Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Mkuu Mbona Unataka Kudanganya
Umma Wa Tanzania?
Kuna Mtu Ambaye Hafahamu
Cv Ya Wakili Msomi Peter Kibatala?
Ungetuletea Proof Ya Hiyo Thesis
Ya Kupikwa Ningekuelewa.
By The Way Hata Compitence Yake
Tuna Shuhudia Akiwa Mahakamani.
Hilo swali nimemuuliza Enzymes linahitaji jibu
 
Hata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!
Kwann udom ni chuo cha kata nifumbue macho au na wewe umekariri mkuu, japo changamoto za elimu ya kibongo zipo ila wakati mwingine ifike mahali tubadilike kuona kama kuna vyuo vingine havistahili,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiacha MuhimbilI Nafasi Ya 3.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
Top Ranking kwa Africa ni kama ifuatavyo
UDSM ni 33
Mzumbe 74
Sokoine 81
Muhimbili 96
Udomo 168
 
Jina la chuo halitamsaidia mtu mpaka pale mtu atakapoweza kuisaidia jamii yake na taifa kwa ujumla, hongereni mliosoma udsm inaonekana mnaisaidia sana Tanzani na wengi wao mna ajira nzuri, ila sio mtu unasomea ualimu wa chekechea udsm haf unapiga kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la chuo halitamsaidia mtu mpaka pale mtu atakapoweza kuisaidia jamii yake na taifa kwa ujumla, hongereni mliosoma udsm inaonekana mnaisaidia sana Tanzani na wengi wao mna ajira nzuri, ila sio mtu unasomea ualimu wa chekechea udsm haf unapiga kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
Haa Haa!
Mkuu Bila Walimu Wetu Pendwa
Wa Chekechea Tungejua Kusoma
Na Kuandika Vizuri?
Nao Wanamchango Wao Kiasi Flani.
 
Nawapongeza sana Die hard fans wa 'vyuo vyenu'. Ukweli ni kwamba hizi rankings zinatumia vigezo mbali mbali hivyo usishangae kuwa hawa wanasema wewe wa 5, wengine wanasema wewe wa 30. Ki ukweli ni faraja sana kuona chuo ulichosoma, unachosoma au unachokipenda kimeshika nafasi za juu. Wakati naanza masomo ya shahada ya kwanza niliamini chuo nnachosoma kinasoko kubwa sana kwenye ajira na ni kweli waajiri wengi walikuwa wanakipenda kwa sababu kadhaa. Lakini nilichogundua ni kuwa pamoja na sababu nyingine, chuo kilikuwa kinapokea bright students; Div 1 na 2 mara chache sana kuona Div 3 kajipenyeza. Pamoja na kuwa elimu iliyokuwa inatolewa ni bora lakini pia wanafunzi wengi wanaochukuliwa ni wale wenye uwezo mzuri. Hii ina advantage sana kwani hata wakimaliza mara nyingi wanafanya vizuri kwenye mitihani ya bodi mbalimbali (NBAA,etc). Hata kwenye usahili wa kazi wanakuwa na advantage zaidi ya wale wanaotoka vile vyuo vinavochukua wanafunzi wenye ufaulu hafifu; nyie mnawaita vilaza. Chuo kina nafasi kubwa ya kumuendeleza mwanafunzi lakini ukweli ni kwamba sehemu kubwa zaidi ya ubora wake ni uwezo binafsi, jitihada, udadisi,kujitofautisha, n.k. Wapo waliomaliza vile vyuo giants TZ UDSM, Mzumbe, SUA (wengine mtajiongeza) lakini miaka nenda rudi hawajaajiriwa, hawajajiajiri, Hawaajiriki, wapo tu. Lakini kuna vijana ambao wametoka vyuo 'dhaifu' (kimtazamo) sitavitaja lakini hawakuchukua round mtaani wakaajiriwa, wakajiajiri na wengine wamefanya mambo makubwa sana kwenye nchi yetu. Chuo kina nafasi kubwa sana ya kukujenga kupitia wahadhiri bora, miundo mbinu, n.k lakini sehemu kubwa sana sio ya chuo ni ya mwanafunzi mwenyewe.

Ikumbukwe pia hata vyuo vipo na 'ubora' kwenye eneo fulani zaidi ya vingine. Ni dhambi kubwa kuilinganisha SUA na Chuo chochote TZ kwenye masuala ya Kilimo, Mzumbe masuala ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu, MoCU na Ushirika, UDSM na Sheria, MuHAS na fani za utabibu, na vinginevyo vingi, japo vipo ambavyo ngumu kuwaelewa kabisa lakini wanakitu wanakifanya. Pia sio ukitoka chuo fulani basi wewe ni Kichwa. Kuna watu tunawafahamu katika siasa, utawala, na mengineyo ambao wametoka UDSM , Mzumbe, n.k lakini wamefanya madudu na kuifilisi hii nchi mpaka aibu hivyo narudi pale pale kuwa mara nyingi ni mwanafunzi mwenyewe.
Chuo kinaweza kukutoa Ujinga kikaukuachia Upumbavu wako ukaenda nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom