Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,718
Wanabodi
Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi

Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli ya Grand Malia kuhudhuria Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, ambapo kwa mwaka huu, kwa mujibu wa taasisi ya kimataifa ya waandishi wasio na mipaka, Journalist San Frontiers, Tanzania ndio nchi kinara wa uhuru wa habari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kimataifa Tanzania inazidi kupanda, mwaka huu imeshika nafasi ya 95!, mwaka jana tulikuwa na fasi ya 97, mtu anayetakiwa kupewa pongezi za dhati na kupewa maua yake, ni kinara wetu, Rais Samia Suhuhu Hassan, pongezi sana Mama na asante kuendelea kutupatia uhuru huu muhimu wa habari, japo haki ya kupata habari ni haki muhimu kwa taifa letu, ila kuna haki muhimu kuliko haki zote, ukiondoa haki ya kuishi, hii ni haki ya kujieleza, freedom of expression, mtu kusema atakinukisha, ni haki yake, sio kosa!,ni kama mtu kusema "mimi leo ntaua!", kusema tu utakinukisha bila nia ya kukinukisha au kupanga kukinukisha sio kosa, kosa ni kupanga kutenda, kusema tuu ni kosa la sedition na sio uhaini!.

Uhaini ni kitendo cha
kupanga kukinukisha kwa
kutenda na sio kusema kukinukisha!, hivyo
nashauri kale ka Simba ka Kizimkazi, ambako kako kwenye ile cage, kaachiwe karejee kwenye the wilderness, kuendelea kukashikilia, kunatuharibia sana na kutuchafulia sana reputation yetu ya Kisiwa cha amani kitaifa na Kimataifa!.

Na kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, bado kuna kazi kubwa ya kufanyika.
Baada ya kurejea kutoka Arusha, nilialikwa kwenye Jukwaa la Wahariri, TEF,ambapo Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, aliwapika waandishi wa habari na vyombo vya habari, namna bora ya kuiripoti kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, bila waandishi kukwaruzana na jeshi la polisi lenye jukumu la kulinda amani na utulivu.

Balile amewahakikishia waandishi na vyombo vya habari, kuwa amefanya kikao na Afande Muliro, na kumhakikishia usalama wa waandishi wa habari wawapo kazini, hawatasumbuliwa au kubugudhiwa na jeshi la polisi lakini lazima waandishi hao wavae mavazi ya utambulisho wa Press, na wawe na vitambulisho kuweza kutambulika, kubeba vifaa tuu, kama kamera au mic, sio utambulisho rasmi.

Nimehudhuria Kipindi Maalum Star TV, kuzungumzia wajibu wa vyombo vya habari katika kuhamasisha amani kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, hapa nikakiri media yetu kwenye hili, bado hatujatimiza wajibu wetu kikamilifu.

Media yetu bado ni media ya kuripoti tuu na kupashana habari, hivyo bado vyombe vyetu vingi vinaripoti kikasuku, chochote mwanasiasa anachosema, hata kama ni uongo wa wazi wa mchana kweupe, kitaripotiwa bila kuchakatwa.

Media tunawajibu wa kuwa makini sana kuelekea uchaguzi, sio kila kitu kitakachozungumzwa na wanasiasa, lazima kiripotiwe, mwanasiasa akitoa kauli za viashiria vya kuvuruga amani, media hatupaswi kuripoti. Hivyo kauli kama “tutakinukisha” isingeripotiwa, hata ile kauli ya kusambaza virusi, pia isingepata nafasi.

Pia nilialikwa kwenye Kasri la Kikeke, Crown Media, nikiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Deodatus Balile, kuzungumzia uhuru wa habari Tanzania. Na kwenye vipindi vyote viwili, pia nilizungumzia kitu kinachoitwa “it takes two to tango”, yaani kwenye uvurugaji amani kuna mvurugaji wa amani (wanasiasa) na mtunzaji amani (vyombo vya dola)

Kuna wakati, chanzo cha kutoweka kwa amani ni vyombo vya dola navyo, kwenye baadhi ya matukio, nikatolea mfano kile kilichotokea kwenye kesi ya uhaini, chanzo ni polisi kuwadhibiti wafuasi wa Chadema.

