Posho na Mishahara ya wabunge...

hivi CCM wanaonaga aibu ugumu gani kukubali vitu genuine kama hivi..yaani wanakuwa staki nataka baadaye wanakubali...hahaaa niangusage mwenyewe beeh
 
Kwani vitu vingapi vya serikali vipo vitabuni? Hata mkukuta upo vitabuni pia na upasikini unasonga mbele!
Ndo tatizo letu hili kukubali kila tunaloaambiwa na Serikali, Lukuvi anasema mkakati wa serikali ni kupunguza matumizi mabaya ya serikali ikiwemo posho hizo, hivi hili linchi lina mikakati mingapi toka tupate uhuru? Hapa mi naona CDM waendeleze hii hoja mpaka kieleweke wakiamua kukaa kimya tu inakufulia mbali.
Ishu ya katiba ilianza hivihivi mpaka wakaikubali, hii posho lazima iondolewe la sivyo hata sisi madereva tupewe sitting allowance tunapokua tunaendesha magari yao "si tunaendesha tukiwa tumekaaa"
 
CCm wameona aibu wameteka nyara hoja yetu, magamba bwana watashindwa tuu
 

We unadhani Zitto ni mjinga kama wewe? hao watakao kuwa wamekopa pesa ambayo kisheria wanapaswa kupewa baada ya kuhudhuria vikao watakuwa mafisadi wa ccm hasa akina lukuvi ndio maana wanapinga vikari. Zitto bungeni hajaingia jana kama lukuvi anaelewa anachokiongea, na hiyo mikopo lukuvi ana orodha ya wabunge wote waliochukua? acha kupotoshwa kwa shilingi moja.
 

yaani Rais yuko bize kama mwanamuziki maana kila siku yuko safarini kufanya show...khaaaa...hivi kwa nini wasiwe wanamtumia report na emails tu kumu update yaliyojiri huko kwenye mikutano? yaani hata mkutano wa kujadili mambo madogo madogo naye yumo ...sasa afadhali angekuwa anaongea mambo ya maana !!! kwenye mikutano yote anayokwenda lazima alale usinmgizi utadhani ana homa ya malele...au sijui anaumwa na mbung'o pale magogoni??? JK tulia bana hivi ukoje wewe kwa nini huwi msikivu
 
hawan pa kutokea ndio maana wanakimbili kuwa eti imo kwenye mpango
 
Kijana wa nape huyo. Wewe uwe una akili za kufikilia. sasa unategemea Lukuvi amsifie au ampe umaharufu zitto! No way. Lazima ataonyesha kwa uongo kuwa hawa jamaa hawafai. Wewe mtu mwenye akili(kama unazo) ndo wakati wa kuzitumia na kuangalia who is right. Jambo dogo tu la kufikilia kama ni kweli zito amekopa kwa nini aeleze umma kwamba hazitaki ili hali anajua anamkopo na hizo sitting allowance ndo zinalipa deni? think about it. Na jambo jingine ni kuwa CCM wameshaona no way wanaweza kudefend hii ishu ya posho, wananchi wengi wako nyuma ya CHADEMA, what the wanna do now ni kuakikisha wanawaaminisha wananchi kwamba hii ni agenda yao, na kuonesha upande wa pili yaani CHADEMA wamedandia. Na kwa sababu watanzania wengi si watu wa kufikili mambo kwa undani, wanaweza kukubaliana na ccm
 
Wameona hatari iliyo mbele yao japo wameshachelewa! Zito keshaimaliza picha!!
 
Kumbe wabunge wa Chadema ni wanafiki wakubwa nimeangalia TBC leo asubuhi, Mbowe na wenzake kumbe wamekopa pesa benki wamedhaminiwa na Katibu wa bunge kuna wengine wamekopa milioni 200, wengine milioni 150, watakuwa wanakatwa kwenye posho zao. Mbowe alitaka kukataa Lukuvi akamwambia mmechukuwa Mbowe kimya
 
Ukimsikiliza Lukuvi alivyoongea unaona kabisa analeta siasa kwenye mambo ya msingi! Eti tutakaa tujadili na vyama vyama vyao tuone jinsi ya kuondoa hii posho. Mangapi vyama vya wafanyakazi wanapendekeza serikali inakataa hoja zao eti leo wao wakubali hoja ya serikali?
Hapa nadhani kama kweli wana dhati ya kuondoa hii posho au kuiboresha hata sisi madereva tufaidi lazima wachukue maamuzi magumu, hakuna maendeleo bila watu kuumia kidogo bana!
 
hapo kwenye red ni nini?
 
.

Uwaziri hausomewi-JK.So Lukuvi ni msomi mkubwa huko Magambani kwani ana cheti kikubwa cha UPE.Prof Maji Marefu a.k.a Mganga wa jadi na mbunge wa Korogwe naye ana cheti gani?
 
Who is the great thinker supporting this Imbecility?

Its only a nincompoop who can support This.
 
Kweli Ndg yangu Chupaku hawa waheshimiwe wanatakiwa kujua kuwa wapo pale kwa ajili ya kuwatumikia wananchi kwa kujitolea, sio kutafuta utajili!!!!!! Maana kweli kwa sasa ubunge umegeuka kuwa ni mtaji wa utajili, ukipiga hesabu kuanzia anapo ingia bungeni hadi atoke, huyu mtu atakuwa bilionea, hebu watu hawa wawahurumie wananchi waliowachagua!!!!!!!

I am afraid of an army of one hundred sheep led by a lion than an army of one hundred lions led by a sheep. Charles Maurice.
 

So what! Bado sijaelewa msimamo wako kwenye swala la posho.
 
go east ...go west...kwa hili watafyata mkia hawa ccm........likuvi mwenyewe amejikanyaga sana tu na kwa mbali kaonyesha nae kutozipenda posho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…