Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,314
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikiacha MuhimbilI Nafasi Ya 3.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
 
Ha ha ha Mzumbe hii hii au nyingine?

Wanasiasa wooote wa CCM ni Graduates wa Mzumbe na Thesis za kupika!!

JPM KAMATA WEZI
Mkuu Punguza Ushabiki Chuo Kipo
Vizuri Sana.
Nitajie Hao Wanasiasa Na Thesis Zao Za Kupikwa.
Mbona Wapo Watu Makini Kama
Wakili Msomi Peter Kibatala.
Pia Mama Samia Suluhu.
 
Mkuu Punguza Ushabiki Chuo Kipo
Vizuri Sana.
Nitajie Hao Wanasiasa Na Thesis Zao Za Kupikwa.
Mbona Wapo Watu Makini Kama
Wakili Msomi Peter Kibatala.
Pia Mama Samia Suluhu.
Hata Mimi nilikimbilia Mzumbe kusoma hakuna shule pale baada ya kuchoka ugumu wa Udsm nikapooza machungu Mzumbe, baadae nitaenda Bagamoyo huko nimeandaa hela ya kuhonga tu nitasoma kidizaini kwa ugumu wa Maisha haya Walimu rushwa wanapokea sana
 
Mkuu Haupo Serious Kabisa
Yaani Umeacha Vyuo Vyote
Pendwa Unakimbilia Bagamoyo?
 
Safi sana. Mzumbe sasa waboreshe miundombinu iwe ya uhakika tu.Lakini ni kweli wanajitahidi sana kutoa elimu bora
 
Safi sana. Mzumbe sasa waboreshe miundombinu iwe ya uhakika tu.Lakini ni kweli wanajitahidi sana kutoa elimu bora
Ni Kweli Mkuu Miundombinu
Ni Moja Ya Changamoto Kwa
Vyuo Kongwe Vya Serikali.
Mama Samia Suluhu Akumbuke
Nyumbani Kwake Hapo.
 
9d066ff54d89ac6c2ba87caceb598b6a.jpg
 
Mkuu Punguza Ushabiki Chuo Kipo
Vizuri Sana.
Nitajie Hao Wanasiasa Na Thesis Zao Za Kupikwa.
Mbona Wapo Watu Makini Kama
Wakili Msomi Peter Kibatala.
Pia Mama Samia Suluhu.
N..M...nauyeeee, Dr. Eeeee....Nchimbi....nk katafute Thesis zao uone kama zina uhusiano na course zao!

Hao ni baadhi tu!!

JPM KAMATA WEZI
 
9d066ff54d89ac6c2ba87caceb598b6a.jpg
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikifuatiwa Na Muhimbili.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
 
Chuo Cha Mzumbe ( Mzumbe University) Ni Cha Pili Kwa Ubora Kikifuatiwa Na Muhimbili.
Nimeona Kwenye Top Ranking Universities
In East Africa 2017
Heko Mzumbe.
Binafsi, Nilikuwa Jirani Wa MU
Yaani Nilisoma Mzumbe Secondary
Ila MU Palikua Sehemu Yetu Ya Kupata Relief.
njoo hata na link ......uonekane wa maana
 
Back
Top Bottom