Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Child molestation scandle
Acha kukurupuka wewe...BTW what is SCANDLE ???, ndo kiingereza cha kwa Obama!??
Child molestation scandle
sabau ni umri: nenda kwenye hii link ujionee: BBC News - Pope Benedict XVI in shock resignationametoa sababu za kuachia ngazi?
Ngoja nimuongezee kidogo mkuu wakatoliki wapo bl 1 na nusu, waislam wapo bl 1.2 sasa anatutisha niniWee ----- kweli, yaani matangazo yote yaliyojaa CNN, RT, Yahoo news hujaweza kuona ni kwa sababu zipi Papa anajiuzulu? Hivi Uislamu una nguvu wapi katika dunia hii. Nenda kwenye ramani katafute nchi zenye wailamu wengi duniani; hata robo tu ya nchi zote haifikii.
Na unabii unaelekea kutimia
Wewee haiwezekani hata chembe kwani maana ya demon-grattis aka demokrasia linajulikana kuanzia na wenye lugha wenyewe "Latin" uhuru wa shetani kwao ndio maana ya "demon gratis"Kama ni kweli basi sasa na kwenye makanisa demokrasia imeanza kazi.
Yote sawa tu, nashangaa toka lini mtumishi wa Mungu aliyehai akajiuzulu kutumikia kondoo wake!Rome (CNN) -- Pope Benedict will resign on February 28, his spokesman Father Federico Lombardi told CNN Monday.
Mkuu zingatia hapo kwenye RED tafadhali!!!!!!!
Ha ha ha !Acha kukurupuka wewe...BTW what is SCANDLE ???, ndo kiingereza cha kwa Obama!??
Huyo mtafsirie kiswahili, wewe unaona sura ya kimsukule hiyo itaelewa kuzungu kweli?In his speech, Pope Benedict says: "After having repeatedly examined my conscience before God, I have come to the certainty that my strengths, due to an advanced age, are no longer suited to an adequate exercise of the Petrine ministry."
Ukikosa elmu unakuwa kama punda,Papa ametangaza kujiuzulu ras
mi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.
The context of his letter shows he's not resigning to serve literary but the office of his call as a leader (pope). I think it's pretty clear if you don't want to politicize and religionize it.Yote sawa tu, nashangaa toka lini mtumishi wa Mungu aliyehai akajiuzulu kutumikia kondoo wake!
Askari wa miguu , hii habari ya Papa kujiuzulu haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana.Ni sababu za kiafya wewe fuatilia sources za habari utajua acha kuassume!
Kama siri kuvuja ni siri ngapi zimevuja mapapa wakakomaa mpaka wakafa wako madarakani, inaleta sense kwamba ni sababu za kiafya as the Pope is 85 years Old and can hardly walk or read on his own thus yuko unfit kuendesha ibada zetu za kikatoliki, ingawa canon law haimlazimishi kujiuzulu hata kama angekuwa ICU lakini ameona bora ampishe mwingine mwenye nguvu, and we Catholics do support our pope!