Porokwa apasua jipu la CCJ

Porokwa apasua jipu la CCJ

Taratiiiiiibu Lowassa anananza kuwachapa maadui wake vibao ndani ya chama.....! Kwa kweli hii mechi kali....!
 
Mnafiki mkubwa ni PAROKWA mwenyewe kwa kukalia taarifa hiyo akiwa ndani ya chama chake CCM bila kusema kwa muda wote huo, mimi naona hana tofauti na hao anaowatuhumu. Kama Parokwa sio mnafiki je, aliwahi kufikisha tuhuma hizo kwenye chama chake? kama hakusema mbona kabaki ndani ya CCM na hiyo siri ya waanzilishi wa CCJ? Ni heri ya mpendazoe anaesema leo akiwa chadema wakati mwanaCCM Parokwa akikaa kimya muda wote hadi pale chadema aliposema kupitia mpendazoe. Kukaa kimya ndani ya chama na siri nzito kama hiyo ni kosa kubwa zaidi na uhaini wa kupindukia.
 
Huyu mtoto hafai mara kada wa Lowasa mara tena CCJ mara CCM,haya ya CCJ kayajuaje kama nae si mmojawapo,aelezwe ajifunze siasa ni mpangilio wa maneno siyo kuropoka:A S-confused1: .leo Mary Chatanda mdomoni kwako kesho Lowasa keshokutwa Bro 6 mara Nape sasa we wakubwa zako ni kina nani,hii inaonesha dhahiri usivyoweza siasa hata huo ubunge uliokuwa unagombea waliokunyima hawakufanya makosa na kwa :A S angry:mila zetu we utaishia kulaaniwa :censored😛/SE DONT RUB SHOULDERS WITH ELDERS.PLAY YOUR CARD RIGHT DO NOT SHOW TO OTHERS YOUR WEAKNESSES.:target:
 
Naomba kuuliza..... Parokwa ni mzima? tutajuaje kwa kweli kwamba alikataa kuwa mmoja wa waanzishirikishi wa CCJ?
 
Huyu mtoto hafai mara kada wa Lowasa mara tena CCJ mara CCM,haya ya CCJ kayajuaje kama nae si mmojawapo,aelezwe ajifunze siasa ni mpangilio wa maneno siyo kuropoka:A S-confused1: .leo Mary Chatanda mdomoni kwako kesho Lowasa keshokutwa Bro 6 mara Nape sasa we wakubwa zako ni kina nani,hii inaonesha dhahiri usivyoweza siasa hata huo ubunge uliokuwa unagombea waliokunyima hawakufanya makosa na kwa :A S angry:mila zetu we utaishia kulaaniwa :censored😛/SE DONT RUB SHOULDERS WITH ELDERS.PLAY YOUR CARD RIGHT DO NOT SHOW TO OTHERS YOUR WEAKNESSES.:target:
Ujakosea huyu jamaa huwa sio strong na hawezi kusimama kama yeye,after all is not political material anadhani Lowasa atamwachia Monduli 2015.Hapa antaka kuwakandia wabaya wa EL wote,eti anamtengenezea Urais EL 2015.Binafsi sina ubaya nae ila bado yumo kwenye siasa za chama kimoja.
Porokwa na wabunge wa AR,mlikamatwa mnagawa rushwa na PCCB,nani aliwatuma PCCB wawakamate??? kama sio EL,vipi siku hizi zinaiva we na EL??siasa si hasa!! Kesho kwako kaka
 
Mkuu Marksman...unachosemaa ni kweli, kwa msajili kuna majina mawili tu ambayo ni ya Kiyabo na Muabhi....Na kama unavyojua, jamaa hawa walijificha kwanza ili chama kipate usajili kisha ndo waje, na alichosema Porokwa ni kweli, tulianza mazungumzo na CDM ili kushirikiana nao hata kama tungepata usajili wa kudumu. Hivyo mazungumzo yetu na CDM hayakuanza baada ya CCJ kukosa kusajiliwa.

Na kama watanzania watakumbukuka, kwenye press conference moja au mbili kama sikosei, niliwahi kusema CCJ inamgombea urais anayekubalika kuliko Kikwete wa CCM so hapa nilikuwa namaanisha Mh. Sitta.
[/QUOTE

Nawasiwasi Mlitumika kwa juu juu tu ndugu yangu yapo mambo behind the curtains hukuhusishwa.
 
In my opinion, dhamira ya kuanzisha CCJ ilikuwa nzuri. Wapiganaji hawa leo wanaonekana hawafai na hata wao wana hisi kuwa mbele ya macho ya wananchi hawakubaliki sana kwa sababu wako kwenye chama cha magamba, hasa kwasababu wamepokea kitu kidogo toka kwa JK (uwaziri). Hata hivyo pamoja na kwamba wao (6 and HM) ni waasisi wa CCJ, hii hiwafanyi wao kuwa si wapiganaji wa kweli; tutumaini tu kuwa siku za hivi karibuni watakuwa wazi zaidi kwa wananchi kuhusu msimamo wao. Tungojee mafunuo megine zaidi kabla ya kuwa judgemental!
 
