Pongezi kwa Walimu wote wa Kibaha High School

Pongezi kwa Walimu wote wa Kibaha High School

Umenikumbusha huyo ndugu Kashinde Kaselenge....lol!!

Hivi na mama Mbalawa bado yupo?? Maskini mwalimu Mbalawa alifariki akingali kijana...RIP!

Babu tokea nifike hapo kuchukua makabrasha yangu ya taaluma sijawahi kanyaga tena...

Pengine atakuwepo maana waalimu ni watumishi wa serikali wenye kukaa mahali pamoja muda mrefu...

Kuna baadhi ya waalimu kama Mama Mapunda, Zuberi nimseshawahi kutana nao mara kadhaa hapa mjini na bado wapo huko...
 
Wengine wamestaafu mkuu ila Majala na Festo Urio wapo na festo Urio amekua Mkuu wa shule ya sekondary Tumbi...

Daah mkuu umenikumbusha mbali enzi za hisabati za urio...

Hivi kayenga ulimwacha?

Festo G. Urio, raha sana. Alinifundisha additional mathematics o-level, na ndiye msingi wa uwezo wangu wa kutatua mambo magumu kwa logic hadi kesho. Nikikumbuka nacheka sana, hilo somo tulianza watu takriban 50 ila tuliomaliza ni 11 tu kudadeki. Ukiongezea advanced mathematics pale yaani daaahh.... !!
 
Shule yangu ya zamani hii...

Sijui kama waalimu wote wa wakati huo kina Abacha, Kashinde, Majala, Festo Urio, Mgina, Zuberi n.k kama wapo hapo

Hahahah bado wapo mkuu! Mimi mwenyewe nimesoma pale, last year nilienda kuwatembelea, majembe mengi tu nimeyakuta bado yapo..
 
Wengine wamestaafu mkuu ila Majala na Festo Urio wapo na festo Urio amekua Mkuu wa shule ya sekondary Tumbi...

Daah mkuu umenikumbusha mbali enzi za hisabati za urio...

Hivi kayenga ulimwacha?

Kayenga yupo! Kuna kipindi miaka ya 2004 -2011 alikuwa headmaster, sijui kama bado anaendelea..
 
Kaselenge kashushwa cheo na kuwa mwalimu wa kawaida pale Tumbi Secondary

Nimefurahi sana musikia hivyo! Tehe tehe tehe, huyu jamaa alikuwa mnoko sana, alafu mtemi balaa..! Enzi zetu sisi alikuwa ni second master, akitupiga sana makonzi na push-ups kwa sana
 
Nimefurahi sana musikia hivyo! Tehe tehe tehe, huyu jamaa alikuwa mnoko sana, alafu mtemi balaa..! Enzi zetu sisi alikuwa ni second master, akitupiga sana makonzi na push-ups kwa sana

Ha ha ha usinikumbushe mkuu..
Enzi zile akijifanya kamanda na matusi juu..

Sasahivi kawa mpole kama siyo yeye vile teh teh teh
 
Yule jamaa nae alikua mnoko sanaa

Babu kayenga ubaya wake mi naona hakuwa na haiba ya kiuongozi! Mfano kipindi kile alipokuwa headmaster alikuwa anapelekeshwa sana na kaselenge, yani ilifika kipindi kayenga alibakia na title tu, lakini kaselenge ndo alikuwa anajifanya kama headmaster!!
 
Ha ha ha

Yule jamaa cha kushangaza mpaka Leo kashindwa kujenga Nyumba pamoja na ufisadi wote ule... Bado anaishi Nyumba ya shirika...

Now amepoa kama maji chezea director mpya wa shirika ha ha hah
 
Walimu wa degree wanaanza na ptss11 ambayo sh.milion moja na laki 2,diploma wanaanza na laki 64OOO0,acha kubisha vitu huzivyo vijua ,

Yaap! Ni kweli Mwl. Mwenye degree fresher anaanza na basic salary 1.2mil. Ushahidi ninao kwa kuona salary slip ya mtu wangu wa karibu ambaye ni mzoefu ambaye basic yake ipo zaidi ya 1.2mil.
Mwalimu Diploma sifahamu kwa sababu sijaona.
KWA HIYO WALIMU WA PALE KIBAHA WACHA WAJITUME TU. Pia Wengi wanapiga Part time shule za pembeni,hawabanwi,ili mradi utimize ratiba yako.
TAMISEMI/MoEVT Mwalimu degree anaanza 589,000/-basic.
 
Back
Top Bottom