Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Kuna wengine humu wanajisifia et nasoma
UDSM sisomi chuo cha vilaza udom
Kumbe wanasoma bachelor of beekeeping huko udsm kwao....
Udsm sshv ni shimo la taka tuuu...
Acha dharau kijana
 
Hata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!
Hivi ubora wa chuo unatokana na nini?,si waangalia nyenzo na waalim?,waalim wa UDOM 75% wametoka UDSM,sasa huo ugoi goi unatoka wapi?
 
Mambo ya kihaya haya sasa na ndio maana hata hatuendelei kutwa kujisifia ujinga mara udsm mara sua mara mzumbe halafu nn?
Wao wote mnaosoma mbona hamna chochote mnachonmbadili nchi hii mnajisifia nini sasa.
Mbona mnalingana tu na sie tusioenda shule?
Mngekuwa wasomi wenye faida nchi ingeenda china kutafta wataalamu wa IT?
Mtagundua nn cha kusogeza nchi mbele! Kutwa mnajisifia vyuo!
Si bora hata udom waongee maana IT tunawaskia wanafanya yao hata mtandao tu ameweza kuanzisha kijana mmoja pale.nyie misifa tu oooh mie nlisoma mzumbe halafu ikaweje?
Acha basi kutudanganya,jf iko kitambo kabla ya udom,huyo mwanzilishi wa jf alisoma udom kabla haijaanzishwa?
 
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiacha MuhimbilI Nafasi Ya 3.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.

Nakukumbuka bro,ulikuwa ukipiga msuli pale ukumbi wa NA,
na kale katoto kako ulikoacha pale changarawe asaiv kanasoma chekechea.
Rudi ukakachukue hakachelewagi kuwa Mond kesho kakakutunza.
 
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiacha MuhimbilI Nafasi Ya 3.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
Unaongea bila kuleta source! Tukueleweje?
 
Acha basi kutudanganya,jf iko kitambo kabla ya udom,huyo mwanzilishi wa jf alisoma udom kabla haijaanzishwa?
Bado upo mbali sanaaa sizan kama umeelewa
Wapi nmesema jf imeanzishwa na mtu kutoka udom! MAYOCOO unaujua kaanzisha nani

Acha basi kutudanganya,jf iko kitambo kabla ya udom,huyo mwanzilishi wa jf alisoma udom kabla haijaanzishwa?
 
Back
Top Bottom