Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,973
Kale ka range ka mke wa beckham nako tafadhali.
Hahaha... Bunju kunahusika sana. Naenda na salfeti kama nane ivi za unga wa sembe.
Hahaha... Bunju kunahusika sana. Naenda na salfeti kama nane ivi za unga wa sembe.
Kule nenda na Title ya land kabisa mwambie unampa kiwanja Bunju huko hapo atakusikiliza na ufadhili wako
Usiwe nawasi wasi mkuu zipo wakati wote