Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,855
- 4,895
and this is the next president of the united republic of Tanzaniaaaaaaaa.
Imagine! Ovyooo!
and this is the next president of the united republic of Tanzaniaaaaaaaa.
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.

sheria ni msumeno! Tuache sheria ichukue mkondo wake! Hakuna mtu aliyejuu ya sheria! So far sheikh ponda ni mtuhumiwa!
Leo ni eid mubarak,sheikh ponda apelekewe pilau ili nae aufinye.
chadema kwa ni kanisa wasingeweza kuwatetea waislam ndio mana tamko lao lilikaa kinafki nafki
Waislamu wakimtumia Profesa MOHAMED MTOI wa JF wangekuwa mbali sana.Nilikuwa namkubari sana huyu Prof. Lipumba kumbe naye amejaa pumba kama jina lake. Shame on him.
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.
Tatizo hujaelewamada. Chadema inatetea kuwa Ponda ana haki ya kikatiba ya kupata dhamana. Tatizo Lipumba anaenda mbali zaidi kusema Ponda hana hatia wakati yeye si mahakama. Dhamana ni haki ya raia ila kwamba una hatia au la ni swala la kisheria si kisiasaLipumba ni mwanasiasa na kiongozi wa chama halali cha upinzani hivyo ana wajibu wa kumtetea raia yeyote anaekamatwa kinyume cha sheria! baya zaidi ni Serikali kumshikilia mtuhumiwa bila ya kumpa dhamana ambayo ni haki ya mtuhumiwa kwa mujibu wa katiba na utawala wa sheria!
La kushangaza hapa Jamii Forum (the Great thinkers) wanaoshabikia Chadema wanafurahia mtuhumiwa kunyimwa dhamana na ikiwa kiongozi wao Slaa au Mbowe au Lema wakikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuchochea machafuko basi kinachofuata ni laana na kauli za kuleta vita hutoka mdomoni mwa wafuasina wakereketwa wa chadema!
Chadema ni wanafiki kwa sababu wamemtuma Profesa safari kutoa kauli kwa niaba yao badala ya Katibu wao mkuu slaa au Mwenyekiti wao Mbowe! leo Lipumba anapomtetea Ponda aachiliwe kwa dhamana mnamtukana! Jee kama mnatetea Serikali hii ya Jk ikamate raia wake na kuwanyima haki yao ya dhamana, Chadema ikishika Serikali patakalika kweli!
Chadema kama wanataka kupata ridhaa ya wananchi haina budi kujiepusha na kauli za mashabiki na baadhi ya viongozi wao wanaonyesha chuki zao dhidi ya Uislamu
and this is the next president of the united republic of tanzaniaaaaaaaa.
Lipumba mwenyewe alishiriki kuchangisha pesa ya kutengenezea mabango ya kupinga sensa...wale wale UAMSHO...Hivi huyu Bwana si ndio alihusika na kuhamasisha watu wagomee sensa.., na fujo zilitokea kutokana na maandamano / mkusanyiko ambao na yeye alihusika ? au hayo sio makosa kwa mujibu wa sheria zetu ?
I might be wrong lakini nadhani Tanzania is a safer place bila huyu ndugu yetu kuwa uraiani
mda si mrefu kitabadilishiwa usajili kiwe taasii ya dini,ofisi zake zitakuwa makanisa ya kkkt na katoliki, rais ni wa watanzania sio wa kwenu