Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

What supreised most christian ( CATHOLIcKS) was that,POPE declined from his papasy service today.

kwenye red:kama hujui neno kuliandika acha maana unapoteza maana yake kabisa..thanks for the news anyway
remove K from catholicks and replace S with C,.
AND WHAT'S THAT IN BLUE?
 
duh; kumbe Ritz Kizungu hakipandi!

Huyo rizi si ndo wale wale wa kukariri aya za ibilisi! Kichwani mwake kuna kinyesi cha tembo kinafuka moshi, ukishajazwa zile aya ''kingelesa'' hakipandi tena maskini!
 
huwezi kuona kwa sababu inaonesha ulikuwa ukitetemeka wakati umeshika qur-an. chezea quran weye!? Kuhusu upendo kwanza uislam wenyewe (islam) maana yake ni salama/amani/upendo. Pili quran inasema "basi jiepushe na shari zote zitokanazo na mikono yako na mdomo wako kwa wengine, na usimfanyie mwengine kile usichokipenda wewe. Pia inasema basi ishi kwa amani na umpende jirani yako, usaidie yatima na wajane. Hakika afanyaye haya ni mbora ktk waja wangu. Ukiangalia aya zoote hizi zinasisitiza amani, umoja na upendo tena hata kwa wale ambao si waislamu kama alivyofanya mtume muhammad (saw). Najua huyo mjomba hapo juu hajaandika vzr ila nawe kama ungelikuwa na busara usingesema uongo huo uliousema about islam.
hv hiki kitabu si ndo katoto kenyeakili kalikojolea kuona kama atabadilika kuwa nyoka???
 
Sitashangaa baada ya siku chache ikija kuthibitisha kuwa huu ni uvumu, na nyie mnaendelea kuushabikia. Huu ni wakati wa digitali bwana. Unaweza unda story na dunia ikachangnayikiwa. Kila la kheri katika kuchangia
 
Ndugu acha kucheza na imani za watu,uliza ujibiwe. Ndani ya kanisa katoliki watumishi wa Mungu wetu wa kada zote kuanzia masista,mapadri,maaskofu,makardinali na kiongozi mkuu(Baba Mtakatifu) wanaruhusiwa kujiuzulu either kwa sababu ya umri mkubwa,ugonjwa n.k. Chunguza majimbo yote ya kanisa katoliki yana nyumba za kutunza watumishi wote waliostaafu/kujiuzulu kwa sababu tajwa hapo juu. Papa anasema hivi:After having repeatedly examined my conscience before God, I have come to the certainty that my strengths, due to an advanced age, are no longer suited to an adequate exercise of the Petrine ministry.
Kama Upapa ni kazi kama nyingine basi nafikiri Papa Benedict XVI anahaki ya kustaafu kazi, na pensheni juu!
Lakini hii ni zaidi ya kazi, ni wito mpaka kufa.

Tuna mifano ya Yohanna mbatizaji na mitume wengine waliotoa uhai wao mpaka mwisho.

Na hata miaka ya karibuni nilivutiwa na kutiwa moyo sana na Papa John Paul II, pamoja na ukweli kuwa mimi si mkatoliki.
Huyu Papa hata ukimtazama usoni unapata amani moyoni, alikuwa mtu aliyekuwa na moyo wa ajabu sana. Na huyu Papa aliwahi kuja Tanzania miaka ya mwishoni mwa 1980's, nafarijika kukumbuka kuwa tukiwa kwenye foleni barabarani nilimpungia mkono NAYE ALIPUNGA MKONO.

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="class: n, bgcolor: #F7D79C, colspan: 2, align: center"]Blessed John Paul II
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"]
John Paul II in 1997
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mimi naamini kuwa kuwa Papa si kufanya kazi tu, ni zaidi ya hapo. Hata kuwatia moyo waumini na kuwatia heri ni moja ya utumishi wake.
 
Ni obvious kwa age ya 85 years jamani any thing can happen to him, taarifa inasema juu ya matatizo ya kiafya na kwa nature ya kazi yake deep thinking capacity is required wakati wa kutafakari neno la Mungu. Wanasema hata uwezo wa kusoma kile ambacho kimeandaliwa tu inakuwa shida, kwa mapenzi makubwa kabisa ya kanisa la Mungu na watu wake ana kila sababu ya kufikia huo uamuzi. Ni uamuzi sahihi na hakuna haja wala sababu ya kuanza kutunga mambo mengine yasio na ukweli wowote. Ni bahati nzuri pia kwamba kanisa katoliki ulimwenguni kote lina utajiri wa raslimali watu ya kutosha kuweza kukakaa kwenye position yoyote pale tu inapohitajika.

Mungu aendelee kumjalia maisha mema kwa kipindi hicho atakacho kuwa ameanza mapumziko nje ya ofisi ya Vaticani kama Papa, japo naamini bado mchango wake wa sala, mawazo nk bado unahitajika kwa Kanisa la Mungu pote ulimwenguni.
Kila la kheri
 
Tatizo nini.

