Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Leo cheka na ufurahi kabisa maana ni wakati wako.Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Yaani msumbiji ilianzia hivyo hivyo. Usiwe na wasi ndugu siku inakuja na utakuja hapa kulaani.Hao ndio wataitoa Dola?
Unashikwa kama kuku?
Yaan bado sana mkuu maneno ya ujasirii ila vitendo vya kidada
Nenda kwa kibibi chako kinakushughulikie na mashine yake ya kukoboa huko.Hakuna kuku atavunja sheria za Nchi halafu aachwe hivi hivi eti kwa sababa ya mbweha wanaobweka mitandaoni... Amani ya Nchi ni bora mara mia kuliko nguchiro 100 wanaochochea vurugu..
Jaribuni tuwafute kama MKIRUYaani msumbiji ilianzia hivyo hivyo. Usiwe na wasi ndugu siku inakuja na utakuja hapa kulaani.
And every evil shall come into books....Utavuna unachopanda, Nothing lasts longer
Kwa Hilo nakataa. Ana upumbavu gani.Lissu ni mpumbavu na mwehu
Amka tulishatoka huko kwenye AMANI kwa sasa tuko kwenye FUKUTO.Jaribuni tuwafute kama MKIRU
Hii nchi amani italindwa kwa gharama zote wapumbavu na magaidi aina yako amtodumu
Taifa gan?Kwa Hilo nakataa. Ana upumbavu gani.
Huyo ni kiongozi wa kitaifa at least show some respect
Po gezi!!!!πHao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Fukuto huku unatumia Id feki?Amka tulishatoka huko kwenye AMANI kwa sasa tuko kwenye FUKUTO.
Mh. Lissu ni kiongozi kitaifa.Taifa gan?
Lissu ni kiongozi kama alivyo Steve Nyerere
NYie chadema ndio mshow respect kwa maana yeye na maneno yake ya ******* senge ( Lissu alitamka haya)
Nani ampe heshima?
Acha ushamba Mimi sitetei ujinga. Hilo la id fake halikihusu kikubwa get to understand ili siku nyingine usifurahie upumbavu kama huu.Fukuto huku unatumia Id feki?
Weka jina lako tujue wewe ni mwanaharakati wa kweli
Nakwambia hivi kitanuka tu subiri nyinyi mnasilaha na sisi tunajipanga kwa hizo hizohizo.Jaribuni tuwafute kama MKIRU
Hii nchi amani italindwa kwa gharama zote wapumbavu na magaidi aina yako amtodumu
Acha kujificha harakati mafichoni kama panyaAcha ushamba Mimi sitetei ujinga. Hilo la id fake halikihusu kikubwa get to understand ili siku nyingine usifurahie upumbavu kama huu.
Asipo-act kama kiongozi wa kitaifa anakuwa mpumbavu tu. Lissu ni mpumbavu wacha akaadabishwe na wahuni huko selo. Amani ya NCHI/DAMU ZA WATANZANIA ni muhimu na zitalindwa kwa hali yeyote.Kwa Hilo nakataa. Ana upumbavu gani.
Huyo ni kiongozi wa kitaifa at least show some respect
,Penye dhuluma wakishindwa wanaojipigania kumbuka Mungu mumbaji wa mbingu na ardhi yupo, anao uwezo wa kuwapigania. Maneno yako usiongee kwa kiburi kama kwamba wao wakishindwa ndio nafasi. Muogope Mungu walao. Otherwise hakuna marefu yasiyo mwishoZuieni kwa nguvu zenu sasa!!
Mimi ni mwana chama hai wa CCM ila siwezi kamwe kuwa sehemu ya upumbavu kama huu. Ninachojua ni kwamba muda wa ujinga kutamalaki utaishaga Tu.....let's give ourselves time.Acha kujificha harakati mafichoni kama panya
yeye mwenyewe ameshindwa kujheshimishaMh. Lissu ni kiongozi kitaifa.
That is what I know. Ni kwa kuwa tuko kwenye nchi ambayo inafuga wajinga wengi kama wewe kwamba mpaka Leo hujui kwamba lissu ni kiongozi.
Hataweza kukuelewa, mpuuzieAcha ushamba Mimi sitetei ujinga. Hilo la id fake halikihusu kikubwa get to understand ili siku nyingine usifurahie upumbavu kama huu.
Naona leo mpaka wajawazito mmefurahi asee. HongereniHao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