Nimemuomba Mama yetu, kama kwenye ile kesi ya ugaidi iliyowahi kufutwa licha ya kufikia hatua ya watuhumiwa kukutwa na prima facie,(kesi ya kujibu) hii kesi ya uhaini, sio tuu inatuvurugia amani, bali pia inatuchafua taswira njema ya nchi yetu kitaifa na kimataifa, na nikamshauri Rais Samia, haya kale ‘ka Simba ka Kizimkazi’, anaweza kukafanya kama alivyomfanya yule jamaa kwenye ile kesi ya ugaidi!. Licha ya Tanzania kupanda kwenye uhuru wa habari mwaka uliopita, tunaweza kujikuta tumeanguka tena!

Hoja zangu bado ni zile zile, Je kuna uhuru wa habari, bila uhuru wa kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.
media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu zaidi kati ya vyama vya siasa na media hadi kustahili kupata ruzuku?.

Tunapokwenda kwenye uchaguzi, ili kuwapatia Watanzania haki yao ya msingi ya kupata habari, lazima tufike wakati Tanzania tuugharimie huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, Media tutimize wajibu wetu kikamilifu.

Nimalizie kwa ile hoja ya kale ka Simba ka Kizimkazi, mnaonaje kaondolewe kwenye ile cage, kanatuchafulia sana kimataifa,au kaendelee tuu kuwa caged mpaka lile jambo letu lipite, kasije kuachiliwa, kakakinukisha kweli ?。

Mungu Ibariki Tanzania

Wasalaam

Paskali
 
Hakuna uhuru wa Habri Tanzania na kamwe hatuiingii hata robo ya uhuru wa habari Kenya.
IMG_20250507_075305.jpg

Tanzania kuna gazeti la kuandika habari kama hio?
 
Wanabodi
Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi

Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli ya Grand Malia kuhudhuria Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, ambapo kwa mwaka huu, kwa mujibu wa taasisi ya kimataifa ya waandishi wasio na mipaka, Journalist San Frontiers, Tanzania ndio nchi kinara wa uhuru wa habari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kimataifa Tanzania inazidi kupanda, mwaka huu imeshika nafasi ya 95!, mwaka jana tulikuwa na fasi ya 97, mtu anayetakiwa kupewa pongezi za dhati na kupewa maua yake, ni kinara wetu, Rais Samia Suhuhu Hassan, pongezi sana Mama na asante kuendelea kutupatia uhuru huu muhimu wa habari, japo haki ya kupata habari ni haki muhimu kwa taifa letu, ila kuna haki muhimu kuliko haki zote, ukiondoa haki ya kuishi, hii ni haki ya kujieleza, freedom of expression, mtu kusema atakinukisha, ni haki yake, kusema tuu utakinukisha ni kosa la sedition na sio uhaini!.
Uhaini ni kupanga kukinukisha na sio kusema kukinukisha!, nashauru kale ka simba ka Kizimkazi, abako kako kwenye cage, kaachiwe karejee kwenye wilderness. kanatuchafulia sana reputation yetu kitaifa na Kimataifa.

Na kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, bado kuna kazi kubwa ya kufanyika.
Baada ya kurejea kutoka Arusha, nilialikwa kwenye Jukwaa la Wahariri, TEF,ambapo Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, aliwapika waandishi wa habari na vyombo vya habari, namna bora ya kuiripoti kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, bila waandishi kukaruzana na jeshi la polisi lenye jukumu la kulinda amani na utulivu.

Balile amewahakikishia waandishi na vyombo vya habari,kuwa amefanya kikao na Afande Muliro, na kumhakikishia usalama wa waandishi wa habari wawapo kazini, hawatasumbuliwa au kubugudhiwa na jeshi la polisi lakini lazima waandishi hao wavae mavazi ya utambulisho wa Press, na wawe na vitambulisho kuweza kutambulika, kubeba vifaa tuu, kama kamera au mic, sio utambulisho rasmi.

Kazi ya kusifu na kuabudu inaendelea!
 
Tumekuchoka na makala zako za kijinga. JF sasa inahitaji new thinking and new people.
 
17 years on JF?? Wewe ni outdated. We need new bloods.
 