......both strength of mind and body are necessary, strength which in the last few months, has deteriorated in me to the extent that I have had to recognise my incapacity to adequately fulfil the ministry entrusted to me.
 
Sitashangaa baada ya siku chache ikija kuthibitisha kuwa huu ni uvumu, na nyie mnaendelea kuushabikia. Huu ni wakati wa digitali bwana. Unaweza unda story na dunia ikachangnayikiwa. Kila la kheri katika kuchangia

are u living underneath.??? its a buzzing global story ....damn yuuu
 
Huwezi kuona kwa sababu inaonesha ulikuwa ukitetemeka wakati umeshika Qur-an. Chezea Quran weye!? Kuhusu upendo kwanza Uislam wenyewe (islam) maana yake ni salama/amani/upendo. Pili quran inasema "basi jiepushe na shari zote zitokanazo na mikono yako na mdomo wako kwa wengine, na usimfanyie mwengine kile usichokipenda wewe. Pia inasema basi ishi kwa amani na umpende jirani yako, usaidie yatima na wajane. Hakika afanyaye haya ni mbora ktk waja wangu. Ukiangalia aya zoote hizi zinasisitiza amani, umoja na upendo tena hata kwa wale ambao si waislamu kama alivyofanya Mtume Muhammad (SAW). najua huyo mjomba hapo juu hajaandika vzr ila nawe kama ungelikuwa na busara usingesema uongo huo uliousema about Islam.


Usiwe muongo kabisa yaliyotokea huko katolo ni ushahidi kuwa Uisamu umejengwa juu ya vurugu. Hivi maana ya kafiri ni nini? inaashiria nini kumuita mwezio kafiri!!??
 
Rock City,

You need to read through careful before you make conclusions as the reason for the Pontiff retirement is well stated in his statement. Second; the Canon law allows for retirement/resigning of the Pontiff if the decision is not influenced by other and I think he has tried to indicate that it is his own decision.

See the highlighted areas in the Pontiff Statement to justify my submission above.




I have convoked you to this Consistory, not only for the three canonisations, but also to communicate to you a decision of great importance for the life of the Church. After having repeatedly examined my conscience before God, I have come to the certainty that my strengths, due to an advanced age, are no longer suited to an adequate exercise of the Petrine ministry.

I am well aware that this ministry, due to its essential spiritual nature, must be carried out not only with words and deeds, but no less with prayer and suffering. However, in today’s world, subject to so many rapid changes and shaken by questions of deep relevance for the life of faith, in order to govern the bark of Saint Peter and proclaim the Gospel, both strength of mind and body are necessary, strength which in the last few months, has deteriorated in me to the extent that I have had to recognise my incapacity to adequately fulfil the ministry entrusted to me.

For this reason, and well aware of the seriousness of this act, with full freedom I declare that I renounce the ministry of Bishop of Rome, Successor of Saint Peter, entrusted to me by the Cardinals on 19 April 2005, in such a way, that as from 28 February 2013, at 20:00 hours, the See of Rome, the See of Saint Peter, will be vacant and a Conclave to elect the new Supreme Pontiff will have to be convoked by those whose competence it is.

Dear Brothers, I thank you most sincerely for all the love and work with which you have supported me in my ministry and I ask pardon for all my defects. And now, let us entrust the Holy Church to the care of Our Supreme Pastor, Our Lord Jesus Christ, and implore his holy Mother Mary, so that she may assist the Cardinal Fathers with her maternal solicitude, in electing a new Supreme Pontiff. With regard to myself, I wish to also devotedly serve the Holy Church of God in the future through a life dedicated to prayer
 
Mpasuko ndani ya Kanisa Katoliki, mimi hudhania UPAPA ni mpaka mauti yamfike. Kumbe tayari drones zimeshawapenyeza?

Mmmh!!
Sheria ya kanisa no. 332 §2 (1983) kwa sababu za umri na afya inaruhusu Papa kujiuzulu!
 
Papa ametangaza kujiuzulu rasmi tarehe 28 mwezi huu wa 2 baada ya kuona ukweli wa haki kupitia kitabu kitkatifu cha QUR'AN. Wasiwasi unazidi kutanda katika dunia ya Wakriasto mara baada ya Tangazo hilo la Papa wa 16. Hakika UISLAM haupingiki kwa hali yoyote ile.

Mtu ana miaka 85 kasomea upadre(wanasomea Uislamu na dini zote in deep on the process) akapanda through the ranks mpaka kawa Papa!
Hiyo Quraan ndio kaiona leo!? Acha Uchizi bila shaka hii umeipata Radio Imaan!
Wenzio wanafungia Hotdog pages za Quran pale McDonald Fast food nyuma ya Sistine Chapel Vatican!
 
Katika historia ya kanisa imewahi kutokea hivyo miaka 700 iliyopita je itakuwaje kuwa na mababa wawili kwa wakati mmoja?
 
Back
Top Bottom