Porokwa apasua jipu la CCJ

Porokwa apasua jipu la CCJ

Fred Mpendazoe JASIRI SANA YULE BWANA, Usimpe sikio aongee, duh yupo fasta kweli!

Mshaurini Nape awatafute waliokuwa viongozi wa Ccj mkoa wa Arusha watamuumbua Porokwa maana wanao ushahidi wote wa Porokwa alivyohusika kukimaliza ccm Arusha na maeneo mengine wao na Paul Makonda. Porokwa ameharibu bila kuziba mianya
 
NASHINDWA KUMWAMINI POROKWA: NI MAMLUKI

Sitasahau siku ambayo Porokwa alitutangazia mhini Arusha azma yake ya kugombea Ubunge wa Monduli kwa kudai kuwa:
1. Lowassa si Mmasai, ni Mmeru ambaye jina lake halisi nI NDOKWARU NDOSSI
2. Ni fisadi ambaye anatumia kofia ya Umasai kujineemesha mwenyewe
3. Yeye Porokwa anaungwa mkono na wazee karibu wote wa Kimasai
4. Atapigana kufa kupona kumyang'anya NDOKWARU kiti cha Ubunge.

Tukamchangia fedha, tukaunda Kamati lakini baadaye tukasikia anajiondoa kugombea Ubunge na kujisalimisha kwa huyo NDOKWARU! Baadaye tukagundua kuwa alipewa pesa, tena kidogo sana, shilingi milioni tatu na kuzawadiwa Ukatibu Msaidizi wa Wilaya na swahiba wa NDOKWARU, bwana Makamba!

Aliyoyaongea yote kuhusu Nape, Mwakyembe na Sitta naamini ni dictation ya NDOKWARU a.k.a Lowassa. Angepata wapi ubavu, mtu mdogo kabisa katika Chama (katibu msaidizi wa Wilaya) kumvuta sharubu bosi wake Nape Nnauye? Naomba mnisaidie, nifanye nini nianze kumwamini tapeli huyu?

Nakubali maana nami nilikuwpo na nilipoteza pesa yangu nyingi tu kupeleka magari kijijini kwao. Hafai ndiye aliyeleta ccj Arusha huyu anajulikana na alikuwa akifanya kazi kwa siri sana akiwatumia marafiki zake waliokuwa wanakubalika kiushawishi kukieneza chama. Porokwa hata Lowasa atamgeuka tu akipata pengine
 
HATA MIMI SIMWAMINI: KATIBU MSAIDIZI WILAYA PRESS CONFERENCE BEN MKAPA BUILDING!

Angefanyia Press Conference yake viwanja vya Mnazi Mmoja au Shule ya Uhuru, ningemwamini kidogo, lakini Ben Mkapa building! Kapata wapi fedha ya kukodisha chumba chenye viyoyozi mlalahoi huyu? Jibu linajulikana - EL!

Angeandaa mwenyewe Press Conference hiyo, ningemwamini kidogo. Lakini katumia agency ya kina Fina Mango, agency ya kulipia! Kapata wapi fedha mlalahoi huyu kama si EL aliyemlamba miguu?

Naambiwa kashuka toka Arusha kwa ndege! Jamani Porokwa, ndege! Mtu ambaye miezi michache iliyopita alikuwa anadandia FUSO za vitunguu kutoka Iringa kwenda Namanga? Hapa, nauona tena mkono wa EL!

Waandishi wengi kama siyo wote tuliokuwepo pale, tumepewa "posho" au MSHIKO! Kapata wapi pesa mlalahoi huyu kama si EL?

Nakubaliana na Mkuu Fataki kuwa si rahisi wala kawaida kwa afisa mdogo wa wilaya kumvaa Mkuu wake wa Idara, Nape, bila mkono wa mafisadi waliompa hizo sh. milioni 3 ajitoe kugombea ubunge Monduli.

Pamoja na Porokwa kuwaambia watu wote kuwa yeye ni mpwa wa Sokoine, bado simwamini x 1,000. Anapenda pesa na rahisi kutumiwa!

Anadai ni mtoto wa nje ya ndoa wa Olemoleimet, mara Sokoine mara mzee Porokwa.
 
Can't touch this, wasituondoe njiani, hakuna kujivua gamba wala CCJ, issue za kitaifa kwanza, hayo ni mambo ya kambini kwao, tueleze ujasiri wa kudai change kwa BEA umetoka wapi ilihali watu wetu waliotuelekeza huku mmewasafisha kwamba hawana tuhuma za kujibu so change ya nini?hakuna kulala mpaka kieleweke
 

Mzee Mwanakijiji....

Kwa hili ni ngumu sana kutoa ushahidi wazi kwamba Porokwa alikutana na hawa jamaa...Mfano mimi niliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCJ, niliwahi kukutana na Mwakyembe na akanipa llift toka Kawe tulikofanyia kikao na kunirudisha nyumbani...Baadaye akaenda kuwa-join Makonda na Porokwa ambao tulikuwa nao wote kwa kikao... Hatukupiga picha na kwa kuwa mikutano hii ilikuwa ya siri sana ndo maana ni ngumu kukupa evidensi...

Sasa, mimi sina hakika kama Porokwa amezungumza haya kwa kuamua kusema ukweli au amesukumwa na mtu fulani, hata hivyo ukweli utabaki pale pale... Sitta, Mwakyembe, Nape, Mpendazoe, na Mwambalasa ndiyo waanzailishi wa CCJ. Hata hivyo kuna idadi ndefu ya wanaCCM waliokuwa wakiisapoti CCJ na kama nilivyosema ni ngumu kutoa ushahidi coz kumbuka walifanya hivi kwa usiri mkubwa. Hata hivyo mtu halazimishwi kuukubali au kuukataa ukweli huu...

Mimi nakupata vizuri na nimewahi kuongea mara nyingi sana nawe kwenye simu na aliyeniunganisha nawe ni Porokwa, pia hata katibu mwenezi wakati huo Constantine Akitanda ambaye ndiye Mwnyekiti kwa sasa wa cck alipokuja Arusha tulimpokea sisi. Porokwa hafai kuaminiwa kabisa ndg zangu. Ila nawe uliingia mitini na tapeli Kiyabo mkaacha wananchi njia panda.
Msifanye tena hivyo wapendwa
 
Porokwa ni Kilaza wa kutupwa namjua in and out. Naomba aeleze umma wa Watanzania nini kilimtoa katka "Uchungaji"??

Kumbe unajua Kaka! Hata elimu yake ni ya theolojia tu maana ni std 7 hapo cdti alishauriwa na wakuu ili angalau mambo yakae vizuri kidogo.
 
Ujakosea huyu jamaa huwa sio strong na hawezi kusimama kama yeye,after all is not political material anadhani Lowasa atamwachia Monduli 2015.Hapa antaka kuwakandia wabaya wa EL wote,eti anamtengenezea Urais EL 2015.Binafsi sina ubaya nae ila bado yumo kwenye siasa za chama kimoja.
Porokwa na wabunge wa AR,mlikamatwa mnagawa rushwa na PCCB,nani aliwatuma PCCB wawakamate??? kama sio EL,vipi siku hizi zinaiva we na EL??siasa si hasa!! Kesho kwako kaka

Kapewa milion 3 unaibu katibu na gari aina ya Noah.
 
Porokwa ni Kilaza wa kutupwa namjua in and out. Naomba aeleze umma wa Watanzania nini kilimtoa katka "Uchungaji"??

Halafu huwa anadanganya kuwa hajawahi kuwa Pastor na ndicho kilichomtoa akajulikana toka village
 
Back
Top Bottom