Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Ingekuwa vizuri kama ungeuliza kwanini.Nadiriki kusema katika design za barabara nilizowahi kuona, barabara za BRT ndo poorest design ever.
Kweli barabara inawekewa ukuta na bila hata kujali wakazi wa pembeni watahitaji kuvuka au kuingia high way na magari yao!!!!!!!!!!!!! Ni bora hata wangeweka ukuta kwenye barabara zitazotumiwa na mabasi na kutoweka miukuta kwenye public roads.
Eti hawa nao wanajiita wahandisi!!!!!
Sometimes ukinyamaza watu hawatajuwa ujinga wako. Tukikuuliza umeona barabara ngapi, utazidi kujivuwa nguo. Safari yako ya Msalala - Dar - Msalala na wewe unasema umeona barabara!!!! Kutembea gharama, ok. Google basi hapohapo ulipokaa uweze kusafiri mails lukuki!!! Everything is at your finger tips, yet una-post huu ----- kwa mbwembwe za kuwakashifu wahandisi. Tuache na BRT yetu bwana.Nadiriki kusema katika design za barabara nilizowahi kuona, barabara za BRT ndo poorest design ever.
Kweli barabara inawekewa ukuta na bila hata kujali wakazi wa pembeni watahitaji kuvuka au kuingia high way na magari yao!!!!!!!!!!!!! Ni bora hata wangeweka ukuta kwenye barabara zitazotumiwa na mabasi na kutoweka miukuta kwenye public roads.
Eti hawa nao wanajiita wahandisi!!!!!
anatoa wasi wasi yeye ni engeener kitu hakijaisha anakurupuka na tatizo wabongo weng kukosa info za uhakika ndio kinawacost knoma ujinga tu stor za vijiweniWabongo kujifanya wajuaji mradi hujaisha unajifanya kuleta ujuaji why usingejenga wewe unafikiri kua Hawa wa Austria kujenga BRT WALIPEWA KAMA MNAVYOPEANA NAMBA ZA SIM NA MADEM CLUB....[/ Hawa wa Austria ]
Mkuu; Rekebisha maneno haya kwani Austria haihusika najua mkandarasi ni Mjerumani na Mhandisi Mwelekezi (Supervising Engineer)anatoka Australia.
Jamaa anetoa wasiwasiwake ni haki yake
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Strabag
Tatizo Watanzania tunakurupuka tu kulalamika..
Tembea uione Dunia ndio ujue barabara zinajengwa vipi..
Huu ndio mfumo wa bara bara ulivyo lazima kuwekwe ukuta kuzuia magari kuingia Highway ovyo ovyo..
Nchi nyingi sio tu kuingia na gari bali hata ukitaka kuvuka barabara hadi uende sehemu ya kuvukia maana bara bara nzima imezibwa,,
STRABAG sio kampuni magumashi kama unavofikiria..
Tena kuonesha walivyo serious kwenye kazi zao wamekuja na SMEC kama consultant wao..
Hapo hata magufuli hatii mguu, anawaogopa kama ukoma.. Anaonea kampuni za janja janja tu kuwapiga mikwara but akigusa STRABAG tu World Bank wanamfunga
Hizo kampuni ni kubwa sana na sana na sana kwenye mambo ya ujenzi unaweza uka google kwa ajili ya details zao na kazi walizowahi kufanya duniani
Sometimes ukinyamaza watu hawatajuwa ujinga wako. Tukikuuliza umeona barabara ngapi, utazidi kujivuwa nguo. Safari yako ya Msalala - Dar - Msalala na wewe unasema umeona barabara!!!! Kutembea gharama, ok. Google basi hapohapo ulipokaa uweze kusafiri mails lukuki!!! Everything is at your finger tips, yet una-post huu ----- kwa mbwembwe za kuwakashifu wahandisi. Tuache na BRT yetu bwana.
Ni vema ungeenda japo south Afrika ukaona mambo yalivyo, kwa mfano unapotoka Pretoria kwenda Mphumalanga una mjini hapo katikati unaitwa Bronkhorstpruit, ukijichanganya ukashindwa kuingia hapo ujue ngoma ni mpaka Witbank ndo utapata njia ya kurudi
Mkuu usibeze watu usiowajua as long as jf is where we talk hiddenly,
Nadiriki kusema katika design za barabara nilizowahi kuona, barabara za BRT ndo poorest design ever.
Kweli barabara inawekewa ukuta na bila hata kujali wakazi wa pembeni watahitaji kuvuka au kuingia high way na magari yao!!!!!!!!!!!!! Ni bora hata wangeweka ukuta kwenye barabara zitazotumiwa na mabasi na kutoweka miukuta kwenye public roads.
Eti hawa nao wanajiita wahandisi!!!!!
Design yote umeiona?unaweza ukawa unazungumza kitu usichokijua engineers sio wajinga kama unavyofikili.
Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.
picha tafadhali mkuuNadiriki kusema katika design za barabara nilizowahi kuona, barabara za BRT ndo poorest design ever.
Kweli barabara inawekewa ukuta na bila hata kujali wakazi wa pembeni watahitaji kuvuka au kuingia high way na magari yao!!!!!!!!!!!!! Ni bora hata wangeweka ukuta kwenye barabara zitazotumiwa na mabasi na kutoweka miukuta kwenye public roads.
Eti hawa nao wanajiita wahandisi!!!!!
Basi nenda kwa majirani zetu uone mfano Thika super highway make nayo ina kuta za kufa mtuPole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.
Nadiriki kusema katika design za barabara nilizowahi kuona, barabara za BRT ndo poorest design ever.
Kweli barabara inawekewa ukuta na bila hata kujali wakazi wa pembeni watahitaji kuvuka au kuingia high way na magari yao!!!!!!!!!!!!! Ni bora hata wangeweka ukuta kwenye barabara zitazotumiwa na mabasi na kutoweka miukuta kwenye public roads.
Eti hawa nao wanajiita wahandisi!!!!!
another poor design
![]()
and another one....
![]()