Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Pongezi; Mzumbe University Ranks No. 2 After UDSM

Okay... labda nijulishwe wakifanya ranking wana base kwenye nini hasa...either majengo, waalimu,perfomance au wengi wakimaliza wanaajiriwa right away.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
654ca4cf093ac19bca11d4fe9919ddd9.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi nilikimbilia Mzumbe kusoma hakuna shule pale baada ya kuchoka ugumu wa Udsm nikapooza machungu Mzumbe, baadae nitaenda Bagamoyo huko nimeandaa hela ya kuhonga tu nitasoma kidizaini kwa ugumu wa Maisha haya Walimu rushwa wanapokea sana

Hahaha ww utakuwa ulidisco pale sababu mzumbe hawalei vilaza,
 
Nashukuru sana, na kwa mujibu wa source yangu MU ni cha nne!!

Lakini kuna kitu lazima ujue, huwa wanapanga vyuo kutokana na vigezo kama facilities, research na namba ya wanafunzi!! na ndio maana unaona kuna utofauti!!

Kiuhalisia mzumbe huwezi fananisha na SUA au mzumbe au udsm (no disrespect)!!

SUA imejaza DV3 na Div 4 alaf ufananishe na Mliman au Mzumbe?
 
Back
Top Bottom