Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.

Ndo huyu mnayemtegemea kichwa maji huyu. Ni lini huyu bwana ataacha kupayuka?? mbayu wayu ni mbayu wayu tu siku zote.
 
Huyu ni mmoja kati ya viongozi wasio na tija hapa Tanzania. Matukio yasigeuzwe mtaji wa kisiasa.
 
Anamtetee mahakaman ama aaandae maandamano kwenda gerezani alipowekwa
 
Lipumba amekwisha kisiasa hivyo inabidi atafute kila aina ya njia kujipatia umaarufu mbele ya wavaa vipedo wake.
 
haijawahi kutokea chadema wakazungumzia utaifa,wao huwa wanaangalia zaidi uchaga na kanisa.hii mbegu ilipandwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2010 ambapo walikuwa wanawatenga waumini wa kanisa waliokuwa wanaunga mkono ccm mfano sumbawanga

Useme ya huku S/wanga kama huyajui.
Nini chanzo cha kutenguliwa uchaguzi?Chanzo cha hayo kuanza kanisani?Ukipata majibu ya maswali hayo utaacha kuchangia vitu usivyojua.
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.
mwache akae ndani kwanza ajue kwamba hawezi kutuchezea watanzania kama anavyodhani, na wewe lipumba kama kweli umetoa kauli hii basi kuupata urais wa tanzania usahau rasmi.
 
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.

Lipumba is my teacher, but quite an unfortunate political character. In fact is such an unfortunate power opportunist. He was a policy kitchen archtect in the Mwinyi Government, a political demagogue against Mkapa Government, but a damn islamic fundamentalist, not an opposition, of Kikwete Government.
 
Lipumba ni mwanasiasa na kiongozi wa chama halali cha upinzani hivyo ana wajibu wa kumtetea raia yeyote anaekamatwa kinyume cha sheria! baya zaidi ni Serikali kumshikilia mtuhumiwa bila ya kumpa dhamana ambayo ni haki ya mtuhumiwa kwa mujibu wa katiba na utawala wa sheria!

La kushangaza hapa Jamii Forum (the Great thinkers) wanaoshabikia Chadema wanafurahia mtuhumiwa kunyimwa dhamana na ikiwa kiongozi wao Slaa au Mbowe au Lema wakikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuchochea machafuko basi kinachofuata ni laana na kauli za kuleta vita hutoka mdomoni mwa wafuasina wakereketwa wa chadema!

Chadema ni wanafiki kwa sababu wamemtuma Profesa safari kutoa kauli kwa niaba yao badala ya Katibu wao mkuu slaa au Mwenyekiti wao Mbowe! leo Lipumba anapomtetea Ponda aachiliwe kwa dhamana mnamtukana! Jee kama mnatetea Serikali hii ya Jk ikamate raia wake na kuwanyima haki yao ya dhamana, Chadema ikishika Serikali patakalika kweli!

Chadema kama wanataka kupata ridhaa ya wananchi haina budi kujiepusha na kauli za mashabiki na baadhi ya viongozi wao wanaonyesha chuki zao dhidi ya Uislamu
Wasingeweza kusema aachiliwe kwa dhamana wakati mahakama imezuia.Sijawahisikia Chadema wakisema mtu aachiwe ikiwa kesi inaendelea.Kama nimesahau naomba nikumbushwe!!!!!
Kama waliwhi, nachelea kusema walikosea.Tusishabikie bila kutumia akili.
 
Useme ya huku S/wanga kama huyajui.
Nini chanzo cha kutenguliwa uchaguzi?Chanzo cha hayo kuanza kanisani?Ukipata majibu ya maswali hayo utaacha kuchangia vitu usivyojua.

hiyo ni topic nyingine,mi nimeongelea waumini wa kanisa kutengwa na kuvuliwa uumini kwa sababu waliunga mkono ccm
 
kwa waislamu sheria ndio inatakiwa kufuata mkondo kwa chadema hapana wanaonewa wacheni propaganda za kichaga[TABLE="width: 500"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Chadema katika lipi?
 
Hili jamaa na chama chake si ndio wafadhili wa Radio na imaan na gazeti Al-nuur.

Poor you na ama hawezi kuwa Rais wa Tz may be hii nchi iwe inaongozwa na sharia.

sasa Yule PADRI wa karatu ndo ataupata huo urais ?, 2015 hata akija kanisani hatudanganyiki.
 
Nasikia ni mgombea wao wa 2015 jimbo la Ubungo. ha ha ha ha ha ha ha ha...kweli CUF ni genge la wahuni.

ni Genge la wahuni wa kwenda disco la BIRKANAZ la MBOWE, kumbe mbowe ndo kiranja mkuu wa WAHUNI.
 
chadema christianism hapo sawa au unabisha ulivyo mbinafsi

Sababu ni zipi?CUF ushahidi ni yale ya Arusha mapokezi ya Lipumba kujadiliwa msikitini.
Dr.Slaa ni padre aliasi,hivyo si padre kwa imani ya kikatoliki na wala haruhusiwi hata kufunga ndoa kanisani.
 
Kweli Lipumba ni Pumba mpaka Pumbest. THe most boring Prof
 
bora JK aendelee kukaa madarakani kidikteta baada ya 2015 kuliko LIPUMBA kuwa hata mkuu wa wilaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom