Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Ninasoma uzi nikiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),nikiendelea na harakati za kusaka elimu.Nimepitia maoni ya wachangiaji mbalimbali ya kufurahisha na kusikitisha kuhusu hili ama lile.

Kusoma UDSM ni fursa adhimu ikiwa lengo ni kuunda ubongo unaofikiri ipasavyo.Jioni,ukipenda,unapata kahawa,mathalani Utawala,pembeni kukiwa na wanataaluma mbalimbali maarufu na kupata uchambuzi juu ya hili ama lile.Wakati huu huo,Vyuo vingine vya elimu ya Juu vinaendelea kutekeleza wajibu wao ipasavyo,mathalani SUA,Mzumbe nk.

Hata hivyo,kusoma UDSM si lazima kumgeuze mtu kifikra na kimtazamo.Mhitimu wa Mzumbe ama SUA ama CBE ama Mipango anaweza kuwa bora kuliko wa UDSM na kinyume chake.Jina la Chuo haliwezi kuchukua nafasi ya juhudi na utambulisho binafsi wa mhusika.
 
Ninasoma uzi nikiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),nikiendelea na harakati za kusaka elimu.Nimepitia maoni ya wachangiaji mbalimbali ya kufurahisaha na kusikitisha kuhusu hili ama lile.

Kusoma UDSM ni fursa adhimu ikiwa lengo ni kuunda ubongo unaofikiri ipasavyo.Jioni,ukipenda,unapata kahawa,mathalani Utawala,pembeni kukiwa na wanataaluma mbalimbali maarufu na kupata uchambuzi juu ya hili ama lile.Wakati huu huo,Vyuo vingine vya elimu ya Juu vinaendelea kutekeleza wajibu ipasavyo,mathalani SUA,Mzumbe nk.

Hata hivyo kusoma UDSM si lazima kumgeuze mtu kifikra na kimtazamo.Mhitimu wa Mzumbe ama SUA ama CBE ama Mipango anaweza kuwa bora kuliko wa UDSM na kinyume chake.Jina la Chuo haliwezi kuchukua nafasi ya juhudi na utambulisho binafsi wa mhusika.
You're Great Thinker.
Unaitendea Haki Avatar Yako.
By The Way Chuo Hamjafunga?
 
Ninasoma uzi nikiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM),nikiendelea na harakati za kusaka elimu.Nimepitia maoni ya wachangiaji mbalimbali ya kufurahisaha na kusikitisha kuhusu hili ama lile.

Kusoma UDSM ni fursa adhimu ikiwa lengo ni kuunda ubongo unaofikiri ipasavyo.Jioni,ukipenda,unapata kahawa,mathalani Utawala,pembeni kukiwa na wanataaluma mbalimbali maarufu na kupata uchambuzi juu ya hili ama lile.Wakati huu huo,Vyuo vingine vya elimu ya Juu vinaendelea kutekeleza wajibu ipasavyo,mathalani SUA,Mzumbe nk.

Hata hivyo kusoma UDSM si lazima kumgeuze mtu kifikra na kimtazamo.Mhitimu wa Mzumbe ama SUA ama CBE ama Mipango anaweza kuwa bora kuliko wa UDSM na kinyume chake.Jina la Chuo haliwezi kuchukua nafasi ya juhudi na utambulisho binafsi wa mhusika.

bora umesema mkuu

hawa wanazani kusoma chuo flani ambacho mazingira na sera nisawa na vyuo vingine, ndo waweza kuwa bora zaidi.

vyuo vyote vinamazingira karibu sawa ishu ni wewe kufungua brain yako

type hii ya hawa watu huwa NA TATIIZO LA KISAIKOLOGIA, so wanatafuta uliwzo😕
 
Nashukuru sana Mkuu.Chuo kimefungwa.Nilipaswa kuchukua break kama wengine.Ninahangaika na masuala ya utafiti kutafuta uwezekano wa kuhitimu masomo mwaka huu mwishoni.
Hongera Mkuu.
Kila La Kheri.
 
Kuna wengine humu wanajisifia et nasoma
UDSM sisomi chuo cha vilaza udom
Kumbe wanasoma bachelor of beekeeping huko udsm kwao....
Udsm sshv ni shimo la taka tuuu...
 
Kuna wengine humu wanajisifia et nasoma
UDSM sisomi chuo cha vilaza udom
Kumbe wanasoma bachelor of beekeeping huko udsm kwao....
Udsm sshv ni shimo la taka tuuu...
Mkuu Kuna Ubaya Gani Ukampotezea Huyo Mtu?
Udom Sio Chuo Cha Vilaza
Wala Udsm Sio Shimo La Taka.
 
Ha ha ha Mzumbe hii hii au nyingine?

Wanasiasa wooote wa CCM ni Graduates wa Mzumbe na Thesis za kupika!!

JPM KAMATA WEZI
Unamaanisha P. Kibatala yule mwanasheria wa chadema alikuwana thesis ya kupika!
 
Unamaanisha P. Kibatala yule mwanasheria wa chadema alikuwana thesis ya kupika!
Mkuu Mbona Unataka Kudanganya
Umma Wa Tanzania?
Kuna Mtu Ambaye Hafahamu
Cv Ya Wakili Msomi Peter Kibatala?
Ungetuletea Proof Ya Hiyo Thesis
Ya Kupikwa Ningekuelewa.
By The Way Hata Compitence Yake
Tuna Shuhudia Akiwa Mahakamani.
 
Back
Top Bottom