Ak4700
Member
- May 29, 2018
- 18
- 100
bila shaka mleta mada ni single Mama..
Labda nichangie kwa kusema.. Kuoa sio jambo la plan na wala sio jambo la kubahatisha. Wapo waliooa masingle Mama wakapendana sana na maisha yakawa mazuri mno.. lakin wapo waliooa masingle Mama mambo yakawachachia na wapo waliooa Bikra wakajiaminisha kuwa bikra ndo hii wakakutwa na makubwa mno na wapo waliooa Bikra wakayafurahia sana maisha ya ndoa.. So fanya unachokiona ni sahihi na moyo wako umeridhia halaf pia kinachosababisha cheating migogoro na mengine ndani ya nyumba huwa ni jinsi mnavyoishi siamininkama mnayaishi maisha ya furaha ya upendo halaf ikatokea migogoro siamini kama inawezekana.. Kuna ile leo umechelewa kurudi nyumbn kesho umekutwa na meseji mara imepigwa cm mara umekutwa na picha za uchi mara umekutwa na nini sijui lazima mmoja wapo atakengeuka tu

apana sio kwel kwamba nliumia ila nlidate na mdada mzoefu na alikua mkongwe kwenye field (gape la kiumri Kati yangu na yy ni 13yr) alinifunza mengi sana, akaja kuolewa 2019.