Jamani ambao mko karibu na bibi chaudere muambieni amkumbuke huyu mzee anajitahidi sana kumpaka mafuta kila siku hadi ameamua kua chawa mzee💩 angalau na yeye basi alambe kateuzi umri unazidi kumuacha 💩💩
 
Asikate tamaa kunaelekea kupambazuka😀😀😀
 
Hapa ni no reforms no election Lissu anawapigania hata wapenda sifa wa Lumumba huko mpate uchaguzi huru na mtu achaguliwe sio sababu ya kutembeza bahasha za khaki bali uwezo wa kunadi sera.

Kipindi hiki bila reforms ukigusa tena fomu utapata 0 maana hata ile kura yako 1 utaibiwa.

Ni ajabu katika umri wako umekosa aibu kwa vitu unavyoandika.

Kwa leo naishia hapa , nakusihi endelea kupitia replies za watu uone anguko lako ulilolitengeneza mwenyewe.
images - 2025-01-23T123355.397.jpeg
 
Wanabodi
Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi

Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli ya Grand Malia kuhudhuria Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, ambapo kwa mwaka huu, kwa mujibu wa taasisi ya kimataifa ya waandishi wasio na mipaka, Journalist San Frontiers, Tanzania ndio nchi kinara wa uhuru wa habari kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, na kimataifa Tanzania inazidi kupanda, mwaka huu imeshika nafasi ya 95!, mwaka jana tulikuwa na fasi ya 97, mtu anayetakiwa kupewa pongezi za dhati na kupewa maua yake, ni kinara wetu, Rais Samia Suhuhu Hassan, pongezi sana Mama na asante kuendelea kutupatia uhuru huu muhimu wa habari, japo haki ya kupata habari ni haki muhimu kwa taifa letu, ila kuna haki muhimu kuliko haki zote, ukiondoa haki ya kuishi, hii ni haki ya kujieleza, freedom of expression, mtu kusema atakinukisha, ni haki yake, kusema tuu utakinukisha ni kosa la sedition na sio uhaini!.
Uhaini ni kupanga kukinukisha na sio kusema kukinukisha!, nashauru kale ka simba ka Kizimkazi, abako kako kwenye cage, kaachiwe karejee kwenye wilderness. kanatuchafulia sana reputation yetu kitaifa na Kimataifa.

Na kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, bado kuna kazi kubwa ya kufanyika.
Baada ya kurejea kutoka Arusha, nilialikwa kwenye Jukwaa la Wahariri, TEF,ambapo Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, aliwapika waandishi wa habari na vyombo vya habari, namna bora ya kuiripoti kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, bila waandishi kukaruzana na jeshi la polisi lenye jukumu la kulinda amani na utulivu.

Balile amewahakikishia waandishi na vyombo vya habari,kuwa amefanya kikao na Afande Muliro, na kumhakikishia usalama wa waandishi wa habari wawapo kazini, hawatasumbuliwa au kubugudhiwa na jeshi la polisi lakini lazima waandishi hao wavae mavazi ya utambulisho wa Press, na wawe na vitambulisho kuweza kutambulika, kubeba vifaa tuu, kama kamera au mic, sio utambulisho rasmi.

Nimehudhuria Kipindi Maalum Star TV, kuzungumzia wajibu wa vyombo vya habari katika kuhamasisha amani kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, hapa nikakiri media yetu kwenye hili, bado hatujatimiza wajibu wetu kikamilifu.

Media yetu bado ni media ya kuripoti tuu na kupashana habari, hivyo bado vyombe vyetu vingi vinaripoti kikasuku, chochote mwanasiasa anachosema, hata kama ni uongo wa wazi wa mchana kweupe, kitaripotiwa bila kuchakatwa.

Media tunawajibu wa kuwa makini sana kuelekea uchaguzi, sio kila kitu kitakachozungumzwa na wanasiasa, lazima kiripotiwe, mwanasiasa akitoa kauli za viashiria vya kuvuruga amani, media hatupaswi kuripoti. Hivyo kauli kama “tutakinukisha” isingeripotiwa, hata ile kauli ya kusambaza virusi, pia isingepata nafasi.

