Poorest road design ever

Poorest road design ever

attachment.php
 
... hata mie nimetembea na kufanya kazi huko nje na ninashukuru Mungu nimeguza kila bara la dunia hii aidha nilipokuwa nafanya higher degrees....

Mwalimu wangu wa Jiografia muongo kumbee? Shit... Alinidanganya Antarctica hajawahi gusa mtu, dah,.. :msela:
 
israel siku ya sikukuu za ki-jew huwa hakuna magari barabarani......
article-2046818-0E49C8E600000578-660_634x410.jpg

article-2046818-0E49D5BD00000578-627_634x422.jpg

article-2046818-0E49D5B600000578-975_634x391.jpg

Kudadeki, na Tanzania kungekua na such sikukuu daah, hhhaaa nicheke mie... Unapita ubungo pale full baiskeli tu
 
Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.

Do not compare this country with the likes of Malaysia not even Kenya or Rwanda. compare this country with Uganda.DRC. BURUNDI AND MALAWI
 
Kwani South si emerging economy? Unajua BRICS? unajua South Africa kwa nguvu za kiuchumi dunian ni ya ngapi?

http://en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_GDP_(PPP)_per_capita
 
Pole, south africa is just still to do more, nenda kaone emerging economies kama singapore, malaysia, brazil uone miundo mbinu ilivo.
Ilikuwa ni mfano ila kote huko tulishapita kaka
 
Cwez kuwakosoa Strabag coz project bado inaendelea. BTW hawa jamaa katika macontractor bora duniani wapo kwenye top ten.

Kumkosoa mkandarasi ni upunguani uliopitiliza! Anaepaswa kukosolewa ni Mhandisi aliyebuni na anaesimamia! Mkandarasi anatekeleza tu kilichopo kwenye michoro na anachoelekezwa from time to time mabadiliko yanapotokea!

Pia ikumbukwe, mpaka mradi unafikia hapo unajengwa umeshapitia hatua nyingi na umechunguzwa kitaalam na kukubalika ujengwe na WB wakakubali kutia pesa yao pale! Ni tofauti na ghorofa la mwarabu pale Kariakoo!

Mkandarasi anatoka Austria (tumia google kuelewa Ujerumani na Austria wapoje)

Lastly but not least, kuwekwa kwa ukuta kwa mtazamo wangu wa kitaaluma ni just for regulatory purposes! Sasa regulations zinaweza zisikupendeze wewe binafsi but zikawa zinaangalia manufaa mapana ya watumiaji wa barabara. Mfano, mataa hayawezi kuwekwa kila mahali hata kwenye kinjia chako cha kwenda nyumbani japo ungependa iwe hivyo!

Tusiwe tunapenda ku-comment tu kwenye kila jambo kwa mihemko kama vile tupo kwenye siasa!
 
Back
Top Bottom