Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,030
- 110,663
Kwa kweli sijui baada ya umakamu ukuu aliendelea vipi, isipokuwa juzi juzi hapa kama sio mwaka jana mwisho basi mwaka huu mwanzoni niliona kaandaa tafrija ya kustaafu utumishi wa umma na alitoa mualiko huru kwa wanaKibaha wote waalimu na wanafunzi (wa zamani na sasa)Kaselenge alihamia kuwa mkuu wa chuo nadhani ustawi wa jamii pale ni kweli kayenga aligongana uso kwa uso na ukuu.
Speaking of Kayenga, kweli yule mzee alikutana tu na ukuu wa shule kingekewa, yaani ni kama mtu aliyeokota embe dodo chini ya muembe...