Wapi Nimetaja "Shifting" ?Chuo ambacho watu wanasoma kwa shifting, kama primary ndio unatuambia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo cha Vilaza Udom kipo top 5?![]()



Hata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!Chuo cha Vilaza Udom kipo top 5?![]()
Tatizo la mwkymb ni ile polnium...Haa Haa!
Me Sitaki Noah Nyeusi Mkuu.
Kwani Yule Mwa K-y-e Mbe Nae
Vipi? Si Zao La Udsm?
Hata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!
UDOM hakiwezi fungiwa sababu kwa sasa tumehamia dodoma,na serikali pendwa ndo imepiga kambi pale.pamoja na kwamba kabwana mkubwa amewaita vilaza wanaotoka paleHata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!
Mkuu Usitoke Nje Ya MadaPublic universities can't compete with the private universities anyhow
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hiyo Ni "Common Misconcepiton" Ya Watu WalioHata mimi pia huwa nashangaa hiki chuo wanakiita cha kata but kwenye rank akitoki top 5! na pia unashangaa kcmc inafungiwa MD but udom inasurvive!!
http://www.webometrics.info/en/Africa/Tanzania, United Republic ofChuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiachia Muhimbil Nafasi Ya 3i.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.