Pia nilialikwa kwenye Kasri la Kikeke, Crown Media, nikiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Deodatus Balile, kuzungumzia uhuru wa habari Tanzania. Na kwenye vipindi vyote viwili, pia nilizungumzia kitu kinachoitwa “it takes two to tango”, yaani kwenye uvurugaji amani kuna mvurugaji wa amani (wanasiasa) na mtunzaji amani (vyombo vya dola)

Kuna wakati, chanzo cha kutoweka kwa amani ni vyombo vya dola navyo, kwenye baadhi ya matukio, nikatolea mfano kile kilichotokea kwenye kesi ya uhaini, chanzo ni polisi kuwadhibiti wafuasi wa Chadema.

Nimemuomba Mama yetu, kama kwenye ile kesi ya ugaidi iliyowahi kufutwa licha ya kufikia hatua ya watuhumiwa kukutwa na prima facie,(kesi ya kujibu) hii kesi ya uhaini, sio tuu inatuvurugia amani, bali pia inatuchafua taswira njema ya nchi yetu kitaifa na kimataifa, na nikamshauri Rais Samia, haya kale ‘ka Simba ka Kizimkazi’, anaweza kukafanya kama alivyomfanya yule jamaa kwenye ile kesi ya ugaidi!. Licha ya Tanzania kupanda kwenye uhuru wa habari mwaka uliopita, tunaweza kujikuta tumeanguka tena!

Hoja zangu bado ni zile zile, Je kuna uhuru wa habari, bila uhuru wa kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari?. Mtu mwenye njaa anaweza kuwa huru?. Media yenye njaa inayomtegemea source kwa usafiri na waandishi wa habari wenye njaa na umasikini uliotopea, kiasi cha kutegemea zile bahasha, wanaweza kuwa huru?!.

Tuna mihimili mitatu rasmi ya Serikali, Bunge na Mahakama, na mhimili wa nne usio rasmi wa Media. Mihimili hii mitatu ni well funded, well taken care of, well respeted, lakini huu mhimili wa nne wa media kiukweli uko kama mtoto yatima and nobody cares!.

Kitu muhimu number moja kwa nchi yetu ni Mwananchi, ndie mwenye nchi, mwenye katiba na mwenye kila kitu. Ni Mwananchi kupitia kura yake, ndie anamuajiri rais wa JMT na ile mihimili yote mitatu, na ni kwa kupitia kodi yake ndie anawalipa mishahara yao wote kuanzia mshahara wa rais wa JMT na serikali yake yote na mihimili yote, na kutoa fedha za kuendesha serikali na kugharimia kila kitu, lakini kwanini huu mhimili wa 4, umeachwa kama mtoto yatima?.

Kwa Mwananchi, ni mhimili gani ni muhimu zaidi kwake kati ya serikali, Bunge, Mahakama na Media?.
media, utake usitake!.

Sisi Tanzania pia tuna statutory payments kugharimia mambo mbalimbali, kwenye mafuta, kwenye umeme, kwenye maji, kuna SDL etc na tunatoa ruzuku kwenye maeneo mengi tuu ikiwemo ruzuku kwa vyama vya siasa, nani muhimu zaidi kati ya vyama vya siasa na media hadi kustahili kupata ruzuku?.

Tunapokwenda kwenye uchaguzi, ili kuwapatia Watanzania haki yao ya msingi ya kupata habari, lazima tufike wakati Tanzania tuugharimie huu mhimili wa 4, nao ugharimiwe kama ile mihimili mitatu mingine, Media tutimize wajibu wetu kikamilifu.

Nimalizie kwa ile hoja ya kale ka Simba ka Kizimkazi, mnaonaje kaondolewe kwenye ile cage, kanatuchafulia sana kimataifa,au kaendelee tuu kuwa caged mpaka lile jambo letu lipite, kasije kuachiliwa, kakakinukisha kweli ?。

Mungu Ibariki Tanzania

Wasalaam

Paskali
Mzee Prof Safari alisema haipendezi mtu mzima kuwa Chawa akacheka sana 😂😂😂😂
 
CHAWA Pascal Mayalla unaboa aisee Tanzania hamna uhuru wa vyombo vya habari. Magazeti yanapangiwa Nini Cha kuandika, picha zote zinatoka habari maelezo, sasa huo uhuru uko wapi?
 
Back
Top Bottom