Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Mungu ambariki na alibariki Kanisa lake pia.
Mpasuko ndani ya Kanisa Katoliki, mimi hudhania UPAPA ni mpaka mauti yamfike. Kumbe tayari drones zimeshawapenyeza?
Mmmh!!
unabii gani?
ametoa sababu za kuachia ngazi?
..............anajiuzulu kulinda heshima ya kanisa kama alivyofanya Lowasa..
Ukikosa elmu unakuwa kama punda,
hivi kwa akili yako ni upuuzi huo uliomfanya astaafu?
Ni kwa sababu umekuta mimi ni mkatokiki hivyo siwezi kukujibu kwa tusi kwa kuwa sisi hatuishi kwa matusi bali kwa upendo,
hivi unataka kusema hicho kitabu kinafundisha upendo? Sipendi kukashifu ila nimekisoma sijaona sehemu ya upendo zaidi ya chuki na mambo ya ushirikina kwa wingi!
Soma ripoti yake vizuri. Ameeleza kuwa sababu ni umri na nguvu Hana tena za kuendelea kuhudumuametoa sababu za kuachia ngazi?
Tatizo nini.
Mpasuko ndani ya Kanisa Katoliki, mimi hudhania UPAPA ni mpaka mauti yamfike. Kumbe tayari drones zimeshawapenyeza?
Mmmh!!
vipi.ayatolah amenei au shekhe simba nawao siwanamatatizo ya afya wajiuzuru.simba amuachie ponda wapokezane
Huwezi kuona kwa sababu inaonesha ulikuwa ukitetemeka wakati umeshika Qur-an. Chezea Quran weye!? Kuhusu upendo kwanza Uislam wenyewe (islam) maana yake ni salama/amani/upendo. Pili quran inasema "basi jiepushe na shari zote zitokanazo na mikono yako na mdomo wako kwa wengine, na usimfanyie mwengine kile usichokipenda wewe. Pia inasema basi ishi kwa amani na umpende jirani yako, usaidie yatima na wajane. Hakika afanyaye haya ni mbora ktk waja wangu. Ukiangalia aya zoote hizi zinasisitiza amani, umoja na upendo tena hata kwa wale ambao si waislamu kama alivyofanya Mtume Muhammad (SAW). najua huyo mjomba hapo juu hajaandika vzr ila nawe kama ungelikuwa na busara usingesema uongo huo uliousema about Islam.