Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,314
- Thread starter
- #41
Mkuu Punguza Munkari KidogoMambo ya kihaya haya sasa na ndio maana hata hatuendelei kutwa kujisifia ujinga mara udsm mara sua mara mzumbe halafu nn?
Wao wote mnaosoma mbona hamna chochote mnachonmbadili nchi hii mnajisifia nini sasa.
Mbona mnalingana tu na sie tusioenda shule?
Mngekuwa wasomi wenye faida nchi ingeenda china kutafta wataalamu wa IT?
Mtagundua nn cha kusogeza nchi mbele! Kutwa mnajisifia vyuo!
Si bora hata udom waongee maana IT tunawaskia wanafanya yao hata mtandao tu ameweza kuanzisha kijana mmoja pale.nyie misifa tu oooh mie nlisoma mzumbe halafu ikaweje?
Lengo La Mada Ni Kupongeza
Chuo Cha Mzumbe Kwa Kasi
Nzuri Wanayokuja Nayo Na
Si Vinginevyo.