Kuna mabo mawili katika kuharibika mimba: Miscarriage au Abortion. La kwanza halipaswi kujadiliwa sana ila la pili ni KOSA kubwa kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Tanzania. We unataka kweli tusijadili wakati kuna dalili za abortion na waliotekeleza wanaruka kimanga halafu wanataka kuwa viongozi wetu!
CCJ, CCJ, hivi CCJ nayo ni habari kwa sasa? mnajadili mimba ambayo iliharibika ili iweje? mbona kuna watu waliowahi kuhama kabisa vyama vyao na wakajiunga na vyama vingine baadae wakarudi kwenye vyama vyao vya zamani na wakapokewa kama mashujaa na vyeo juu. Kwanza katika siasa za bongo mtu akitaka kujiongezea umaarufu anahama chama chake kisha anarudi tena kama shujaa na kupewa vyeo.

Tujadili mambo ya msingi yanayolihusu taifa letu kwa sasa, sukari bei juu, nyama imekuwa ni anasa, nauli za mabasi juu, mafuta n.k
 
Porokwa from Monduli anayazungumza haya ya CCJ kwa faida ya nani? Kati ya makundi mawili WAADILIFU na WALA NCHI, Porokwa anaunga mkono kundi gani? Mwenye jibu sahihi atapuuza taarifa zote zinazotolewa sasa kuhusu CCJ na kuzidisha bidii katika kufanya kazi ili kupata riziki yake ya kila siku kwa manufaa ya familia yake
 
Hii ni vita ya Waarabu wa Pemba (Wanajuana).

Hapa hakuna msafi sio Sitta na kundi lake wala kina Lowassa pia. Hawa wote walikuwa kundi moja la mtandao lililomuweka JK madarakani ila baada ya kutofautiana kimaslahi hasa issue za madaraka.

Watanzania tusiwe wepesi kusahau, hakuna miongoni mwa hawa watu mwenye machungu na watanzania hata kidogo. Kila mmoja wao anajifikiria binafsi sababu kama si WANAMTANDAO leo Tanzania isingefika hapa tulipo kila kitu vururuvuru.

Aisee, umesema kweli! hakuna msafi hapa si Sitta wala Mwakyembe wote wanatafuta popularity na kuungwa mkono na wananchi waonekane wao ni wasafi zaidi. Kwangu mie Mpendazoe is a hero maana ameweka ukweli hadharani na alipoteza maslahi yake ya bunge kwa kutaka kuonyesha dhamira yake kwa vitendo. Sitta na Mwakyembe ni wanafiki kupita kiasi, wanaikana vipi CCJ wakati wenye akili zetu tulishawajua long time ago????!!!
 
Vita ya panzi nafuu ya kunguru, endeleeni kuvuana nguo, sisi yetu macho.
 
Porokwa from Monduli anayazungumza haya ya CCJ kwa faida ya nani? Kati ya makundi mawili WAADILIFU na WALA NCHI, Porokwa anaunga mkono kundi gani? Mwenye jibu sahihi atapuuza taarifa zote zinazotolewa sasa kuhusu CCJ na kuzidisha bidii katika kufanya kazi ili kupata riziki yake ya kila siku kwa manufaa ya familia yake
hao wala nchi mbona hawapelekwi mahakamani
 
Re: Azma ya Rostam Yatimia: Kubenea Atiwa Mfukoni hatimaye!
MAFISADI HAWANA JIPYA WAMEDODA NA WAMEFULIA KISIASA..........................., bado naendelea kuamini kwamba mafisadi hawana jipya na watazidi kuchemsha na kundi lao lote na vijana wao wote wao ndio wanaopanga njama na kumuingiza madarakani kijana wao kutoka visiwani JAMAL KASSIM kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mh Masauni(Mb) naamini hawatafanikiwa hata kidogo....nasema hata kidogo.

-wacha wamnunulia Kubenea hata JUMBO MASHINE PRINTER nini hicho kikoroboi cha milioni 20-30, ila njama wanazozipanga hazitafua dafu hata kidogo wanaplan nyingi kuliko uwezo wao wa kufikiri, wanahela nyingi hawajui wazifanyie nini, wanakundi kubwa lisilo kuwa na tija, hakuna watakalofanikiwa hao. plan wanazotumia kumuingiza JAMAL KASSIM kuwa mwenyekiti UVCCM hazitafua dafu ni bora litibuke tusubiri mwakani 2012 kuliko hizo njama zao, kikao kilichokaliwa na hao vijana wao wa mwmvulia chini ya HUSSEN BASHE BASHE wasidhani havijulikani vinajulikana na wanayoyafanya yanajulikana.

