Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
live TBC,
CDM wanang'ang'ania posho zipunguzwe kumbe mpaka Mhe.Mbowe na Mhe.Zito wamezikopa teyari , Mhe.Lukuvi kamuaibisha Mbowe live.
Mhe. kaamisha mada kawa mpole kama kamwagiwa maji.
hivyo hata ikisemekana wakatae posho watakataa nini na zote wamechukulia mikopo
magamba wanaleta hoja za kipumbavu hapa.
kwanza wanaongeza tatizo juu ya tatizo kama mtu alishakopa kwa kutumia mshahara haruhusiwi kukopa tena.
mfano una mkopo benk ukaweka dhamana mshahara wako na ukirudi na kuchukua mkopo kwa mara yapili kwa utaratibu usioeleweka kama kutumia posho hilo ni kosa na litakuwa ni kosa la mkopeshaji na si la mkopaji.
kwa hiyo lukuvi hapo anatuambia kwamba serikali imefanya makosa mawili.
kwanza kwa sheria za pesa mahali popote duniani posho haiwezi kuwa dhamana ya mkopo.kwa sababu posho inakuwa halali pale tu mhusika anapohudhuria kikao husika.
wote wanaomsifu lukuvi akili zao sijui kama zina akili.
mtu anakiri kuiba ila utetezi wake ni kwamba hata mtoto wa mwenye mali nilimkopesha katika hizo.akili ya kushikiwa .
bila ccm imara nchi yetu itayumba-nyerere.
yametimia.asiyekubali ni tunda la ufisadi.
wadau naomba tuache ushabiki kama lukuvi anasema wamekopeshwa posho ni uongo na upotoshaji mkubwa..logically posho haiwezi kukopeshwa bali mshahara ndo unakopeshwa.Hoja ya Zitto inataka watoe posho za vikao bungeni ambazo mpaka leo wanachukua,inakuaje lukuvi aseme wamekopeshwa posho?hata hiyo mikopo huwainakatwa kwenye mshahara na sio posho tuache unafikiMbowe, Zitto wamekwisha kopa posho zao kwa hiyo hawana cha kuchukua wanatudanganya. Mbowe hajapinga baada ya lukuvi kudhibitisha kuwa walikopa
Du huu sasa ni usanii at its best juzi tu tumesmsikia Mkulo akisema wanaopinga posho wanatafuta umaarufu tena akaongezea kwamba kikao kijacho atakuja na karatasi ili wasiotaka posho hiyo wasaini. Sasa kama ulikuwa ni mpango wa serikali hizi porojo za Mkulo zilikuwa zinatoka wapi? Na kwa nini Mama Makinda akatishia hata kumfukuza Zitto wakati asichokitaka Zitto eti ni mpango wa serikali?
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
Posho za vikao vya bodi za wakurugenzi kwenye taasisi na mashirika ya UMMA ni balaa. Sio chini laki tano kwa kikao kimoja hata kama watakutana kwa nusu saa. Mbaya zaidi bodi hiz hazina manufaa wala tija yoyote kwenye taasisi hizi
Majibu ya Mbowe kwa swali kama lako:-Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
Akili yako inauwezo wa kukaa mbele ya keyboard na kutype si zaidi ya hapo. Mie nakushauri ujitoe tuu hapa JF kwa vile jukwaa hili sio size yako kuchangia. Unafaa kusoma yaliyomo humu ili uelimike kidogo. Huoni kuwa alichosema Lukuvi kimewaharibia zaidi kuliko kujenga? mtumishi kukopa sio jambo la ajabu, ila kusema kuwa dhamana ya mkopo wake ni hizo sitting allowance hapo inatia shaka zaidi kwa huyo mkopeshaji. FIKIRI KWA MAKINI.Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya