Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,156
- 111,069
Mwalimu Konga umemsahau kweli au umempotezea kisa alikuwa mwalimu wa nidhamu na mzee wa stick?
Hahah!!
Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu sana maana nilikuwa kiongozi, ila alikuwa akisimama pale kwenye ngazi kama unapandisha kuja parade na stick mkononi lazima uishie bwaloni kama umetokea upande huu wa Skandia