-WANAPINGO KAMA IFUATAVYO: kama LOWASA hawi rais 2015 basi kijana wao EMENUEL NCHIMBI awe rais na LOWASA kuwa WAZIRI MKUU TENA hiyo ndio hesabu yao hata hili wataula wa chuya kwa uvivu wa kuchagua, leo wamemgeuka mwanamama wao MARY CHATANDA kwa kuwa hakuweza kumsaidia demu wao BATILDA BURIAN kuwa mbunge ARUSHA MJINI sasa imekula kwao waendelee kuvurugana tu na kijana wao JAMES MILLYA mwalimu sijui shule ipi ya sekondari aendelee kutumika utadhani sio mmasai halisi.

-wanamthumu kijana wa watu bure MRISHO GAMBO bila sababu yeyote japo naye mwanzo alikuwa wao lakini hawakumpenda na baadae amejua ukweli sasa wanamuona mbaya, nchii kila aliyekataliwa na BABA W TAIFA MWALIM JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNA ATAKACHOFANYA KIKAKUBALIKA MILELE hata kama utamfanyia mtu madhali ni ww unafanya itakula kwako na hao unaowafanyia.

-LOWASA ALISHAKATALIWA NA BABA WA TAIFA watanzania wanajua hilo....................., Mzee kambarage alishawahi toa hundi ya DOLLA LAKI TANO AMBAYO LOWASA ALIHONGWA NA WAHINDI KUKIUZA KIPANDE CHA ARDHI LEO NDIO KUNA SHULE YA AGKHAN MZIZIMA PRIMARY SCHOOL, hii lilikuwa MKUTANO MKUU WA HALMASHAURI KUU 1995 watanzania hawajasahau na hawatasahau hilo. wakati huo alikuwa WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO.

-KUBENEA ATAKULA NAO SAHANI MOJA PAMOJA NA KUNUNULIWA HUO MTAMBO na hao aliotajiwa kuwashughulikiwa haita tokea mbona wanamiliki MAGAZETI YAO YA TAZAMA linatoka kila JUMANNE NA LIMESHINDWA KUFUA DAFU, WANAMILIKI MKAKATI linatoka kila IJUMAA nalo limeshindwa kufua DAFU? NINI WANATAPA TAPA HAWA WATU? WAMEFULA.

-WAMEKULA YA MBUZI WATAOTA MAPEMBE.............................!!!!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Amesema muanzishi wa CCJ ni Samwel Sitta, Nape, Dk. Mwakyembe na Mpendazoe. Yeye aliitwa kuungana na wenzake, lakini akashutuka.

Yeye Porokwa na Makonda ndio walioleta Ccj Arusha, kuna watu wana Ushahidi wa kutosha na mipango yote hata sms zao, waulizeni waliokuwa viongozi wa ccj mkoa wa Arusha. Porokwa yeye ndiye msaliti mkubwa sababu alikuwa anakula pande mbili. Mambo yako wazi Arusha, sema amepewa vihela akakimbia Arusha
 
You are wrong there!!!!!!! Si lazima majina yote ya waanzilishi yawepo katika daftari la msajili! Narudia, siyo lazima! Watajwa walihusika 100 pwercent ila hawakutaka kwanza majina yao yajulikane hadi chama kingepata permanent registration ili wajitokeze, na baadhi yao -- kama vile Sitta -- kugombea urais.

Kwa nini hutaki kuona along these lines?

Hao wote walihusika lakini pia Porokwa alikuwepo asilimia mia moja na alikuwa kinyume na Lowasa, tuulizeni tuliomsindikiza akienda kujitambulisha kijijini kwao kuwa anamng'oa Lowasa, baada ya njaa kuzidi na mpango ukaharibika akaenda kupiga magoti kapewa kacheo na vijisenti kalamba miguu mafisadi, njooni muulize Arusha kila kitu kinajulikana na vikao pia. Kwanza Porokwa ndiye mbaya zaidi maana alikuwa na Sendeka akamtosa sababu ya pesa, akawatosa akina mpendazoe, na akawatosa wapiga kura wake na watu waliomchangia pesa maana hakuwa na hata mia! Mimi nafikiri Porokwa arudi kwenye kazi yake ya Uchungaji maana elimu yake ni ya Dini tu aliyosoma miaka mitatu Karen Bible School Kenya baada ya kumaliza darasa la saba.
Atahangaika sana na usaliti maana alianza kumsaliti Mungu pamoja na waumini waliomsomesha akaona mwanga vinginevyo angekuwa anachunga ng'ombe masaini.
Kama ni uongo ulizeni watumishi waliofanya kazi naye Masaini na Arusha. Huo ndio ukweli wa Porokwa kama kuna anayebisha atoe maelezo mengine، alikuwa anafanya kazi chini ya Kanisa la FPCT ulizeni maaskofu alivyowasaliti.
 
Back
Top Bottom