hoja siyo ya Chadema, hoja iko kwenye ule mpango wa miaka 5. Amesema unaungana na hoja za kufutwa kwa posho ambazo sio za lazima, ila kwa vile posho hizo zipo kisheria, basi kuondolewa kwa posho hizo kufuate utaratibu.
Miongoni mwa wachangiaji kwa simu ni Mhe. Zarina Madabida, aliiweka wazi kuwa suala la posho liko kwenye hotuba ya bajeti. Naye alitetea msimamo wa kuwepo kwa posho muhimu na kutolea mfano posho za madakitari na uwepo wa per diem. Huyu mbunge Mama Madabida, aliwashutumu wabunge wa upinzani kwa kuuiba hoja ya posho baada ya kuikuta kwenye kamati, hivyo kuiteka hoja.
MY TAKE.
Mbowe amejieleza vizuri sana kwenye hili suala la posho. Nape pia is good, anasimamia maslahi ya taifa.
Sijawahi kuona mkopo unaotolewa kwa kutegemea malipo ya posho..hyo mikopo unayosema inalipwa na mishahara yao..acha kupotosha watu.Nyie Pro-Chadema msiwe kama makinda ya bata yanamfata mama yao ata popote anapokwenda kama anavuka barabara. Hawo viongozi wenu wameishachukuwa mikopo benki kupitia hizo posho wanazozisema tena wa kwanza kuchukuwa ni Mbowe 200 milioni Zitto 150 milioni, mdhamini wao ni ofisi ya katibu wa bunge
Labda ingekuwa lugha ya kichangga hapo sina ujanja, kiingereza ata mbwa wangu nyumbani anajua, wewe ndio acha ushabiki kwa hiyo mpaka sasa bado utaki kukubali kama wabunge wako kina Mbowe wamekopa benki, labda nikuulize kwa nini Ofisi ya katibu wa bunge imewadhamini kwenye benki?hapo kwenye red.........acha ushabiki , soma bandiko hilo vizuri au lugha haipandi
Labda ingekuwa lugha ya kichangga hapo sina ujanja, kiingereza ata mbwa wangu nyumbani anajua, wewe ndio acha ushabiki kwa hiyo mpaka sasa bado utaki kukubali kama wabunge wako kina Mbowe wamekopa benki
Nimeiandika makusudi ili uibold. Ahahahaha ndio hivyo jamaa wameichukuwa mikopo benki.Byenot my caliber ..... enjoy your foolishnessbye
Marytina, hivi hatuwezi kutofautiana kwa hoja tuu bila kuitana 'wapuuzi'?!.yaan Nape anageuka kinamna namna awafurahishe wanainchi na mafisadi at the same time
Mpuuzi Nape