Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Nasikia ni mgombea wao wa 2015 jimbo la Ubungo. ha ha ha ha ha ha ha ha...kweli CUF ni genge la wahuni.

Ni kweli gazeti la dini yao lilimtangaza Ponda atachuana na Mnyika uchaguzi ujao Ubungo.Eti wakadai Ubungo ina Waislam wengi kuliko wakristo kwa hiyo ni lazima Ponda ambwage Mnyika
 
Wakati wa Mwinyi alikuwa mshauri wa uchumi badala ya kutueleza mbinu za uchumi alizotumia kurekebisha uchumi wa Nyerere yeye anarukia ya Ponda.
 
Amezeeka fikra: Hebu kumbuka. Uchaguzi wa 1995 wakati wa Mrema,Mkapa,nk huyu babu aligombea akashindwa. 2000 aligomea akashindwa, 2005 wakati wa Kikwete, Mbowe, napo aligombea akashindwa. 2010 wakati wa Kikwete, Slaa, huyu kibabu aligombea akachemsha vibaya. Na 2015 ana mpango wa kugombea tena. Huyu mzee anataka atufanye nini watanzania, au amehaidiwa nini na waarabu. Mbona king'ang'anizi sana. lol
 
Wakati anagombea Urais kwa nini hakuwa muwazi kuomba kwa Waislamu wenzake tu.

Wanasema Nyerere alikuwa mdini lakini na wao wanapita kwenye nyazo zilezile. Ni nani sasa atasahihisha makosa ya Nyerere.

Kama lipumba hakutoa kauli wakati wa kuchoma makanisa hakutakiwa kulitolea kauli suala la ponda kwani ni mwanasiasa tunategemea lengo lake ni kutuongoza kwa usawa.

Mkuu ningependa NECTA wapitie upya mitihani ya huyu jamaa huenda alipitishwa tu.
 
hata kauli ya chadema ilikuwa na mashaka wanatoa kauli ambazo zina malengo ya kisiasa kuliko utaifa.

haijawahi kutokea chadema wakazungumzia utaifa,wao huwa wanaangalia zaidi uchaga na kanisa.hii mbegu ilipandwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2010 ambapo walikuwa wanawatenga waumini wa kanisa waliokuwa wanaunga mkono ccm mfano sumbawanga
 
Kama nguvu ya kumnusuru Ponda ingetumika kuongeza majengo ya chuo alichowapa Mkapa Morogoro Waislamu wengi wangepata elimu ya chuo kikuu. Hakuna anayejali kuongeza majengo tangu Mkapa alipowapa miaka 9 iliyopita.
 
Sheria ni msumeno! Tuache sheria ichukue mkondo wake! hakuna mtu aliyejuu ya sheria! so far sheikh ponda ni mtuhumiwa!
Leo ni EID mubarak,sheikh ponda apelekewe pilau ili nae aufinye.
 
haijawahi kutokea chadema wakazungumzia utaifa,wao huwa wanaangalia zaidi uchaga na kanisa.hii mbegu ilipandwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2010 ambapo walikuwa wanawatenga waumini wa kanisa waliokuwa wanaunga mkono ccm mfano sumbawanga
.

Kwa nini chama hakifutwi badala ya kulalamika na kuwa kama propaganda tu???

Rais ni wa kwenu kwa nini asikifute?

Tendwa yupo kwa nini hakifuta kama ushahidi huu upo?
 
Ni kweli gazeti la dini yao lilimtangaza Ponda atachuana na Mnyika uchaguzi ujao Ubungo.Eti wakadai Ubungo ina Waislam wengi kuliko wakristo kwa hiyo ni lazima Ponda ambwage Mnyika

kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari
 
mkuu yakitokea machafuko mengine inabidi na Lipumba naye awekwe ndani anyee ndoo.
Enheee, hapo chawa kabicha! Udini udini tu, waende Iran na Afghanichtan. Hata Bochinia naa Hezegovina kwichaaacha chiku nying udini uo!
 
Sijui tatizo lenu liko wapi? Lipumba amesema/dai kuwa raia Ponda amewekwa ndani kinyume na sheria, na makosa anayotuhumiwa nayo yanastahili dhamana!
Lengo lake ni kuepusha vurugu zaidi kwani inawezekana si pekee aliye baini hitilafu kwa jinsi suala zima la ponda linavyokwenda huenda wafuasi wake pia wakahisi uonevu na hii itavuruga jamii!
Mi si muunini wa vurugu lakini sheria lazima ifuatwe no matter what~
 
.

Kwa nini chama hakifutwa badala ya kulalamika na kuwa kama propaganda???

Rais ni wa kwenu kwa nini asikifute?

mda si mrefu kitabadilishiwa usajili kiwe taasii ya dini,ofisi zake zitakuwa makanisa ya kkkt na katoliki, rais ni wa watanzania sio wa kwenu
 
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

akili za mad-rasta hizi
 
kama ilivyo kwa chadema ambapo kumejaa wachungaji na maaskofu na watoto wa wachungaji,angalia mchungaji msigwa,mchungaji israel natse,padre slaa na mtoto wa mchungaji joshua nasari

unataka kusema Maalihaj nao wanaeneza dini??? Alhaj Ally Hassan mwinyi, Alhaji Shein , Alhaj Yusuf makamba.

Sheikh Ponda na farid wanaelneza dini?

Tujenge hoja hizi propaganda hazisaidii nchi yetu. Katiba haijazuia mchungaji wala sheikh kuwa mwanasiasa kama hilo halitakiwi kwa nini tusiweke kwenye katiba?
 
Ninamashaka na kauli Aachiwe mara moja!!! kama ni kweli uprof si stahiki ya Lipumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom