malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 530
hapo askofu PENgO ! ULaji njE Nje!
unafikiria ya dunia wenzako tunafikiria ya mbinguni. Ncha mbili ambazo hazitakaa zikutane milele.
hapo askofu PENgO ! ULaji njE Nje!
ametoa sababu za kuachia ngazi?
Kama ni kweli basi sasa na kwenye makanisa demokrasia imeanza kazi.
Habari zinazoingia sasa hivi ni kwamba Kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani Papa Benedict XVI amejiuzulu upapa saa hii hii kutokana na kuvuja kwa siri za ofisi yake!
Habari zidi wadau fuatilieni vyombo vya habari.
Tatizo nini.
Nasikia ameamua kuwa muislam ingawaje bado ni siri kubwa
wasiwe wanachagua wazeeeeeeeee,alivyochaguliwa nilishangaa mzee sana,apumzike
Watu wanadhan ameresign kwasababu za Epa.
Jamani ni kwasababu za kiafya.
Muwe mnasoma habari yote, msiishie kwenye heading tu:Tatizo nini.
Yo may have the point lakini ujuwe wanaopiga kura ya kumchaguwa Papa ni macardinal, na Italy peke yake ina macardinal zaidi ya 20.Sawa ni vizuri kkupisha majukumu kwa wanaoweza ila ningependa kama safari hii iwe zamu ya papa wa kiafrika manake wapo wengi tu wana shule za kutosha na uwezo w kuongoza...kama mungu wetu ni mmoja basI na iwe zamu ya papa toka nigeria...south africa..kenya..tanzania etc.sion kila siku wao tu na ulaya yao.
Pope Benedict XVIHabari zinazoingia sasa hivi ni kwamba Kiongozi wa Kanisa la Katoliki duniani Papa Benedict XVI amejiuzulu upapa saa hii hii kutokana na kuvuja kwa siri za ofisi yake!
Habari zidi wadau fuatilieni vyombo vya habari.