frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Tatizo nini.
Dini na siasa mbalimbali.
Tatizo nini.
Sasa unataka hata akiwa ICU aendelee kuongoza? It's about weighing what's best for their church rather than clinging to old & outdated ways!
Tatizo nini.
After having repeatedly examined my conscience before God, I have come to the certainty that my strengths, due to an advanced age, are no longer suited to an adequate exercise of the Petrine ministry.
Kwani we si mkatoliki tena sema "kanisa letu"Mungu ambariki na alibariki Kanisa lake pia.
Swali dogo sana kwako hivi kile kitendo cha kumsomea mtu alie iba ali badiri huwa nini ile eti? Yaani unamgeuza mtu kichaa alafu mnasema ni Mungu? Ule ni uchawi wa kitabu, swali la piliHuwezi kuona kwa sababu inaonesha ulikuwa ukitetemeka wakati umeshika Qur-an. Chezea Quran weye!? Kuhusu upendo kwanza Uislam wenyewe (islam) maana yake ni salama/amani/upendo. Pili quran inasema "basi jiepushe na shari zote zitokanazo na mikono yako na mdomo wako kwa wengine, na usimfanyie mwengine kile usichokipenda wewe. Pia inasema basi ishi kwa amani na umpende jirani yako, usaidie yatima na wajane. Hakika afanyaye haya ni mbora ktk waja wangu. Ukiangalia aya zoote hizi zinasisitiza amani, umoja na upendo tena hata kwa wale ambao si waislamu kama alivyofanya Mtume Muhammad (SAW). najua huyo mjomba hapo juu hajaandika vzr ila nawe kama ungelikuwa na busara usingesema uongo huo uliousema about Islam.
Yote sawa tu, nashangaa toka lini mtumishi wa Mungu aliyehai akajiuzulu kutumikia kondoo wake!
Watu wa ma conspiracy wataanza kama bado hawajaanza....
Na hao ni wakatoliki peke yake, bado hatujajadili waprotestant. Huo Uislam wa kuutisha ukristo duniani uko wapi? Wakristo wameingia kwenye nchi za kiislamu kusearch hadi vyumbani mwa marais wao na kuwaua, halafu yeye anasema eti uislamu una nguvu? Wapi huko uliko na nguvu?Ngoja nimuongezee kidogo mkuu wakatoliki wapo bl 1 na nusu, waislam wapo bl 1.2 sasa anatutisha nini
Kwani we si mkatoliki tena sema "kanisa letu"
Child molestation scandal
Kwa macho yangu nilishuhudia shekhe mmoja walimuua kiajabu sana miaka ya 2000 nikiwa naishi dar es salaam maeneo ya ilala, huyo shekhe alikuwa rafuki yangu sana basi wakataka kumpindua kwa sababu hataki magari ya matajiri wa ilala ambao ni waarabu yapite bandarini kwa msamaha wa kuwa ni mali ya msikiti, basi baada ya mgogoro mwishowe yule shekhe aliugua sana akiwa nyumbani, na hatimae alifariki dunia akiwa nyumbani. Basi siku tunaenda kumchukua kule ndani kumpeleka mochwari tulikuta huko mayai mawili yalioandikwa kiarabu yakiwa kwenye mto wake wa kulalia! Tulistuka sana!! Kiukweli walimuua kwa shirkina, kwa kweli ilikuwa ni stori tu kila mtu akisema ameuliwa kwa sababu ya kusimama kidete dhidi ya matajiri,Nashangaa!!!! Si wao wamezoea kugombana misikitini mpaka wanataka kuuana kwa kushindwa kupishana kwenye uongozi. Ukiuliza urua (fedha)