Pombe zinachafua sherehe hasa za Harusi!

Pombe zinachafua sherehe hasa za Harusi!

Hahahaaaa... kazi zote gegedeshi nilishapumzika kaka. sasa ni kusaka mahela tu.
Mawazo gegedeshi nini nini yameshindwa na kulegea.

Afu miss chagga huyo ujue... sema nlikuja kugundua baadaeeee sana.
Tized tatizo wakati umembeba abiria wako ukaanza kuwaza mengine mara uko nae kitandani mara unampapasa mara sijui nini hapo lazima nguvu zikuishie
cc Mndengereko, Excel
 
Last edited by a moderator:
aisee...
946969_525160644188301_441365542_n.jpg

Mkuu Tyta we balaaaa yan kila panapohitajika picha wewe hukosi!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa... kazi zote gegedeshi nilishapumzika kaka. sasa ni kusaka mahela tu.
Mawazo gegedeshi nini nini yameshindwa na kulegea.

Afu miss chagga huyo ujue... sema nlikuja kugundua baadaeeee sana.

Hakunaga kitu kama hicho mkuu Tized hayo mawazo huwa hayaishi sema kichwani kunakuwa na mambo mengi mpaka unasahau kuwa kuna issue kama hizo
Hahahaha aise miss chagga mbona alinitambia ana vogue aise alitoka wapi tena kuja kubebwa na@tized kuvushwa au ulikuwa unampeleka kwenye ndinga yake
 
Last edited by a moderator:
ndoa ikishafungwa kinachofuata ni sherehe, na sherehe ni kushereheka, na watu wamechanga ela zao kuja kwenye sherehe, sasa wewe uwape chunky na azam? kitu cha povu lazima kihusike na watu wachangamke, mimi nimeudhuria harusi kibao za pombe tena si za kubana ni full gambe kama baa vilena hamna fujo, hiyo yako labda ya uswazi.
 
Hahhaahaaaa. Ndio changamoto zenyewe kaka.

Hope all is well.
Hakunaga kitu kama hicho mkuu Tized hayo mawazo huwa hayaishi sema kichwani kunakuwa na mambo mengi mpaka unasahau kuwa kuna issue kama hizo
Hahahaha aise miss chagga mbona alinitambia ana vogue aise alitoka wapi tena kuja kubebwa na@tized kuvushwa au ulikuwa unampeleka kwenye ndinga yake
 
Za mchina zile fake hu chanika tu hata WKT mtu anavaa usishangae.
Asante kwa kunisaidia nilijiuliza sana inakuwaje kitu kipya kichanike siku ya kwanza kukiweka mwilini
 
kuna tatizo ninalo mkuu kwangu sasa sijui ni langu peke yangu au la wote kuna sometimes huwa mentioning za watu zinachelewa kutokea kwenye notification yangu na hata baadhi ya quotes kwa mfano hii ni ya saa 10 na dk 7 lakini mpk saa 11 nilikuwa online na sikuiona nimekuja kuiona sasa hivi

cc : Moderator & Invisible
Ni kweli kabisa hata mimi nasumbuliwa na tatizo kama lako
 
Hahahaaa... Ndio tunajitafutia riziki mkuu hivi... kufa kufaana. Hahahaaaaa.
kumbe mkuu hii picha ya mv kigambaoni kama sio mv magogoni ilikuwa yako duh umekuwa maarufu ghafa imetapakaa kila mahali sasa
 
mkuu unajaribu kusema nini ina maana Tized hajapata siku nyingi hiyo kitu mpk aiwaze hata akiwa kazini ama??

nafikiri anakaribia kuvunja record ya kukaa muda mrefu bila ile kitu aise mpaka akiona jinsia tofauti anaruka ruka maana kichupa kimejaa mbaya
Cc Tized
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah... Kwa mara ya kwanza kashfa inanivunja mbavu. Etiii naruka ruka.. hhahahahahaaaa... ngoja mafuriko yaishe ntamtafura mrembo aliebomolewa nyumba angalau nimuhifadhi kwangu kidogo nimuone kwa ukaribu zaidi aski ipungue.
nafikiri anakaribia kuvunja record ya kukaa muda mrefu bila ile kitu aise mpaka akiona jinsia tofauti anaruka ruka maana kichupa kimejaa mbaya
Cc Tized
 
Hahahaaa.. mkuu Mndengereko usimsikilize Mr Rocky, anataka kusema miss chagga hanitoshei eti...

Sasa mbona uliangusha abioria wako aise kama sio ulikuwa unawaza mambo yetu yaleee
Hahahahahah... Kwa mara ya kwanza kashfa inanivunja mbavu. Etiii naruka ruka.. hhahahahahaaaa... ngoja mafuriko yaishe ntamtafura mrembo aliebomolewa nyumba angalau nimuhifadhi kwangu kidogo nimuone kwa ukaribu zaidi aski ipungue.

Wameshaanza kurudi mabondeni mkuu hapo andika maumivu tuu na utaendelea kukaa na ugumu wako
 
Si utelezi kaka?

Haina kwere ntawatokezea huko huko kwa jina la Mfadhili. Najua hutanibania zile slim fits suits zako za kifaransa na kiitaliano nikawekee heshima!

Nikiona wengi tutagawana mkuu. usiogope.
Sasa mbona uliangusha abioria wako aise kama sio ulikuwa unawaza mambo yetu yaleee

Wameshaanza kurudi mabondeni mkuu hapo andika maumivu tuu na utaendelea kukaa na ugumu wako
 
Si utelezi kaka?

Haina kwere ntawatokezea huko huko kwa jina la Mfadhili. Najua hutanibania zile slim fits suits zako za kifaransa na kiitaliano nikawekee heshima!

Nikiona wengi tutagawana mkuu. usiogope.

Kule nenda na Title ya land kabisa mwambie unampa kiwanja Bunju huko hapo atakusikiliza na ufadhili wako
Usiwe nawasi wasi mkuu zipo wakati wote
 
Back
Top Bottom